Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Kumnyamaziakimya sio suruhu
Mwambie wewe huwezi kuendelea na mahusiano mpe sababu zako
hata akiendelea kukupigia ajue kabisa humtaki kwasababu zipi kukaa kimya sio busara

ukimpa sababu atakwambia atajirekebisha na kuendelea kukusumbua
 
Hii case ilishawahi kunipata.Alikuwa anapiga simu anatuma sms anabebembeleza mpaka basi.

Bahati nzuri nilimwambia lakini alichukua muda mrefu kuelewa. Baada ya mwaka na nusu amekuwa rafiki yangu, ila kuna wakati nilikuwa namwonea huruma.Sirudi nyuma
 
wewe ndo msumbufu wa kutesa hisia za mwenzako vibaya... kwani ukimdadavulia sababu za kuto kuendelea nae si atatulia kukusumbua... Unapendwa unaringa bichwa linakuvimba anavo kulilia bila wewe kumjibu chochote.... wat goes around comes around...

Unaona sifa kumtesa mwenzio een!.ngoja yakukute

Kwanini sasa usimwambie mwenzio.....hujui what goes around comes around ??
Utajang'ang'ania na wewe siku moja usilalamike tuu?? Penda unapopendwa
Mbona vitisho??
 
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua.

Hata kama huambiwi wazi kuwa umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu.

Unapiga simu wiki nzima haipokelewi, unatuma text hazijibiwi, unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua.

Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni?

Tujifunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.

hana akili ya kujiongeza huyoo muweke wazi..
 
Aiseeee....maisha haya nyie acheni tu....mwanzo na mimi nilikuwaga mgumu hivyo hivyo kuelewa lakini siku hizi ukichwa maji umenitoka naelewa fasta usipime....

Hahaaha unaelewa hata kabla hujaambiwa! Ila mtoa mada umekosea sana, mtu akikupenda lazima akung'ang'aniepo jamani! Sio wanawake tu hata wanaume pia.
 
Nilikuwa sijijua kwamba ni king'ang'anizi ila nlikuwa mgumu kuelewa..... Ila sijapona hako kaugonjwa jaribu kunitema uone

khaa! Yaan unataka nimjaribu mamba ukali kwa kumweka mkono mdomon?!

Ukipepea mazima...
Lakn ukiwa king'ang'anizi maanayake unamapenz ya kweli. Kama mtu unapenda kweli utakubali vp kumpoteza kirahis?
 
wanawake ni vichwa maji kabisa hawajui wengine bado tupo single wanang'ang'ania tu ??
 
wanawake ni vichwa maji kabisa hawajui wengine bado tupo single wanang'ang'ania tu ??

Umeona eeh? Wanakaa kung'ang'ania jitu halipendeki wakati kina MO11 mpo available
 
Last edited by a moderator:
ila mimi mwenzenu mwanamke kama sioni tabia yoyote mbaya kwake akining'ang'ania hata kama awe na sura au umbo baya mimi simwachi...
watu kama hao mteseee ila siku akisema "stop" kazi unayo yaan hapo huna chako tena!!!!!
 
Mbona wakati unamtongoza hukuja kutangaza kuwa umemtongoza na amekukubalia???

Mpwa nilikuwa ninawaza humo humo kwenye reli hiyo..

Ila it takes 2 to tangle.. kama mwanamke ni king'ang'anizi then mwanaume amekaribisha huo mng'ang'anizo.. Kama ulimuingia kwa gia ya kumuoa unategemea ukikinai tu akuache..? Hujui na yeye alianza kuwekeza mara baada ya kuaminishwa kwamba kuna future hapo..! Just for one minute u shld stop thinkin abt urslf & think abt her.. her expections ambazo wewe ulimjaza.. Uongo uliokuwa unampa abt how much u love her.. kwamba u r ready to die for her.. Baada ya kulisaza tunda ndo uje na ngonjera zako za kutopokea cmu ili ajikate kisailensa..! Thubuuutu na kwa taarifa yako wanawake kama hao ndo wanaitwa stalkers kule majuu.. Na mwisho huwa wanakuja na maamuzi magumu.. kwamba kama yeye hawezi kuwa na wewe basi hakuna mwingine yeyote atakaekuwa na wewe.. Anakudedisha tu na mie ninasema unastahili kudedishwa nae huyo lol..
 
Aiseee umeongea vema sana ila wenyewe wanadai eti wakituambia ukweli ulioko mioyoni mwao tuatawakataa ndio maana wanaamua kutudanganya loh ukatili ulioje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom