Kuna wana JF Kigali????

Kuna wana JF Kigali????

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Wakuu naomba msaada kama kuna mwana JF Kigali,Rwanda, anisaidie nitampaje natarajia kuwa hapo mjini in 2 days, kupumzika akama anaweza kunipitisha mitaa ya hapo, gharama juu yangu au anijuze sehemu nzuri na za hatari.
Natanguliza shukurani.
RE.
 
Lol! Kaazi kweli! Nakushauri ukifika hotelini, waambie reception desk wakupe tourist information. Mostly utakuta stall ina leaflets mbalimbali. Otherwise wanaweza wakakutafutia tour guide na a reliable transport provider. Enjoy!
 
uko sawa mno kinyume na hapo utaingizwa mjini
 
Dunia ya sasa unamwamini nani hivyo?
Ushauri wa king'asti ni salama zaidi, vinginevyo wala sikushauri.
 
Mkuu mpm mtu chake. ni borntown hapo Kigali. mtafute kwa pm atakujibu sasa hivi. Mia
 
Yaani ile sredi ya jana bado iko so live kichwani
Sijui
Ila jaribu
 
Mkuu mpm mtu chake. ni borntown hapo Kigali. mtafute kwa pm atakujibu sasa hivi. Mia

hahahahahahaha...acjari yeye tu...ila kwa sasa niko Kivu mara moja...

ila sehemu nzuri kigali yote nzuri na hakuna uhuni...ulinzi ni wakutosha

sehemu za kutembelea ni zote ila zile club kama mtu wa kujirusha unaweza kwenda
1.KBC....kigali bussines Center
2. cardilac
3. Alpha Palace hotel ... VIP
mkuu kote huko uhakika...we umefikia wapi?...
pia unaweza kwenda kuchek Game za mpira wa miguu pale Amahoro au Nyamirambo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom