Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,817
Reaction score
62,027
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.

Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.

Ni hivi, nimesoma mitandao mingi ya jamii na kusoma sentiment za wananchi kuhusiana na nchi yao nimeshtushwa kuona mambo ya fuatayo
1. Wananchi wengi wanaocomment kuhusiana na mambo ya Jeshi la wananchi, wanaonekana kupoteza imani na jeshi hilo au kulidharau, wengi wanalilaumu kuwa halikufanya ipasavyo kuzuia mauaji ya wananchi wengi october 29, na wanaliona limekaa kulinda masilahi ya kisiasa ya CCM kuliko nchi na katiba yake.

2. Wananchi wanaocomment kuhusiana na kundi la uasi liitwalo TFF wameonekana kuwa na huruma na kundi hilo, kuunga mkono malengo yake na wengine kuonyesha hata shauku ya kujiunga na kundi hilo.

Kwa namna yoyote viashiria hivi siyo vyema, ni hatari mno kwa mustakbali wa Taifa. Ni lazima serikali na baraza la Taifa la usalama vikae chini na vione ni namna gani vinaondoa matishio haya.

Mimi kwa maoni yangu ni kuwa:

1. Matendo ya utekaji na kuuawa wananchi yasiyokoma, yamewapotezea wananchi imani kwa serokali, na wengi wanaona inahusika. Lakini pia yamewaondolea wananchi imani kwa vyombo vya usalama, maana haya mambo yamegeuka ni desturi ktk nchi yetu.

2. Kutoheshimu katiba hasa haki ya wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa. Sasa hivi nchini, hakuna uchaguzi wa haki, siyo kuanzia kwa serikali za mitaa mpaka rais. Kote huko ni magumashi matupu. Hii inawafanya wananchi waone kuwa utawala ulioko madarakani si wao, na hata unapoamrisha majeshi wanayaona majeshi kama washirika wa utawala usio wa wananchi. Kwa hiyo ni lazima kama taifa tukubaliane, Je huko mbeleni tunataka utawala wa demokrasia kweli au tunataka kundi dogo ndo lituchagulie viongozi.

3. Ufisadi na upigaji uliokithiri, huku mafisadi papa wakipeta wakati wananchi wakihaha kupata japo pesa za kujikimu. Wananchi wanaona ufisadi ukitamalaki, hatusikii mtu kufikishwa mahakamani kwa sababu ya rushwa, au kusimamishwa kupisha uchunguzi wa ubadhirifu. Imekuwa ni suala la kabadilishana vyeo tu, mteue huyu, mtengue yule basi. Hii kitu imezidisha chuki na hasira kwa wananchi.

4. Tatizo la ajira.
Watu wengi hasa vijana wana tatizo hili, hii pia inatengeneza pool ya watu ambao ni rahisi kusajiliwa (recruited) kujiunga na vikundi hatari. Ipo haja ya serikali kuweka mkazo sana kwenye kuwezesha wananchi kuliko kujali kukusanya mapato peke yake. Tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kupasuka.

4. Lazima mageuzi (reforms) ya kisiasa na kiuchumi yafanyike nchini. Nchi imevimba sana hii, lolote linaloweza kuchochea uasi wa silaha lazima lishughulikiwe kwa njia stahiki. Mahakama iachwe huru itende haki, isifanye kazi kwa vimemo au simu, vyombo vya uthibiti navyo visitumike kama fimbo ya kuonea watu au taasisi zao.

Hivi viashiria vya wananchi kuanza kuzungumza kuunga mkono njia za nguvu ni kitu hatari mno. Tukae chini kama Taifa tusolve hii kitu la sivyo tuendako ni kubaya mno.
 
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.

Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.

Ni hivi, nimesoma mitandao mingi ya jamii na kusoma sentiment za wananchi kuhusiana na nchi yao nimeshtushwa kuona mambo ya fuatayo
1. Wananchi wengi wanaocomment kuhusiana na mambo ya Jeshi la wananchi, wanaonekana kupoteza imani na jeshi hilo au kulidharau, wengi wanalilaumu kuwa halikufanya ipasavyo kuzuia mauaji ya wananchi wengi october 29, na wanaliona limekaa kulinda masilahi ya kisiasa ya CCM kuliko nchi na katiba yake.

2. Wananchi wanaocomment kuhusiana na kundi la uasi liitwalo TFF wameonekana kuwa na huruma na kundi hilo, kuunga mkono malengo yake na wengine kuonyesha hata shauku ya kujiunga na kundi hilo.

Kwa namna yoyote viashiria hivi siyo vyema, ni hatari mno kwa mustakbali wa Taifa. Ni lazima serikali na baraza la Taifa la usalama vikae chini na vione ni namna gani vinaondoa matishio haya.

