Hongereni Azam tv na Solidarity forever; ni wakati wa Tanzania kwa timu za Simba na Yanga

Twin Tower

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
2,129
2,982
Hili tangazo linalorushwa na Azam tv hakika limejaa uzalendo na linasukuma utaifa zaidi.

Ukilisikiliza unapata msisimko wa uzalendo kabisa.

Timu zetu zipambane zisituangushe, tusonge hatua za mbele zaidi.

Pongezei Azam kwa ubunifu wa kuleta uzalendo.

Simba vs Al Ahly

Yanga vs Mamelod

Tanzania kwanza.
 
Thread haijakamilika mkuu , ujumbe unasemaje ungesema, hata picha ya huo ujumbe sio wote tunaangalia Azam TV
 
amna hiko kitu solidarity,ingeenza huk sio leo kisa na yanga kapita mpka tutafakari
 
SEMA nyimbo wamezingua Kama ya msiba Yani umekaa kimajonzi majonzi tofauti na tukio
 
Hili tangazo linalorushwa na Azam tv hakika limejaa uzalendo na linasukuma utaifa zaidi.

Ukilisikiliza unapata msisimko wa uzalendo kabisa.

Timu zetu zipambane zisituangushe, tusonge hatua za mbele zaidi.

Pongezei Azam kwa ubunifu wa kuleta uzalendo.

Simba vs Al Ahly

Yanga vs Mamelod

Tanzania kwanza.
Azam wenyewe hawana nia ya kufika mbali kwenye michuano mikubwa kimataifa na wala hawana haja ya kuchukua ubingwa kwenye mashindano ya ndani
 
Kipindi simba anamenyeka na. robo fainali zote zilizopita mbona hizo nyimbo hazikuwepo
 
amna hiko kitu solidarity,ingeenza huk sio leo kisa na yanga kapita mpka tutafakari
Mzee Mwinyi alipata kusema, " mwendazimu akikuvua nguo muungwana unapaswa uchutame " falsafa ya methali hii ni kwamba usifanye kosa ambalo mtu mpumbavu amefanya kwani na wewe utaonekana kama yeye( ficha uchi wako hata kwa mikono ukiwa umechutama badala ya kukimbizana na chizi aliyekuvua nguo wote mtaonekana machizi)
 
Back
Top Bottom