Mr Kactus
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 510
- 2,970
Naomba nipewe maelekezo na wazoefu wa huo mkoa. Kuna mission hivi karibuni naenda kuifanya huko itanichukua miaka miwili nikipambana na hizo projects hasa wilayani Tarime.
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima
Bahati mbaya story pekee nazozipata kuhusu huo mkoa ni ukorofi, ubabe na kupigana mapanga. Anaejua vivutio vyovyote vya huko, sehemu za bata n.k anipe muongozo.
Uzi tayari.
Sent from simu ya kuazima