Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili

It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.
P
Mnabadilisha kwa ajili lisu.mnatamani hata afe leo.
 
Kushinda kwa Anko Magu 2020 kukowazi kabisa ila sidhani kwa ajili ya hilo wapo watu watashawishi kuvunjwa kwa katiba yetu bila sababu za msingi naye hatokubali pia upuuzi huo
 
Hizi sheria mnazibadilisha kama mnavyobadilisha mboga majumbani mwenu. Mtambue tu kuwa Watanzania si wajinga.
Umekosea wanabadiliaha kama chupi ohh sory nguo za nda maana imekuwa too much na siunajua tena kubadili nguo ya ndani haihitaji matamgazo ndo sheria zetu zilivyo
 
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641

sisi wahusika hatuna nia hiyo, tunatii sheria na katiba ya nchi
 
Habari nyingine unasoma halafu unajiuliza, hili jambo watu wako serious au mi mzaha tu?

Napinga wazo. Kwa sababu ama mnamnyima Magufuli haki yake ya kusema kachaguliwa tena na Watanzania (hata kwa kura za wizi) au mnawanyima Watanzania haki yao ya kumkataa Magufuli.

Hili ni jambo lililoandikwa vizuri tu katika katiba.

Kama Magufuli anakubalika sana na watu kwa nini mnataka kusiwe ma uchaguzi unaotakiwa kikatiba?

Ukisema unataka kuondoa uchaguzi ili kuepuka gharama, basi tuuondoe urais nao kabisa ili tupunguze gharama zaidi.
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Kwani katiba inasemaje? Why now? Mbona awamu zilizopita ilijulikana matokeo ni raisi huyo huyo kumalizia ngwe ya mwisho na bado kura zilipigwa? Inaama wagombea wengine wangimwe haki yao ya kupigiwa kura kisa kuna watu wameridhika kutopiga kura? Lile neno " mlinichagua" litakua na mantiki gani maana haitakua hvyo
 
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
 
halaf paschal kuna muda unageuka mr bean
Zamani nilikuwa MC kazi yangu zaidi ya ku entertain watu ilikuwa ni kuwachekesha, hivyo mimi pia ni comedian, tofauti na comedians wengine, wao wana act tuu, mimi I don't act, sijifanyishi bali nausema ukweli mtupu jinsi vile ulivyo, hii ni kufuatia trends za marais waliopita, unless kama mnapenda igizo la uchaguzi wa rais 2020.
P
 
Uwehu na ujinga mtupu, kama maccm wanataka wapewe nchi mazima basi wafute tuu utaratibu wa kuwepo siasa ya vyama vingi kama mnaweza.
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Tukianza kuharibu utaratibu leo jua vizazi vyetu havitapona miaka ya mbeleni lazima watajitokeza wakina Mugabe wengine na kuiharibu hii nchi.Inatakiwa tulipinge hilo kwa nguvu zetu zote kwa manufaa ya vizazi vijavyo
 
Uwehu na ujinga mtupu, kama maccm wanataka wapewe nchi mazima basi wafute tuu utaratibu wa kuwepo siasa ya vyama vingi kama mnaweza.
Hatuna haja za kutumia lugha za maudhi na machukizo 'maccm', tutumie lugha za kistaarabu.

Pia hakuna haja ya kufuta mfumo wa vyama vingi, nchi wahisani hawatuelewa, ila ukweli utabaki kuwa CCM itatawala milele, uthibitisho huu utaanza kwenye matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa na kumalizia uchaguzi mkuu wa mwakani.

Wapinzani waliojitambua na kujielewa hili wameisha lijua na wamechukua hatua stahili. Na mimi humu niwewasisitiza

P
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Mkuu unajitahidi sana,usipoonekana basi utakuwa na bahati mbaya sana.
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Umeolewa?
 
Back
Top Bottom