Mimi kwa maoni yangu ni kuwa
1. Matendo ya utekaji na kuuawa wananchi yasiyokoma, yamewapotezea wananchi imani kwa serokali, na wengi wanaona inahusika. Lakini pia yamewaondolea wananchi imani kwa vyombo vya usalama, maana haya mambo yamegeuka ni desturi ktk nchi yetu.

2. Kutoheshimu katiba hasa haki ya wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa. Sasa hivi nchini, hakuna uchaguzi wa haki, siyo kuanzia kwa serikali za mitaa mpaka rais. Kote huko ni magumashi matupu. Hii inawafanya wananchi waone kuwa utawala ulioko madarakani si wao, na hata unapoamrisha majeshi wanaoyaona majeshi kama washirika wa utawala usio wa wananchi. Kwa hiyo ni lazima kama taifa tukubaliane, Je huko mbeleni tunataka utawala wa demokrasia kweli au tunataka kundi dogo ndo lituchagulie viongozi.

3. Ufisadi na upigaji uliokithiri, huku mafisadi papa wakipeta wakati wananchi wakihaha kupata japo pesa za kujikimu. Wananchi wanaona ufisadi ukitamalaki, hatusikii mtu kufikishwa mahakamani kwa sababu ya rushwa, au kusimamishwa kupisha uchunguzi wa ubadhirifu. Imekuwa ni suala la kabadilishana vyeo tu, mteue huyu, mtengue yule basi. Hii kitu imezidisha chuki na hasira kwa wananchi.

4. Tatizo la ajira.
Watu wengi hasa vijana wana tatizo hili, hii pia inatengeneza pool ya watu ambao ni rahisi kusajiliwa (recruited) kujiunga na vikundi hatari. Ipo haja ya serikali kuweka mkazo sana kwenye kuwezesha wananchi kuliko kujali kukusanya mapato peke yake. Tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kupasuka.

4. Lazima mageuzi (reforms) ya kisiasa na kiuchumi yafanyike nchini. Nchi imevimba sana hii, lolote linaloweza kuchochea uasi wa silaha lazima lishughulikiwe kwa njia stahiki. Mahakama iachwe huru itende haki, isifanye kazi kwa vimemo au simu, vyombo vya uthibiti navyo visitumike kama fimbo ya kuonea watu au taasisi zao.

Hivi viashiria vya wananchi kuanza kuzungumza kuubga mkono uasi wa silaha ni kitu hatari mno. Tukae chini kama Taifa tusolve hii kitu la sivyo tuendako ni kubaya mno.
this is useless and completely nonsense article of the day gentleman.

hakuna mapinduzi ya kijeshi au kiraia yatakayotokea na kufanikiwa Tanzania hata kwa sekunde10 tu :1Head:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
this is useless and completely nonsense article of the day gentleman.

hakuna mapinduzi ya kijeshi au kiraia yatakayotokea na kufanikiwa Tanzania hata kwa sekunde10 tu :1Head:

Uliwahi kusema kuwa october 29 hakutatokea nywinyinywi wala nywenywenywe, mkaishia kuua wananchi wasio na hatia majumbani na mitaani mwao!
 
Gentleman hakuna kilichotokea oct.29.2025 zaidi ya uchaguzi huru, wa haki na wa wazi kufanyika kwa amani..
Vitendo vya kigaidi vilivyotokea kwa uchache sana katika maeno machache sana nchini, vilidhibitiwa mara moja na vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama, licha uharibifu kidogo uliotokea.
hata hivyo,
kwasasa Tanzania ni salama kuliko wakati mwingine wowote tangu tupate uhuru :1Head:
 
Ukweli ndiyo huo, hata sisi tuliopo vijijini tunalitambua hilo. Kwanza uwezo wa namba moja ni mdogo mno, Mkunda yupo kwa ajiri ya kulinda maslahi yake na alie mpa hiyo nafasi. Ni vyema iwepo njia mbadala ya kubadilisha hiyo system yao. Angalia ndugu zetu walivyokufa inasikitisha sana.
 
this is useless and completely nonsense article of the day gentleman.

hakuna mapinduzi ya kijeshi au kiraia yatakayotokea na kufanikiwa Tanzania hata kwa sekunde10 tu :1Head:

Hivi wewe mwendawazimu, ni lini utakuja kuijiwa na akili timamu? Kwa kuwa huna akili ya kutafakari mambo, ni vema ungekuwa na subira, uone wenye akili timamu wanasema nini, kuliko kila wakati kujitokeza haraka na kuweka takataka zako hapa!!
 
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.

Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.

