Kuna wanaume wanapitia mambo magumu na still wanavumilia!

Sasa na yeye si atafute mwanamke azae naye..taabu iko wapi..?
 
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!

Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili.

Sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja.

Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei.

Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa.

Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo.

Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga.

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora
wa ndoa kabsa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na akili ya kuishi na mwanamke mmoja utapata tabu Sana hapa duniani
Mwanamke mmoja pekee duniani Ni mama yako tu.!!
Hawa wengine Ni marafiki tu.
Rafiki anaweza badilika muda wowote.
Tatizo huwa tunajifanya tuna huruma Sana na wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huwa naamini usemi huu,,Wajinga huwa hawaishi"Single mother wengi wamejificha makanisani,, wanaimba na kulia,,muoe utakiona kilichomnyoa khanga manyoya!!
Wamejaa Tele halafu wanajua kucapture na kupretend. Mziki utajulikana mkishaingia kwenye ndoa, halafu mkajenga ata kamjengo. Hapo ndio utatamani ardhi ipasuke ujifiche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magumu yapo lakini huyo ni mwanaume fala fulani amazing
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!

Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili.

Sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja.

Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei.

Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa.

Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo.

Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga.

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atakuwa ni wewe ushauri wangu kwako hata kama huna makaratasi usikubali kujidhalilisha
 
Jamaa ni kilema,?? mbona hakuna kilema mpole namna hii.
 
Back
Top Bottom