Kuna wanaume wanapitia mambo magumu na still wanavumilia!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,385
2,000
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!

Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili.

Sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja.

Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei.

Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa.

Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo.

Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga.

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora
 
Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,385
2,000
alilazimishwa si aondoke akapangishe nyumba nyingine aanze maisha mengine...huko ni kufa kwa kujitakia nyambafuu,usifananishe maisha magumu wanaume wanaopitia na tabia za mjinga mmoja wa kiume
Jamaa amejenga jumba la kifahari sana na hana uwezo wa kujenga nyumba nyingine ameamua akomae mwanzo mwisho

Sent by Diaspora
 
Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
2,851
2,000
hao ndio wakina HAWA
 • HAWAelwi
 • HAWAjali
 • HAWAoni
 • HAWAogopi
 • HAWAnashida
 • HAWAtosheki
na nyingine nyingi sana unaweza kuongeza ni kazi sana kuwaelewa wanawake mara nyingi huwa nawasifu kuwa wana mission lakini vision HAWAna sasa mwanaume ukiwafuata kwa kila kitu maendeleo yako yatakuwa changamoto kwakweli HAWAchelewi kukuingiza mkenge kwa kuwa HAWAna hasara.
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040

Sasa kwa mada hii mwanamke ana kosa gani kifupi jamaa kaachwa anashindwa kujiongeza,kwenye mada sijaona chazo cha ugomvi wao.
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,704
2,000
Nchi gani hiyo . Huyo jamaa ana moyo
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!
Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili!sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja!
Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei!
Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa!
Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia Simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo!!
Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga!

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi Uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auze nyumba wagawane. Ndio madhara ya kuoa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom