Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

jamani wee mkaka mshukuru mungu kama unae anae kung'ang'ania kama unasababu za kutokumwambia ukweli kua humtaki hukua na sababu za kuyaleta humu au yupo humu nini?? nafikiri atakua na whatssp na fb account plus tweet mfikishie ujumbe na huko lkn kumtwisha mtoto wawatu ugonjwa usio na tiba sio busara kumbe hukumtaka wakudumu si ungemwambia mimi na ww chapa ilale nina mambo mengine sipo kuoa akajua kua mnafanya for funny akipata muelewa amkubalie umemvunjia riziki zake kibao umemtambulisha mpaka kwa panya wako nyumbani leo nyoko nyoko humu nyamaaaa weeee kichwa kama tikiti maji tena naomba mungu akuroge kabisa ushike adabu akijamba umpe pole kama hujamramba mpaka magaga ndio maana mnarogwa nyie mkia kabisa wewe

Nyekundu: Uiropoke jambo ambalo huna uhakiki nalo.

Blue: Usitaharuki,sijakusema wewe na wala saijkuacha wewe,tulia.

Kijani: Imebidi nicheke,mungu aniroge?mungu ni mchawi?btw kwa kua umeandika mungu na sio Mungu basi kamwambie huyo mungu wako mpumbavu na mchawi aniroge niko tayari. Unaonekena unapenda sana ushirikina wewe binti,utakua umezaliwa familia ya kichawi.
 
Hapo kwenye kijani mimi nimemuelewa sema tu ameandika kwa jazba sana,amemaanisha anamuomba Mungu, huyo binti akuroge hakumaanisha kama mungu ndio akuroge.
Nyekundu: Uiropoke jambo ambalo huna uhakiki nalo.

Blue: Usitaharuki,sijakusema wewe na wala saijkuacha wewe,tulia.

Kijani: Imebidi nicheke,mungu aniroge?mungu ni mchawi?btw kwa kua umeandika mungu na sio Mungu basi kamwambie huyo mungu wako mpumbavu na mchawi aniroge niko tayari. Unaonekena unapenda sana ushirikina wewe binti,utakua umezaliwa familia ya kichawi.
 
hizo kijani red zako na blue zinaonyesha jinsi gani usivyo muelewa kama ulivyoshindwa kuwa muelewa kwa huyo bint wawatu ukamuita king"ang"anizi ndio mimi mchawi maana nimeonyesha true colour yangu kwa kusema ukweli kua ndio maana watu kama nyie mnarogwa wewe ndio unaropoka ndio uje uropokee humu tukujue kua ndio cassanova au ulivyoileta humu ulitaka uungwe mkono na kila mtu poooooooooooleee waite marafiki zango waje wakusuport ila kwa watu kama mimi hatukupapasi tunakuchaaaaaaaaamba mpaka akili yako ikawe sawa thanx to god simjui huyo dada hata nigeria ningempeleka kwa mguu na rudia tena kichwa maji wewe tena nyamaaaaa usie liwa wewe
 
Sasa kwanini ulimtongoza kama anakukera?unajua cc wanawake tukipenda tunapenda kw moyo wote tuna moyo mrahisi sana tofauti na nyie me sidhani kama wanaume huwa mnapenda na mpaka sasa sijajua wanaume huwa mnapenda kufanyiwa nini ili mridhike, mkipendwa mnaona kero mkipotezewa mnasema kapata mwingine.
wanakera wanawake wa hivyo..mwingine hata hujampuliza ila anavyong'ang'ana sasa!!
 
bora halati88 umelipa tuition ya bure mxiuuu zake anatafuta pakushika hana lolote limemgusa kajiona mjinga asie na chembe ya akili jitu zimaaaaaaaa kafunga mkanda kaakaaa eti kusoma hujui na picha huoni ulipomtongoza hukujua kua ni kipofu nyambafuuuu zake
 
jamani wee mkaka mshukuru mungu kama unae anae kung'ang'ania kama unasababu za kutokumwambia ukweli kua humtaki hukua na sababu za kuyaleta humu au yupo humu nini?? nafikiri atakua na whatssp na fb account plus tweet mfikishie ujumbe na huko lkn kumtwisha mtoto wawatu ugonjwa usio na tiba sio busara kumbe hukumtaka wakudumu si ungemwambia mimi na ww chapa ilale nina mambo mengine sipo kuoa akajua kua mnafanya for funny akipata muelewa amkubalie umemvunjia riziki zake kibao umemtambulisha mpaka kwa panya wako nyumbani leo nyoko nyoko humu nyamaaaa weeee kichwa kama tikiti maji tena naomba mungu akuroge kabisa ushike adabu akijamba umpe pole kama hujamramba mpaka magaga ndio maana mnarogwa nyie mkia kabisa wewe