Ni hivi, nimesoma mitandao mingi ya jamii na kusoma sentiment za wananchi kuhusiana na nchi yao nimeshtushwa kuona mambo ya fuatayo
1. Wananchi wengi wanaocomment kuhusiana na mambo ya Jeshi la wananchi, wanaonekana kupoteza imani na jeshi hilo au kulidharau, wengi wanalilaumu kuwa halikufanya ipasavyo kuzuia mauaji ya wananchi wengi october 29, na wanaliona limekaa kulinda masilahi ya kisiasa ya CCM kuliko nchi na katiba yake.

2. Wananchi wanaocomment kuhusiana na kundi la uasi liitwalo TFF wameonekana kuwa na huruma na kundi hilo, kuunga mkono malengo yake na wengine kuonyesha hata shauku ya kujiunga na kundi hilo.

Kwa namna yoyote viashiria hivi siyo vyema, ni hatari mno kwa mustakbali wa Taifa. Ni lazima serikali na baraza la Taifa la usalama vikae chini na vione ni namna gani vinaondoa matishio haya.

Mimi kwa maoni yangu ni kuwa
1. Matendo ya utekaji na kuuawa wananchi yasiyokoma, yamewapotezea wananchi imani kwa serokali, na wengi wanaona inahusika. Lakini pia yamewaondolea wananchi imani kwa vyombo vya usalama, maana haya mambo yamegeuka ni desturi ktk nchi yetu.

2. Kutoheshimu katiba hasa haki ya wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa. Sasa hivi nchini, hakuna uchaguzi wa haki, siyo kuanzia kwa serikali za mitaa mpaka rais. Kote huko ni magumashi matupu. Hii inawafanya wananchi waone kuwa utawala ulioko madarakani si wao, na hata unapoamrisha majeshi wanaoyaona majeshi kama washirika wa utawala usio wa wananchi. Kwa hiyo ni lazima kama taifa tukubaliane, Je huko mbeleni tunataka utawala wa demokrasia kweli au tunataka kundi dogo ndo lituchagulie viongozi.

3. Ufisadi na upigaji uliokithiri, huku mafisadi papa wakipeta wakati wananchi wakihaha kupata japo pesa za kujikimu. Wananchi wanaona ufisadi ukitamalaki, hatusikii mtu kufikishwa mahakamani kwa sababu ya rushwa, au kusimamishwa kupisha uchunguzi wa ubadhirifu. Imekuwa ni suala la kabadilishana vyeo tu, mteue huyu, mtengue yule basi. Hii kitu imezidisha chuki na hasira kwa wananchi.

4. Tatizo la ajira.
Watu wengi hasa vijana wana tatizo hili, hii pia inatengeneza pool ya watu ambao ni rahisi kusajiliwa (recruited) kujiunga na vikundi hatari. Ipo haja ya serikali kuweka mkazo sana kwenye kuwezesha wananchi kuliko kujali kukusanya mapato peke yake. Tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kupasuka.

4. Lazima mageuzi (reforms) ya kisiasa na kiuchumi yafanyike nchini. Nchi imevimba sana hii, lolote linaloweza kuchochea uasi wa silaha lazima lishughulikiwe kwa njia stahiki. Mahakama iachwe huru itende haki, isifanye kazi kwa vimemo au simu, vyombo vya uthibiti navyo visitumike kama fimbo ya kuonea watu au taasisi zao.

Hivi viashiria vya wananchi kuanza kuzungumza kuubga mkono uasi wa silaha ni kitu hatari mno. Tukae chini kama Taifa tusolve hii kitu la sivyo tuendako ni kubaya mno.
Suluhisho ni kukifuta chama tawala kwa kupoteza uzalendo wa Nchi kwa kujali matumbo yao na Mtoto yao majizi
 
Hivi wewe mwendawazimu, ni lini utakuja kuijiwa na akili timamu? Kwa kuwa huna akili ya kutafakari mambo, ni vema ungekuwa na subira, uone wenye akili timamu wanasema nini, kuliko kila wakati kujitokeza haraka na kuweka takataka zako hapa!!
sina muda wa kusubiri ujinga na nonsense za kilofa kama hizo gentleman,

hiyo haraka unayosema ninayo kwenye kujibu nonsense zenu, ndivyo itakavyokua katika kudhibiti hiyo nonsense ya mtoa hoja.
so,
ni vizuri kuondokana na hiyo dhana potofu mara moja, mwabie na mtoa hoja aache kuwaza ujinga ambao hauwezekani Tanzania :1Head:
 
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.

Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.

Ni hivi, nimesoma mitandao mingi ya jamii na kusoma sentiment za wananchi kuhusiana na nchi yao nimeshtushwa kuona mambo ya fuatayo
1. Wananchi wengi wanaocomment kuhusiana na mambo ya Jeshi la wananchi, wanaonekana kupoteza imani na jeshi hilo au kulidharau, wengi wanalilaumu kuwa halikufanya ipasavyo kuzuia mauaji ya wananchi wengi october 29, na wanaliona limekaa kulinda masilahi ya kisiasa ya CCM kuliko nchi na katiba yake.

