Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P

This is so pathetic and despicable. Pascal what's wrong with you? Hii ndio kutafuta uteuzi? Ama kweli njaa kitu kibaya saba
 
Acha unafiki pasco....unajivua nguo siku hizi...wewe sio pasco mayala niliemjua na kumuheshim kwa zaidi ya miaka 15, bora ukae kimya Kaka, unaonyesha ubaguzi na ukabila wa wazi wazi unajifanya hujui katiba inatakaje... Acha unafiki na siku hizi chochote unachokiandika wala sikichukulii uzito au thamani yoyote... Pole Sana sikujua kama njaa inaweza kukumata kiasi hicho
 
Aisee kwaio unasupport hata baada ya miaka 10 aendelee tu asiifate katiba inavyosema limit ni 10 yrs
 
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
Kumbe ni mkenya duu ! Peleka machafuko kwenu ! Huku umebugi stepu 😎
 
ARE YOU MEDICALLY OKY SIR??????????????????????????????????
Hili la kuwa medically ok nalo neno, kwa sababu kuna vitu huwezi kujijua mwenyewe, unaweza kujiona uko fit kumbe wanaokuona na wanaokusikia ndio wanakujua zaidi kuliko unavyojijua wewe, na kwa vile hatuna utamaduni wa kujipima afya ya akili, anything is possible ndio maana niliwahi kuzungumzia hili hapa

P
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Wasukuma mna elements za kibaguzi,nilikuwa sijui lkn nimekuja kujua kwenye uongozi huu wa awamu ya tano.
Kila anayepigia vigelegele na kushabikia utawala huu ni watu wa kanda ya ziwa...,P ni mmojawapo.

Magufuli asingekuwa na element za kibaguzi angetufaa lkn amejawa ubaguzi na upendeleo wa hali ya juu dhidi ya maeneneo ambayo yana upinzani na maeneo ambayo yaliyopo nje ya kanda yake.
 
Wakuna nazi tumeshawadharau
tapatalk_1569822541986.jpeg
 
Wasukuma mna elements za kibaguzi,nilikuwa sijui lkn nimekuja kujua kwenye uongozi huu wa awamu ya tano.
Kila anayepigia vigelegele na kushabikia utawala huu ni watu wa kanda ya ziwa...,P ni mmojawapo.

Magufuli asingekuwa na element za kibaguzi angetufaa lkn amejawa ubaguzi na upendeleo wa hali ya juu dhidi ya maeneneo ambayo yana upinzani na maeneo ambayo yaliyopo nje ya kanda yake.
Mkuu Jiwe la Ma, hili la ukabila kwa Wasukuna ni tuhuma tuu, ukweli ni huu
Hata tuhuma za upendeleo katika uteuzi pia sii kweli, ukweli ni huu
P
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Tunajua hizo ajenda zipo za kutaka kuharibu nchi yetu nzuri iwe kama Uganda au Rwanda kwa kuwa na Rais wa Maisha. Maana hata uchaguzi ni kiini macho na tu kwa vile kila kitu ana ana fanya yeye. Ila kwa imani zetu za dini kila mmoja atamuomba Mungu wake huyu mnayemtaka awe Rais wa Maisha Mungu achukue roho yake. Tutapiga novena na halbadiri mpaka kimya kimya mpaka afe tu.
 
Nimesoma list ya wateuliwa na nina uhakika umesoma pia lakini jina lako halipo.
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
 
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
Magufuli Ni zao la democracy.... He won't let us down
 
Mkuu Jiwe la Ma, hili la ukabila kwa Wasukuna ni tuhuma tuu, ukweli ni huu
Hata tuhuma za upendeleo katika uteuzi pia sii kweli, ukweli ni huu
P
Ni mkabila na mbaguzi wa kikanda wa kiwango cha hatari. Angalia viongizi wakuu wa TPDF, Judiciary, AG, IGP, Treasury, DPP kwa kiasi tu
 
Back
Top Bottom