Mzee hakuna mazuri yoyote huko maana naona umeelezea vyote in a negative wayvivutio vya mkoa wa Mara :-
1. Mto Mara wenye vinyesi vya ng’ombe
2.wakurya ni weusi na sura kali
3. Kuna mgodi wa dhahabu umezingushiwa ukuta mkubwa ila wakurya wanauruka kuingia mgodini.
5. Kuna Butiama eneo lisilokuwa tangu 1961
6. Kuna wanawake wengi walio keketwa
Ndio Mkuunadhani umemaliza,especially nyamongo
, halafu unakuta vijana wanababaika nazo hatari. Nimeshangaa sana.
Bora kutembea na mke wa mtu lakini sio binti wa mtu,utatahiriwa kwa mara ya piliTarime sio lelemama ndio maana hata kipolisi imefanya ni kanda maalumu kwamba ni wilaya ambayo kipolisi inasimamiwa kama mkoa ina RPC.
Kimsingi ukiwa huko acha mbwembwe hususani mambo ya bata za mitaani
Kafanye yaliyokupeleka huko epuka sana kutembea usiku.
Nakishauri tafuta TV na movies za kutosha bata fanyia nyumbani kwako.
Halafu epuka sana wake za watu ,mademu wa watu na wanafunzi lasivyo hawatachelewa kukugecha watu wa huko hawana masikhara kabisa.
Ukifata ushauri wangu utarudi salama na utarudi na pesa. Huko Tarime hata Musoma hakuna starehe yeyote
Ukitaka starehe uwe unakwenda Mwanza Mjini
Unawaza bata tu hata location hujafika,akili hiziKuna sehem za bata huko boss? Story pekee nazoziskia ni za kikatili tu![]()
Serengeti national park japo wengi wanadhani ipo arushaNaomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Ngoma safi sana ya ritunguVivutio Vikuu ni kama vifuatavyo....
1. Ukarimu
2. Upendo
3. Ustaarabu
4. Utu
5. Akili
6. Mahaba
7. Huruma
Tarime ndiyo wilaya pekee ktk mkoa wa Mara iliyochangamka! Watu wa Tarime ni wachapa kazi na wafanya biashara wazuri sana. Pia ni wachangamfu na wakarimu sana. Kuna fursa za madini hasa dhahabu. Ardhi yake ina rutuba sana hivyo kilimo kinakubali sana. Changamana nao vizuri hutojutia. Hakikisha unakuwa mtu wa haki, acha dhuluma na ghiriba. Hakikisha unajiweka pembeni na wake za watu vinginevyo ubabe wa Wakurya utauona.Kuna mchongo nimedaka wa NGO boss, nahisi nitakua kule miaka miwili hivi.
Umeshawahi kuishi Tarime mkuu?
Sent from simu ya kuazima
Ziwa Victoria na visiwa vyake vingi vingi tuNaomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Duh kama ndio wilaya iliyochangamka inakua hivi. Sipati picha huko palikopoa pakojeTarime ndiyo wilaya pekee ktk mkoa wa Mara iliyochangamka! Watu wa Tarime ni wachapa kazi na wafanya biashara wazuri sana. Pia ni wachangamfu na wakarimu sana. Kuna fursa za madini hasa dhahabu. Ardhi yake ina rutuba sana hivyo kilimo kinakubali sana. Changamana nao vizuri hutojutia. Hakikisha unakuwa mtu wa haki, acha dhuluma na ghiriba. Hakikisha unajiweka pembeni na wake za watu vinginevyo ubabe wa Wakurya utauona.


. Yes fursa zipo nyingi, unaweza buni kitu kipya huku ukapiga ela ndefu sana nimeona hilo