Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Kwani hakuna vimashine vya kutoa hizo takataka hapo aaarghhhhh ,nae kavua kabisa shati jamanii8[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Basi kuna watu wanapenda vitu vya ajabu aiseeMbona mi ninazo na Wanawake wanapenda kuzichezea tukilala
Yaan jamani bora hata yangekuwa malaini au yakawa machache mi yananitia kinyaaChimpanzee au zinjathroupas
Aisee hukumpiga hata ka picha hivii [emoji23][emoji23][emoji23] naona ulishangaa haswaaSiku moja nilikuwa naelekea Makumbusho nikitokeaTegeta,njiani nakumbuka alipanda Tozi mmoja mpaka abiria wote walishangaa...jamaa alikuwa amevaa T-shirt kama ya Ali Kiba ( itazame picha aliypiga Ali Kiba,Kikwete na Ommy Dmpoz) halafu hapo katkati ya kifua ( the part of a chest that was uncovered) palikuwa pamejaa unywele hatar tupu...halafu jamaa hana hata wasiwasi na amezkuza kwa dawa ni ndefu na nyeusi hatar!
Kwaiyo wewe huyapendi?Yaan jamani bora hata yangekuwa malaini au yakawa machache mi yananitia kinyaa
Siyapendi ndioKwaiyo wewe huyapendi?
Ndiotakataka?
sasa hapo unakwangua patageuka kama kidevuniNdio
Hata miti hupunguzwa majani
Yaan vinyweleo mpaka tumboni jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hapo unakwangua patageuka kama kidevuni
Mapenzi uchafu. Ukiona uchafu popote ulipo umeyaona mapenziKwani hakuna vimashine vya kutoa hizo takataka hapo aaarghhhhh ,nae kavua kabisa shati jamanii8[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]View attachment 745054
Zimeunganika hadi kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaudhiiHahahahahhaa looh nimejiuliza tuu chemchem ya hizo nywele imeanzia chini au kidevuni looh
Maana ziko kama ukanda hehehehehehe hatareee.
We unayapendaa aiseeSipendi hayo madude jamani!!