Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

wewe ndo msumbufu wa kutesa hisia za mwenzako vibaya... kwani ukimdadavulia sababu za kuto kuendelea nae si atatulia kukusumbua... Unapendwa unaringa bichwa linakuvimba anavo kulilia bila wewe kumjibu chochote.... wat goes around comes around...
 
Offside pale dah aiesee kweli Mapenzi ni hatari sana dah kama uyu niliyelala lala naye apa Leo jamani Mi bado Nipo Nipo kwanza MKE WA MTU BADO UNAKUWA KINGANGANIZI MMEO AKISAFIRI UNATAKA KUJIAMISHA KWANGU... WACHA NIFANYE USIKU KUWA MFUPI AS LONG AS I GET PROFIT MI SINA SHIDA BHANA POLENI MNAONG'ANG'ANIWA BILA FAIDA MWENZUNU HAKA NAKULA KUKU TUU... NIKISEMA DAH RAFIKI ANAUMWA LAKI, NIKISEMA SHANGAZI LAKI AU LAKI MBILI... KWENYE MAMA APA NDO USISEME MPAKA UWA NAONAGA HURUMA..ILA MTAJI WA MWANADAMU NI HAKILI YAKE MWENYEWE KAMA MWANAUME DUSHELEE LAKO LAWEZA KUWA MTAJI TOSHA HAPA MJINI
 
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua. Hata kama huambiwi wazi kua umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu. unapiga simu wiki nzima haipokelewi,unatuma txt hazijibiwi,unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua. Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni? Tujufunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.

Wanaume wa siku hizi bhana ni kiungulia kitupu!! sasa wewe ukiona cha nini wenzio wanasema watakipata lini
 
Wanaume wa siku hizi bhana ni kiungulia kitupu!! Ukiona cha nini wenzio wanasema watakipata lini
 
Wewe hujielewi.Akili zako hazijakua. KWani kumwambia mtu kwa ustaarabu humtaki utapungukiwa nin?
Akili zako zaendana na kuku
 
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua. Hata kama huambiwi wazi kua umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu. unapiga simu wiki nzima haipokelewi,unatuma txt hazijibiwi,unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua. Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni? Tujufunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.

Unaona sifa kumtesa mwenzio een!.ngoja yakukute
 
Aiseeee....maisha haya nyie acheni tu....mwanzo na mimi nilikuwaga mgumu hivyo hivyo kuelewa lakini siku hizi ukichwa maji umenitoka naelewa fasta usipime....

kumbe na ww ulikuwa king'ang'anizi?!!..... Sasa hivi uimejanjaruka kila kitu mwake?

Bora lakn hukuchukua ule uamuz wenu ule wa ku........
 
kumbe na ww ulikuwa king'ang'anizi?!!..... Sasa hivi uimejanjaruka kila kitu mwake?

Bora lakn hukuchukua ule uamuz wenu ule wa ku........

Nilikuwa sijijua kwamba ni king'ang'anizi ila nlikuwa mgumu kuelewa..... Ila sijapona hako kaugonjwa jaribu kunitema uone
 
Kwanini sasa usimwambie mwenzio.....hujui what goes around comes around ??
Utajang'ang'ania na wewe siku moja usilalamike tuu?? Penda unapopendwa

Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua. Hata kama huambiwi wazi kua umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu. unapiga simu wiki nzima haipokelewi,unatuma txt hazijibiwi,unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua. Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni? Tujufunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.
 
Afadhali anae kung'ang'ania anakutaka..kuna mwingine anang'ang'aniza Ugomvi na wewe...unamkwepa wapi...lazima akutafute kwa shari...

Anakufuata ofisini! Anakufuata nyumbani! Kila sehemu ye yupo tu! Ukipanda dala dala unae! Ukishuka unae!
 
haya maumivu makali sana

Sana shansarie unakuwa hujui umekosea wap nin shida, kakumbwa na nini
Ni bora mtu kuwa mstaarabu kama mlianza kistaarabu kwanini msimalizane kistaarabu? ni rahisi sana kuliko mtoa mada anavyojitapa hana kawaida ya kuwaambia lakini inatesa sana hii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom