Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,804
- 36,466
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.
Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna kipindi kama kijana unajikuta tu uko na mahusiano na mabinti 4, 5, 6 n.k
Wengine hawashituki hiyo hali huona ni fahari. Wengine wanaumia , hawafurahii lakini kuchomoka inakuwa vigumu.
Uzinzi kwa kijana unakuwa peak pale anapokuwa na pesa nyingi bila kujali ameoa au hajaoa.
Ili uachane na hiyo hali ya uzinzi uliokomaa lazima uchukue maamuzi ya kikatili. Nasema maamuzi ya kikatili kwasababu kuna wanawake ving'ang'anizi, ukiwaacha ni kama umekata matumaini yao hivyo hawako tayari kuachika kizembe.
Njia ni mbili tu, waambie kwa sms au kwa kuwapiga simu au wablock kila kona. Whatsapp, Instagram, kwenye sms na voice calls.
Usitoe sababu yoyote. Wewe piga block na hakikisha huoni ujumbe wake kwa njia yoyote.
Ukipiga block endelea na maisha yako ya kawaida.
Mimi nimewahi kuwa na mademu 5 kipindi kimoja. Sasa naweza kuthubutu kusema Sina demu zaidi ya wife.
Kataa zinaa, ishi maisha marefu na yenye mafanikio.