Kuna vivutio gani mkoa wa Mara?

Kuna vivutio gani mkoa wa Mara?

Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.

Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.

Uzi tayari.

Sent from simu ya kuazima
Vivutio Vikuu ni kama vifuatavyo....

1. Ukarimu
2. Upendo
3. Ustaarabu
4. Utu
5. Akili
6. Mahaba
7. Huruma
 
Route zangu ni kazini na nyumbani. Hapo kutokujionyesha kama nina pesa ndio vipi? Nisiwe nakula na kuvaa vizuri? Nisimiliki gari nzuri ama?

Sent from simu ya kuazima
Hakuna Jiji hatari hapa Africa kuishi kama Johannesburg, lakini kila siku watu wanaingia na kuishi na wanakula bata kwa kwenda mbele.

Ukifika Roma ishi kama Waroma, wanawake ndio weakness ya wajinga wengi achana nao, ukikaa siku 100 tu utajuwa kila kitu utajiongeza mwenyewe.
 
Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.

Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.

Uzi tayari.

Sent from simu ya kuazima
Jiandae tu kupambana na hizo story unazozisikia coz lisemwalo lipo ! Sehemu za bata utakutana nazo ukishafika hukohuko
 
Huko tegemea kukutana na ukorofi mdogo mdogo wa kupokonywa vitu ukipita vichochoroni usiku kuhusu utalii labda uende Serengeti mbugani huko kwa akina Swala Ila kamji kazuri kula bata ni Musoma
 
Tarime ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha ndizi,mtama mwekundu na mahindi. Ufugaji ng'ombe, kondoo na mbuzi
Kuna boda ya sirari hapo biashara ya mpakani utaifaidi
 
Tarime sio lelemama ndio maana hata kipolisi imefanya ni kanda maalumu kwamba ni wilaya ambayo kipolisi inasimamiwa kama mkoa ina RPC.
Kimsingi ukiwa huko acha mbwembwe hususani mambo ya bata za mitaani
Kafanye yaliyokupeleka huko epuka sana kutembea usiku.
Nakishauri tafuta TV na movies za kutosha bata fanyia nyumbani kwako.
Halafu epuka sana wake za watu ,mademu wa watu na wanafunzi lasivyo hawatachelewa kukugecha watu wa huko hawana masikhara kabisa.
Ukifata ushauri wangu utarudi salama na utarudi na pesa. Huko Tarime hata Musoma hakuna starehe yeyote
Ukitaka starehe uwe unakwenda Mwanza Mjini
 
vivutio vya mkoa wa Mara :-​

1. Mto Mara wenye vinyesi vya ng’ombe​

2.wakurya ni weusi na sura kali​

3. Kuna mgodi wa dhahabu umezingushiwa ukuta mkubwa ila wakurya wanauruka kuingia mgodini.​

5. Kuna Butiama eneo lisilokuwa tangu 1961​

6. Kuna wanawake wengi walio keketwa​

Punguza upumbavu wakuria ni baba zako!!!
 
Tarime sio lelemama ndio maana hata kipolisi imefanya ni kanda maalumu kwamba ni wilaya ambayo kipolisi inasimamiwa kama mkoa ina RPC.
Kimsingi ukiwa huko acha mbwembwe hususani mambo ya bata za mitaani
Kafanye yaliyokupeleka huko epuka sana kutembea usiku.
Nakishauri tafuta TV na movies za kutosha bata fanyia nyumbani kwako.
Halafu epuka sana wake za watu ,mademu wa watu na wanafunzi lasivyo hawatachelewa kukugecha watu wa huko hawana masikhara kabisa.
Ukifata ushauri wangu utarudi salama na utarudi na pesa. Huko Tarime hata Musoma hakuna starehe yeyote
Ukitaka starehe uwe unakwenda Mwanza Mjini
Nimekupata boss, vipi kuhusu unafuu wa maisha lakini hasa kwenye misosi?
 
Tarime wala hakuna ugomvi wala chochote, vitu mnavovisikia ni vya jumla kama vile wanasema wahaya malaya wakati sio. Tarime matukio mabaya ni machache kuliko dar hata wizi hakuna. Ubaya wa tarime hakuna lami na ni pachafu sana
Daaah hiyo statement yako ya mwisho imenivunja moyo mkuu. Ila sio kesi
 
Yani ukienda usipende kukaa sehem za mabaa au glossary, usishoboke na mwanamke yyte utaekutana nae.. Tumia muda wako kazini na nyumbani, usiingilie ugomvi wowote ule....... Usijionyeshe kua unapesa..... Tofauti na hvo utarudi mkoani kwako ukiwa na ngeo au hauna mkono
nadhani umemaliza,especially nyamongo
 
Back
Top Bottom