Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,052
Hahaha kwa kweli hapana
Mimi haraka haraka nilifikiri nyuki











mama chanja wake anazipenda huuuiHahaha kwa kweli hapana
Mimi haraka haraka nilifikiri nyuki











mama chanja wake anazipenda huuuiNilishawahi sikia ukinyoa hayo ndiyo umeyawekea samadiHahaha kwa hiyo na magugu yanaota pia



Nimecheka kwa sauti jamani vitu vingine duuCheka mwayaa yaan kifuani hapo wanacheza mpira kabisa
Umetisha dada duh!Huyo naye anavuaje sharti wakati yupo kama shamba la mpunga!

Kkkkkkk kwa hiyo ndio zinachachamaa kabisaaaNilishawahi sikia ukinyoa hayo ndiyo umeyawekea samadi![]()
Kweli kabisa tafuta pesaKama watu mngekuwa mnafanana na avatar zenu kuchepuka kungezidi mabata ushungi wallah! Ngoja nitafute pesa ya kuhonga ili nisaidiane na kaka Mond kusia mbegu nzuri ili kutunza kwa kizazi kijacho!
Sawa...una kajinsia shirikishi ama ni jinsia ya bashite?Kweli kabisa tafuta pesa
Zako kati hapo umetoa??Kwani hakuna vimashine vya kutoa hizo takataka hapo aaarghhhhh ,nae kavua kabisa shati jamanii8View attachment 745054
Kwahyo hadithi yako inafundisha nnSiku moja nilikuwa naelekea Makumbusho nikitokeaTegeta,njiani nakumbuka alipanda Tozi mmoja mpaka abiria wote walishangaa...jamaa alikuwa amevaa T-shirt kama ya Ali Kiba ( itazame picha aliypiga Ali Kiba,Kikwete na Ommy Dmpoz) halafu hapo katkati ya kifua ( the part of a chest that was uncovered) palikuwa pamejaa unywele hatar tupu...halafu jamaa hana hata wasiwasi na amezkuza kwa dawa ni ndefu na nyeusi hatar!
Kuna watu hawajui vitu vizurimama chanja wake anazipenda huuui
Acha tu wazungu naona hufanua waxNimecheka kwa sauti jamani vitu vingine duu
HahahahahaHuyo naye anavuaje sharti wakati yupo kama shamba la mpunga!
Ndugu yangu achaKuna watu hawajui vitu vizuri
Mbona mi nafanana na avatar yanguKama watu mngekuwa mnafanana na avatar zenu kuchepuka kungezidi mabata ushungi wallah! Ngoja nitafute pesa ya kuhonga ili nisaidiane na kaka Mond kusia mbegu nzuri ili kutunza kwa kizazi kijacho!
Wewe kina nani wanayapendaNdiyo wanapenda lakini si kuziacha hivyo nje
Alaf mshabiki wa simba kanikeraaWewesasa awe mchafu si balaa kwanza anaonekana tu kuonga kwake shida
Nabaki nazo za niniZako kati hapo umetoa??