Kuna umuhimu gani wa kubadili dini?

Kuna umuhimu gani wa kubadili dini?

kwa uislam, ndani ya quran kuna aya inayo waamrisha waislam kuoa mtu wa dini hiyohiyo (muislam kwa muislam), na kama ndoa itafungwa kwa dini tofauti ndoa haitakubalika kwa mungu.
Kwa mwenye kujug biblia inasemaje kuhusu kuoa, halafu hapa tutapa jibu....
 
Kwanza kabisa kama wewe unamsimamo wa dini yako usitafute mapenzi na mtu mwenye dini tofauti. Siyo rahisi mtu kubadili na hata akibadili itakuwa just for the sake of it. Lakini ile imani ya ukaribu na mungu kwakweli inakuwa shida.

Na hata ikiwa ndoa ya kiserikali matatizo yatakuwa pale watoto watakapozaliwa washike dini ipi.....?


nijuavyo mimi dini ni imani ya mtu anayoiyumia kuawasiliana na muumba wake, Mungu ni mmoja so huyo unayemwamini wewe ndio mwenzako anayemuamini so kubadili dini haina maana ,na sioni umuhimu wake zaid ya unafiki tu ,ndoa ni mapenzi tu na love has got no compromise hata iweje ukimpenda utamkubali alivyo no changes at ol
 
Salaam zenu wana jamvi!

Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi,
Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja.
Hapa nazungumzia kwa aina yeyote ile ya ndoa . . . (Homosexual excluded!)

Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.
Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,
Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.

Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,
Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.

Lakini, pamoja na yote hayo,
Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zao
Ili tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).
Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!

Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.
Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
  • Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
  • Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
  • Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,
Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????

Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.
Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa?
Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
Dini ni imani. Ukiamua kuamini ktk imani fulani ruksa. Ukiona umechoka kuamini inachoamini na umependezewa na imani nyingine na ukaamua kuhamia huko so be it. Ukiamua kuamini imani fulani sababu ya umpendae ruksa. Mkiachana na umpendae kama utaamua kurdia imani yako, ruksa. Ukiamua kubakia na imani ya mpenzio ruksa.
 
kubadili dini sababu ya ndoa jua mtu huyo hajui anachoamini katika dini hiyo.

Nadhani inatakiwa kubadili dini pale msimamo wa imani kutokana kupata mwanga mpya ama taarifa mpya.
 
nijuavyo mimi dini ni imani ya mtu anayoiyumia kuawasiliana na muumba wake, Mungu ni mmoja so huyo unayemwamini wewe ndio mwenzako anayemuamini so kubadili dini haina maana ,na sioni umuhimu wake zaid ya unafiki tu ,ndoa ni mapenzi tu na love has got no compromise hata iweje ukimpenda utamkubali alivyo no changes at ol

Mmmh kuna ka ukweli lakini mapenzi na baniani yanakuaje.....ya kuabudu sanamu?
 
Kwanza kabisa kama wewe unamsimamo wa dini yako usitafute mapenzi na mtu mwenye dini tofauti. Siyo rahisi mtu kubadili na hata akibadili itakuwa just for the sake of it. Lakini ile imani ya ukaribu na mungu kwakweli inakuwa shida.

Na hata ikiwa ndoa ya kiserikali matatizo yatakuwa pale watoto watakapozaliwa washike dini ipi.....?

Watoto wataamua wakikua
 
Back
Top Bottom