Kuna wanaume wanapitia mambo magumu na still wanavumilia!

Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!
Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili!sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja!
Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei!
Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa!
Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia Simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo!!
Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga!

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi Uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora

Kwamba mzeiya ulikuwepo toka wanafunga ndoa, wanazaa watoto wawili, wanagombana mpka kufika mama kuzalishwa wengine wawili ? Hongera kwa utafiti konki
 
Hahahaha ludi kwenye mada Jina langu halihusu
tehe..teh..tehh.... kweli HAWAachi (si kwa jina lako kwa sasa ) ndo mana mwanamke anamthamini zaidi mwanaume anayempa laki kwa mara moja kuliko anayemtunza kila siku kwa kuwa HAWAko tayari kuacha hiyo fursa na inafika wakati wanaume anaamua aende na kipindi anakuwa naye ndani kama mpangaji mwenzake kwa kuwa hata akimwacha huyo mwanamke atamleta nani zaidi ya mwanamke? zamani sikuwa nawaelewa wanaume ambao hawaoi lakini sasa nimeelewa. hivyo ndivyo ilivyo. wewe ukitaka kuelewa kwanini huyo mwanamke haondoki kwa huyo mwanamke? kwakuwa HAWAjiwezi.
 
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!
Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili!sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja!
Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei!
Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa!
Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia Simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo!!
Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga!

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi Uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora
Sasa inauma nini..? Tena mimi ndiyo kabisa I don't care naendelea na maisha yangu kikubwa naye asiniguse kweisha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kisa ambacho nilishuhudia mwenyewe miaka kadhaa iliyopita kwenye nchi Fulani!

Ipo hivi jamaa alioa single mother na alishakuwa na mtoto mkubwa pia,sasa katika maisha ya ndoa jamaa akabahatika kuzaa na yule mwanamke watoto wawili.

Sasa baada ya hapo wanandoa hao wakaanza kugombana Mara kwa Mara hadi ikatokea kila mmoja akaanza kulala chumba chake na kila mtu akaanza kujipikia chakula chake mwenyewe ndani ya nyumba moja.

Na ikafikia time kila mtu anatoka kivyake na kurudi kivyake no kuuliza maana walikuwa hawaongei.

Mara paap! Mkeo akapata ujauzito wa mwanaume mwingine na mimba ikakua na mtoto akazaliwa.

Kidume yupo tu anashuhudia mkewe kapata mtoto! Jamaa alipoanza kuleta fujo mkewe akampigia simu mtoto wake yule wa kwanza maana ni mkubwa akaja kumtuliza baba yake wa kambo kibabe na mtoto akaamua aishi hapo hapo ili kumlinda mama yake asipate madhara yoyote kutoka kwa baba wa kambo.

Mara paap!mimba ya pili na kidume akaanza kuja kabisa home kwa jamaa kutoa matumizi na mwenyewe mke akishuhudia bila chenga.

Kuna wanaume wanapitia changamoto kubwa sana kwa wanawake hadi uzi huu unaruka hewani jamaa bado yupo tu hajahama kwenda popote na mkewe ameshazalishwa watoto wawili mbele ya macho yake!!

Sent by Diaspora
Jamani malipo hapahapa

Unadhani anamkomoa nani kwa uvumilivu huo,
Unadhani atapata faida gani kuendelea kukaa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unachukua uboya halafu unasema anapitia magumu. upuuzi! watu wanapambana kutafuta pesa we unakuja na thread ya mwanaume wa dar mtafuta maisha ya mseleleko.
 
Back
Top Bottom