Kumnyamaziakimya sio suruhu
Mwambie wewe huwezi kuendelea na mahusiano mpe sababu zako
hata akiendelea kukupigia ajue kabisa humtaki kwasababu zipi kukaa kimya sio busara
wewe ndo msumbufu wa kutesa hisia za mwenzako vibaya... kwani ukimdadavulia sababu za kuto kuendelea nae si atatulia kukusumbua... Unapendwa unaringa bichwa linakuvimba anavo kulilia bila wewe kumjibu chochote.... wat goes around comes around...
Unaona sifa kumtesa mwenzio een!.ngoja yakukute
Mbona vitisho??Kwanini sasa usimwambie mwenzio.....hujui what goes around comes around ??
Utajang'ang'ania na wewe siku moja usilalamike tuu?? Penda unapopendwa
Wewe hujielewi.Akili zako hazijakua. KWani kumwambia mtu kwa ustaarabu humtaki utapungukiwa nin?
Akili zako zaendana na kuku
we ni domo zege
Ningekua domo zege nisingempata
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua.
Hata kama huambiwi wazi kuwa umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu.
Unapiga simu wiki nzima haipokelewi, unatuma text hazijibiwi, unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua.
Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni?
Tujifunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.
Aiseeee....maisha haya nyie acheni tu....mwanzo na mimi nilikuwaga mgumu hivyo hivyo kuelewa lakini siku hizi ukichwa maji umenitoka naelewa fasta usipime....
Nipate wapi mie hao wanawake wanao ng'ang'ania
Nilikuwa sijijua kwamba ni king'ang'anizi ila nlikuwa mgumu kuelewa..... Ila sijapona hako kaugonjwa jaribu kunitema uone
Hahaaha unaelewa hata kabla hujaambiwa! Ila mtoa mada umekosea sana, mtu akikupenda lazima akung'ang'aniepo jamani! Sio wanawake tu hata wanaume pia.
we ni domo zege
vp ww umeacha uking'ang'anizi sku hizi.....?
Maana mpaka ilikuwa kero
Mbona wakati unamtongoza hukuja kutangaza kuwa umemtongoza na amekukubalia???
Mpwa nilikuwa ninawaza humo humo kwenye reli hiyo..
Ila it takes 2 to tangle.. kama mwanamke ni king'ang'anizi then mwanaume amekaribisha huo mng'ang'anizo.. Kama ulimuingia kwa gia ya kumuoa unategemea ukikinai tu akuache..? Hujui na yeye alianza kuwekeza mara baada ya kuaminishwa kwamba kuna future hapo..! Just for one minute u shld stop thinkin abt urslf & think abt her.. her expections ambazo wewe ulimjaza.. Uongo uliokuwa unampa abt how much u love her.. kwamba u r ready to die for her.. Baada ya kulisaza tunda ndo uje na ngonjera zako za kutopokea cmu ili ajikate kisailensa..! Thubuuutu na kwa taarifa yako wanawake kama hao ndo wanaitwa stalkers kule majuu.. Na mwisho huwa wanakuja na maamuzi magumu.. kwamba kama yeye hawezi kuwa na wewe basi hakuna mwingine yeyote atakaekuwa na wewe.. Anakudedisha tu na mie ninasema unastahili kudedishwa nae huyo lol..