Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda;
  • Happy birthday
  • Valentine’s day
  • Happy new year
  • Boxing day
  • Happy girlfriend day
  • Happy mothers day
  • na Happy upuuzi mwingine.
Kuna siku wataleta "Happy Breathing Day " na usipost you are officially dead.
Furahia maisha kila siku sio mpaka Happy birthday au new year, onyesha mapenzi kila siku sio Mpaka Valentine’s day, mpende mama siku zote sio mpaka mother's day.
Acha kubebwa na trendy. Call me old school I don't care I celebrate life everyday not when Instagram say!
 
Ila kutumia pesa ni kupenda tu mwenyewe.
Kwa mfano kama wewe ni mtumishi na siku ya maazimisho kama hayo itumie hiyo siku kwenda kutembelea shamba lako na familia au itumie kufanya part time job somewhere uongeze kipato sio lazima uende beach au club kusherehekea.
Ukitaka kula na vipofu usiwashike mikono kula kimyakimya hii ndio busara.
 
Mimi siktai hizi sherehe nachokataa ni kuwa hizi sherehe zote ni wanawake pekee ndio wanataka wanaume tujitoe kuanzia .

Muda wetu
Pesa zetu
Mpaka kuwapost ikiwa wenyewe hawana chochote cha kuoffer kwenye izo siku zaidi ya K tu.
Hii sasa ni maelewano kati yako na mpenzi wako na huwezi kuwashirikisha nchi nzima kujadili mizinga unayopigwa na mpenzi wako huenda hiyo ndio tabia yake na hata zikifutwa hizo siku za maadhimisho bado ataendelea kukupiga mizinga,cha msingi wewe kama mwanaume uwe na msimamo sio kila kitu unachoambiwa lazima ufanye
 
Screenshot_20250802-105700.png
 
Siku ukija kugundua ulioa mke mjinga au una mpango wa kuoa mke mjinga…, ole wako usimuweke mtandaoni endapo siku yake ya kuzaliwa ikifika na akalaghaiwa na kakijana kakuni na kajanja ka-mjini kakawa kanamuweka mpaka kwenye profile picha yake umekwisha! 😅
 
😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom