Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Nikikuuliza unanipliz kuwa ulikuwa bze wakat nakupigia.....nikikuomba hela unatoa.Ntakung'ang'ania daima
 
La unamuonea huyu mwanamke

Be a man

Mwambie humtaki kila mtu atafute ustaarabu wake

Yeye sio mganga au mtabiri kusema aone nyakati
 
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua. Hata kama huambiwi wazi kua umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu. unapiga simu wiki nzima haipokelewi,unatuma txt hazijibiwi,unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua. Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni? Tujufunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.


Wanawake wanateswa jamani,,,,
 
Bora umwambie mkuu ajue labda yeye anajua umekasirika tu
 
Aiseeee....maisha haya nyie acheni tu....mwanzo na mimi nilikuwaga mgumu hivyo hivyo kuelewa lakini siku hizi ukichwa maji umenitoka naelewa fasta usipime....
 
Unajitakia presha, ukimchoka mtu mchunie mazima, hata avue nguo mbele yako. Sema tu me huwa mko weak, mnasumbuka na vitu vidogo.

Uje nikupe twisheni.
 
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua. Hata kama huambiwi wazi kua umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu. unapiga simu wiki nzima haipokelewi,unatuma txt hazijibiwi,unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua. Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni? Tujufunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.

Mbona wakati unamtongoza hukuja kutangaza kuwa umemtongoza na amekukubalia???
 
Umeona...japo niliumia ila nashukuru uliniambia ukweli

Na ulivyomwelewa lazima nicome back maana siku hizi sisumbuliwi kama we ulivyokuwa unanifanyia
 
Bora uniambie kila mmoja akaendelea na hamsini zake..... sio kuniweka pending namna hiyoo
 
Kumwambia mtu ukweli kuna njia nyingi.... wengne tupo vzur kwa njia ya matendo
 
ha haa ha ha...kuna wale wababe...si ulinitaka mwenyewe...the relationship will end when I decide so....utajuuta kumfahamu...psycho hao...

Kuna movie niliiona hiyo hatare...mkaka kamtokea corporate girl...mdada alikuwa mgumu kichizi...lakini huyu smooth operator akatumia kila trick kumpata...na alitaka tu kuwaonyesha wenzie kuwa hakuna msichana anayeweza kumkataa...

Alikula maraha ya pesa ya corporate lady lakini siku huyu lady alipojua kijana ni player; na kijana baada ya kubanwa kumtamkia wazi hawana future together... ndio alijua kuwa si kila binti wa kuchezewa...huyu corporate lady alikuwa single kumbe sababu ana kind of psycho problems kiasi kwamba hawezi kubali kuchezewa...kijana na girlfriend wake nusu wauwawe...(maana alikuwa na girlfriend wake wa matawi yake ya chini alokuwa true love wake)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom