Kuna vitu vinatia kinyaa

Kuna vitu vinatia kinyaa

Hahahahahhaa looh nimejiuliza tuu chemchem ya hizo nywele imeanzia chini au kidevuni looh

Maana ziko kama ukanda hehehehehehe hatareee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mbuga za wanyama mikumi
 
Hata kama zimezidi ndo maumbile hatufanani mbona dudu zikizidi mnapenda hizo ziwe kinyaa hapana bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Horseshoe acha basi mambo yakoo
Hakyanani vile moyo wangu ndo ushaacha kazi uloitiwa ya kusukuma damu umekudondokea(in sukuma tongue) Niko tayari kuagiza mamlaka za ndani zijenge ukuta kuzunguka moyo wangu kisha waweke gate wang'oe kitasa kabisa ukija wakutobolee uingie na viatu vyako moyoni...huu upweke huu daah!
 
sema naskia(ga) wenye manyoya hivyo hawapatwa(gi) kale kaugonjwa ketu pendwa maana virusi wakija wanaishia kwenye manyoya!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] na wanaongoza kwa kupata fangasi na magonjwa ya ngozi mana bacteria wanajificha kwenye nywele
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] na wanaongoza kwa kupata fangasi na magonjwa ya ngozi mana bacteria wanajificha kwenye nywele
Acha kupotosha buana God is Great Architect! Kuacha manyoya hakukosea usanifu!
 
Hakyanani vile moyo wangu ndo ushaacha kazi uloitiwa ya kusukuma damu umekudondokea(in sukuma tongue) Niko tayari kuagiza mamlaka za ndani zijenge ukuta kuzunguka moyo wangu kisha waweke gate wang'oe kitasa kabisa ukija wakutobolee uingie na viatu vyako moyoni...huu upweke huu daah!
Mvua za dar zinakusumbua ee
 
Hizo hazitolewagi wewe acha ushamba, nyoa ujitaftie matatizo
 
Back
Top Bottom