Kuna Vijana pale THT wanajua sana....

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,142
27,103
Wakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana...
Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza wadada wawili Jolie Na Karen, wanajua sana kiasi kwamba wakipata usimamizi mzuri wanaweza kuja kufanya makubwa hapo baadaye.

Jolie Haimaanishi

Karen Lawama

THT walimu wao wanastahili tuzo kiukweli maana kama kazi wanaifanya na ile kweli ni Tanzania House of Talents.Heko kwao
 
THT ambayo ilioteka soko la muziki kwa vipaji kama marlaw, maunda zorro,barnaba,amini,mwasiti,pipi etc haipo, so far kwa miaka ya hivi karibuni haijafanikiwa kutoka vipaji bora kama mwanzoni. Kingine ubunifu hakuna yaani watu wa THT ni kama flow na melody zinazofanana. THT ina kazi ya ziada asee
 
Vipaji vipo kibao sema sikuhizi bosi anawatumia nakuwaacha ukiona wasanii wanapata promo ujue boss anataka awatumie kwa fiesta tu
 
Wakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana...
Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza wadada wawili Jolie Na Karen, wanajua sana kiasi kwamba wakipata usimamizi mzuri wanaweza kuja kufanya makubwa hapo baadaye.

Jolie Haimaanishi

Karen Lawama

Jolie habari nyinginr aisee Haimaanishi ni bonge moja la ngoma yani ni hatari kabisa....
Karen wa kawaida siyo mbaya lakini ana kitu unique
 
Siklikilizeni wimbo wangu na napenda sana kusikia ushauri juu ya aina ya muziki ninaofanya
Naomba mwe real plz
 
Attachments

  • laban_yasikukute(prd bullet beatz).mp3
    3.7 MB · Views: 10
Wanajua kuimba vizuri lakini hawana tungo nzuri; anayewapangia sauti za tungo hawatendei haki; ile tungo ya pili ya lawama ilikuwa na unafuu kidogo ila ingeweza kuboreshwa zaidi, ile ya kwanza inahitaji kazi kubwa kunyanyua. Kuna thread nimejadili mambo mbalimbali kuhusu tungo za muziki hapa
 
Hao unaosema wanajua, hata hizo nyimbo zao, hawajaandika mwenyewe. Wameendikiwa!! Sasa hapo wanajua nini??
 
Siklikilizeni wimbo wangu na napenda sana kusikia ushauri juu ya aina ya muziki ninaofanya
Naomba mwe real plz
Sauti yako (vocal) ya tenor ni nzuri sana, lakini kuna wakati unajaribu kujilazimisha kuingia kwenye sauti za alto, ambako unaosea. Katika tungo usiwe na ujumbe mrefu sana, na usiuweke kwenye mashairi, bali ujumbe uwe ni mfupi unaeoelewaka haraka, na ukae kwenye kibwagizo tu. Kibwagizo chako chote kiasema omba yasikukute, lakini hakiko wazi ni yapi unayoomba yasikukute. Halafu kwenye mashairi yako ndiyo umeweka maelezo ya hayo unayotaka yasikukute. Badilisha Kibwagizo uwe na maneno "omba usipoteze kazi yako"

Mapungufu ya muziki wa aina hii ni kuwa unamlazimisha msikilizaji kusikiliza mashairi zaidi ili aelewe ujumbe badala ya kumfanya afurahie muziki na kuucheza. Akishajua mashairi tu basi inakuwa rahisi kukosa hamu ya muziki huo tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom