Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Hahahaa nimecheka balaa, mkuu kwakuwa bado una wiki moja vuta subira machimbo ya pisi kali utayajua tu.
Kwa sasa unaweza enda Gold Land Hotel hii ipo Nyamongo road upande wa kulia kama unaelekea wilaya ya Nyamwaga. Ama ulizia wenyeji watakufahamisha kwa urahisi zaidi, hapo unaweza kutana na pisi kali za kutoka mikoa mingine tofauti na hapo.
Pia kuna Restaurant moja jina limenitoka ila ipo mkabala na benki ya NMB pale kulikuwa na wahudu pisi sana sijajua kwa sasa jaribu kutembelea uone, jengo hilo hilo kuna Barber Shop hapo pia kuna pisi huwa zinatoka Mwanza kuja kutoa huduma hapo.
Mkuu kama wikiendi unakuwa huru unaweza enda ata huko mpakani Sirari ama ukaingia ata Kenya kwenyewe ukaenda mpaka Migori ama Kisii huko.

Hahahaaaa hakuna kitu bro. Nimekutana na pisi mbovu sijawahi pata kuona maisha yangu yote TZ nzima

, halafu unakuta vijana wanababaika nazo hatari. Nimeshangaa sana.