Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

kashata

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
376
500
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Ipo siku watakukumbuka ktk uteuzi
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,217
2,000

Hebu kwanza tupe formula ya mgawanyo wa ruzuku,
Je?ruzuku itatokana na idadi ya wabunge au kura walizopata wagombea wa vyama?

Kama ruzuku IPO kisheria kutofanya uchaguzi kutapelelea uvunjifu wa katiba na kisheria na kuingiza nchi kwenye sintofahamu
Au tutaendeleza siasa za kibabe tu. Hakuna demokrasi ya uchaguzi wa raisi. na hakuna demokrasia ya kurithishana madaraka, baina ya vyama vinavyoshinda kihalali,
isipokuwa demokrasia ni Mbowe kuachia uenyekiti??
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,217
2,000
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
Hivi kwa Nini??magufuli anaogopa uchaguzi??
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
3,921
2,000
sasa kama mmemwelewa si ndio muache uchaguzi wa rais ufanyike kwa ushindani kadri ya katiba alafu muoneshe kuwa mmemwelewa kwa kumchagua tena kwa kura zote.
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
 
omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
487
1,000

uzuri Nchi hii inaendeshwa kwa katiba na hilo lipo wazi
Katiba hii mnayoilalamikia kila siku ya kua inavunjwa na kukiukwa?

Angalia pia vyama vya siasa vinavyochezea katiba zao ambazo zimetokana na katiba mama ya nchi.

Kwenye nchi zetu hizi lolote laweza tokea
 
Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
3,884
2,000
Hata wasomi uchwara munaunga mkono nchi ya kidemokrasia isiwe na uchaguzi kwa woga wa kikundi fulani tu?mutatengwa mpaka mutaomba kwa miaka kurudi kutambuliwa kama ni Taifa la mwalimu Nyerere.
 
lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,695
2,000
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Hata huo wa wabunge hamna haja, ni vizuri rais wetu kipenzi kutokana na utendaji wake mzuri akasema ni wabunge gani waliopo sasa hawataki na akatoa majina ya anaowataka ili wapitishwe na kuapishwa kuwa wabunge mara moja.
 
Bandiwe

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
9,560
2,000
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
Ulofa ugonjwa mbaya sana, yaani mnakesha kujadili hewa ! (utopia)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom