Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,838
- 58,525
Wanijeria wanakulaHii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii View attachment 3661157
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.
Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi katoa gamba lake utakimbia aiseee.
Mpaka nimewaza sasa kutembea kwa maringo yote haya kumbe anatisha hivi. Mmmh
View attachment 3661158
Vishu Mtata unakulaga
Hata hapa bongo kuna watu wanakula mkuu tena hawajali wala nini..Wanijeria wanakula
Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii View attachment 3661157
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.
Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi katoa gamba lake utakimbia aiseee.
Mpaka nimewaza sasa kutembea kwa maringo yote haya kumbe anatisha hivi. Mmmh
View attachment 3661158
Vishu Mtata unakulaga
Mkuu bora iwe hvo tuu ila sio uone live live aiseee inatisha mkuu inatisha sanaIkipikwa vizuri hata wewe utakula
Mkuu bora iwe hvo tuu ila sio uone live live aiseee inatisha mkuu inatisha sana
Sasa tunaongea lugha moja mkuu..
Nikupe kodi ya train hadi tarehe 06 usiku?Hata hapa bongo kuna watu wanakula mkuu tena hawajali wala nini..
Jose mla vichwa unamjua ?Hata hapa bongo kuna watu wanakula mkuu tena hawajali wala nini..
Mkuu naomba odds tatu tuu leo maana nina project hii hapa mkuuNikupe kodi ya train hadi tarehe 06 usiku?
Hapana ndo yupi huyoJose mla vichwa unamjua ?
Huyo anakula kila kitu mpaka kenge.Hapana ndo yupi huyo
Isije ikawa ndo weqw mkuu mbna kama unamuelezea deep hvoHuyo anakula kila kitu mpaka kenge.
Ni famous sana huko tik tok haishii hapo anakula na KENDE mkuu za kila kiumbe π
Kwasababu unashangazwa na mtu kula snail, nimeona nkupe mfano hai wa huyo jamaa.Isije ikawa ndo weqw mkuu mbna kama unamuelezea deep hvo
Sana sana mkuu..Hapo ndipo unapoona ule msemo wa don't judge a book by its cover unavyofanya kazi kinyume chake. Giza linasitiri mengi kwenye ulaji wa hivi viumbe.
Mshaanza sasa ππππππule ute wa hiyo konokono ni bonge moja la skin care