2. Wananchi wanaocomment kuhusiana na kundi la uasi liitwalo TFF wameonekana kuwa na huruma na kundi hilo, kuunga mkono malengo yake na wengine kuonyesha hata shauku ya kujiunga na kundi hilo.

Kwa namna yoyote viashiria hivi siyo vyema, ni hatari mno kwa mustakbali wa Taifa. Ni lazima serikali na baraza la Taifa la usalama vikae chini na vione ni namna gani vinaondoa matishio haya.

Mimi kwa maoni yangu ni kuwa:

1. Matendo ya utekaji na kuuawa wananchi yasiyokoma, yamewapotezea wananchi imani kwa serokali, na wengi wanaona inahusika. Lakini pia yamewaondolea wananchi imani kwa vyombo vya usalama, maana haya mambo yamegeuka ni desturi ktk nchi yetu.

2. Kutoheshimu katiba hasa haki ya wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa. Sasa hivi nchini, hakuna uchaguzi wa haki, siyo kuanzia kwa serikali za mitaa mpaka rais. Kote huko ni magumashi matupu. Hii inawafanya wananchi waone kuwa utawala ulioko madarakani si wao, na hata unapoamrisha majeshi wanayaona majeshi kama washirika wa utawala usio wa wananchi. Kwa hiyo ni lazima kama taifa tukubaliane, Je huko mbeleni tunataka utawala wa demokrasia kweli au tunataka kundi dogo ndo lituchagulie viongozi.

3. Ufisadi na upigaji uliokithiri, huku mafisadi papa wakipeta wakati wananchi wakihaha kupata japo pesa za kujikimu. Wananchi wanaona ufisadi ukitamalaki, hatusikii mtu kufikishwa mahakamani kwa sababu ya rushwa, au kusimamishwa kupisha uchunguzi wa ubadhirifu. Imekuwa ni suala la kabadilishana vyeo tu, mteue huyu, mtengue yule basi. Hii kitu imezidisha chuki na hasira kwa wananchi.

4. Tatizo la ajira.
Watu wengi hasa vijana wana tatizo hili, hii pia inatengeneza pool ya watu ambao ni rahisi kusajiliwa (recruited) kujiunga na vikundi hatari. Ipo haja ya serikali kuweka mkazo sana kwenye kuwezesha wananchi kuliko kujali kukusanya mapato peke yake. Tatizo la ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kupasuka.

4. Lazima mageuzi (reforms) ya kisiasa na kiuchumi yafanyike nchini. Nchi imevimba sana hii, lolote linaloweza kuchochea uasi wa silaha lazima lishughulikiwe kwa njia stahiki. Mahakama iachwe huru itende haki, isifanye kazi kwa vimemo au simu, vyombo vya uthibiti navyo visitumike kama fimbo ya kuonea watu au taasisi zao.

Hivi viashiria vya wananchi kuanza kuzungumza kuunga mkono uasi wa silaha ni kitu hatari mno. Tukae chini kama Taifa tusolve hii kitu la sivyo tuendako ni kubaya mno.
Wakusolve ndio hao Wana HOFU ya kutoka Madarakani. Nadhani wanaamini kwamba hata kama kuna lolote baya likitokea wao binafsi hawataathirika. Maisha yao yataenda kama kawaida. Kama Wana HOFU basi sio HOFU ya nchi kuharibika bali ni HOFU ya wao kupoteza Madaraka.
 
Kuna ukweli fulani ktk hili
Wako tayari hata kugawa rasilimali za nchi ilimradi tu walinde shingo zao.
 
Maneno huumba unapo taja uhaini,ugaidi nk kama havipo ni wazi unahitaji vije na baada ya ku experience athari zake ndo sense hufanya kazi vema kwamba sio neno ni kuongea tu.Leo hii pale Rwanda ukianza mambo ya Uhutu na Tutsi basi ni wazi unahitaji njia ya akhera mapema sana sababu ya experience ya 1994.

Watanzania mara nyingi tulikuwa na mawazo ya kuona Makundi ya wahasi kuwa yenye matatizo,lakini Toka Mo 29 mawazo yame badilika na watu kuona kwamba Makundi ya kihasi ndo "wazalendo haswa"
 
Dah, watanzania bhana!

Serikali feki ya CCM doesn’t give a f*ck at all about what people say or suggest

Bila mapinduzi sahamu kuitoa serikali haramu ya Tanzania.

Mazee tuwe serious, watu wamezoea kutengeneza billions kwa kutoa amri tu unafikiri watakubali watoke?

Hapa ni revolutionary au rudi home ukamwe uji na mkeo.
 
Back
Top Bottom