cheka mwaya wanaudhi sana hawa hujiulizi why anakung'ang'ania umekazana kumnanga mwenzio mitandaoni sijui picha huoni sijui kusoma hujui watapoteza sana boxer mwaka huu kwa jeuri zao kuku maji kabisa huyu

hizo kijani red zako na blue zinaonyesha jinsi gani usivyo muelewa kama ulivyoshindwa kuwa muelewa kwa huyo bint wawatu ukamuita king"ang"anizi ndio mimi mchawi maana nimeonyesha true colour yangu kwa kusema ukweli kua ndio maana watu kama nyie mnarogwa wewe ndio unaropoka ndio uje uropokee humu tukujue kua ndio cassanova au ulivyoileta humu ulitaka uungwe mkono na kila mtupoooooooooooleee waite marafiki zango waje wakusuport ila kwa watu kama mimi hatukupapasi tunakuchaaaaaaaaamba mpaka akili yako ikawe sawa thanx to god simjui huyo dada hata nigeria ningempeleka kwa mguu na rudia tena kichwa maji wewe tena nyamaaaaa usie liwa wewe

bora halati88 umelipa tuition ya bure mxiuuu zake anatafuta pakushika hana lolote limemgusa kajiona mjinga asie na chembe ya akili jitu zimaaaaaaaa kafunga mkanda kaakaaa eti kusoma hujui na picha huoni ulipomtongoza hukujua kua ni kipofu nyambafuuuu zake

tawireeeeee maneno yako halati88

Kijani: Unaonekana wewe ni mcharuko,machepele sana. Wanaume kazi tunaya mtu mwenye mwanamke kama huyu Atmospheric pressure inamuua kabla hata ya blood pressure.

Rangi nyingine soma mwenyewe.
 
jamani wee mkaka mshukuru mungu kama unae anae kung'ang'ania kama unasababu za kutokumwambia ukweli kua humtaki hukua na sababu za kuyaleta humu au yupo humu nini?? nafikiri atakua na whatssp na fb account plus tweet mfikishie ujumbe na huko lkn kumtwisha mtoto wawatu ugonjwa usio na tiba sio busara kumbe hukumtaka wakudumu si ungemwambia mimi na ww chapa ilale nina mambo mengine sipo kuoa akajua kua mnafanya for funny akipata muelewa amkubalie umemvunjia riziki zake kibao umemtambulisha mpaka kwa panya wako nyumbani leo nyoko nyoko humu nyamaaaa weeee kichwa kama tikiti maji tena naomba mungu akuroge kabisa ushike adabu akijamba umpe pole kama hujamramba mpaka magaga ndio maana mnarogwa nyie mkia kabisa wewe

Bora umenisaidia kumfikishia ujumbe,ni kichwa maji kabisa tena wa kuroga huyo ili dudu yake isisimame kamwe
 
cheka mwaya wanaudhi sana hawa hujiulizi why anakung'ang'ania umekazana kumnanga mwenzio mitandaoni sijui picha huoni sijui kusoma hujui watapoteza sana boxer mwaka huu kwa jeuri zao kuku maji kabisa huyu
Ahahahahahahaaa binti mtata wewe...haya kunywa chochote I 'll clear the bill...
 
mkuu hao wanawake wako tanzania hii? maana mm usipojibu sms mbili ukipiga lazima nikwambie jitambulishe?
 
Kijani: Unaonekana wewe ni mcharuko,machepele sana. Wanaume kazi tunaya mtu mwenye mwanamke kama huyu Atmospheric pressure inamuua kabla hata ya blood pressure.

Rangi nyingine soma mwenyewe.

Duh Huyu dada ni shida siwezi kuwa Mke wa dizaini hii kamwe
 
yaan hata kumuandikia sms kua yaishe bado huwezi? acha kutuzuga!!! kama huna sababu za msingi za kumuacha mwambie tu i no longer find you attractive!!!
 
na yeye kasimama tuu anasubiri umtandike makofi kama umemzaa wewe mxiiiuuuu viazi vingine havifai hata kwa chipsi nilijua kuna tikiti tuu kumbe kuna kiazi pia haya endeleeni kujazana ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom