God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
[emoji3][emoji3][emoji3]Hii HUMAN EVOLUTION badala ua kufutwa ni muhimu sana ifundishwe kwa vitendo namna hii
[emoji3][emoji3][emoji3]Hii HUMAN EVOLUTION badala ua kufutwa ni muhimu sana ifundishwe kwa vitendo namna hii
Sayansi inataka kujua, haitaki kuamini.ngoja nipate, pumziko nikirudi nilaleta changamoto zaidi...
nitajitahiti kujibu na kutoa maoni yangu katika post #96 ya Al-Watan
Ila kwangu naamini Wanasayansi ambao wanaamini Uwepo wa Mungu wanacompetitive advantage ya kuexcel zaidi kuliko wale wanaoamini mambo ya kufikirika yasiyo na mashiko.
You know whats funny,unaongea kuhusu science and we should keep an open mind.....which I agree with you,we should be skeptic and judge the evidence.....but on whether evolution is true of false,hilo limeshapita kitambo sanavitu vingine unatumia na Common Sense ambayo mwanadamu amekuwa nayo hata kabla ya hizo methodology.
Unajua hata kusema jiwe hili ni Kilo moja ilikuwa ni makubaliano ya watu tu huko ufaransa 1795, lakini leo hii imekuwa agreed grobal fact na watu wa kada zote.
tujifunze mambo kutoka katika angle zote. sio kwa njia ambazo tayari zimebuniwa na wadau wachache na kuwa kama miongozo yako ya uelewa. Tunaanzia hapo na kuexplore facts zaidi...
Hii thana ni nzuri sana lakini tuelewe kitu kimoja evolution haiwezi kutake place pakuche asubui jioni evolution itake place it take million of years kitu kichange
Sorry so studies zimefanyika universities tofauti duniani,zikaleta results tofauti,kuhusu radioactivity!!!?mwambie tena kifaa cha kupimia kimewahi kutoa majibu ya ajabu sana sehemu nyingi duniani ila wanaficha ili kuulinda ujanjaujanja huo.
Kinachowapa nguvu ni kwa sababu wanauhakika hakuna anaejua birthday ya Ulimwengu.
huwezi kujua umri wa kitu bila kujua au kukadilia birthday yake ili upate pa kuanzia kuhesabu.
Ndio maana leo ukimficha umri wako ukamwambia akupime na hizo walizogundulia dunia inamiaka million sijui nne utakutwa na miaka hata 23450000 wakati kumbe wakati mwingine mtu ni under 18(mfano).
Sasa kama hadi leo hakuna kifaa cha kupima umri wa mtu wa kawaida tu wanabashiri, unaanzia wapi kuamini kipimo kinachobashiri matukio ya miaka millions iliyopita.
hapo ndio mwanzo wa watu kufikiri nje ya madaftari.
"kwangu naamini wanasayansi wanaamini kuna mungu wana'competitive advantage kuliko wanasayansi wasioamini kuna Mungu"ngoja nipate, pumziko nikirudi nilaleta changamoto zaidi...
nitajitahiti kujibu na kutoa maoni yangu katika post #96 ya Al-Watan
Ila kwangu naamini Wanasayansi ambao wanaamini Uwepo wa Mungu wanacompetitive advantage ya kuexcel zaidi kuliko wale wanaoamini mambo ya kufikirika yasiyo na mashiko.
Evolution ni imani kama imani zingineKuna Scientific Evidence ya kutosha kwamba evolution ni kweli.
Molecular Evidence, Paleontological Evidence and so forth.
Jifunze fossil records, genetics, epigenetics utambue kuna evidence ya kutosha kuhusu Evolution.
Elimu ya dini sio Elimu ya kisayansi na haina lolote la kusema juu ya sayansi,hata Papa John and Francis wanakubaliana na hili,mambo haya yasichanganywe.
Watoto wafundishwe mapema kujua which is scientific and which are myths.
Btw ukitaka kufundisha dini na sayansi wakati mmoja,unaweza tu ukaanza kufundisha alchemy na chemistry wakati mmoja,ukidai vyote vina evidence sawa,while sio kweli kabisa.
Kama mwenzetu ulikwisha jiuliza weka majibu hapa.Btw ulizeni Nchi kama Marekani ambao walifuta hili na kuamua kuirudisha mashuleni???
kwanini waliamua kuirudisha miaka ya 60 baada ya kuifuta mashuleni kwa muda mrefu!!?
Huwezi kuelezea life, scientifically bila kuongelea evolution theory
2017 kuna evidence ya kutosha ambao huwezi kukimbia wala kujificha.....btw Nchi ngapi beside uturuki wanafanya hili!!!?
Also Wana evidence kiasi gani,inayo'support theory yao kuwa evolution is not a scientific theory and religious theory have equal stand as scientific ones!!?
Ni maswali ya kujiuliza kabla ya kuparamia vitu......
Kwenye sayansi kuna kuthibitisha au kuonyesha ushahidi ?In science Imani haiitajiki ... Kinachohitajika ni kujiuliza, kufikiri, kufanya uchunguzi na kuthibitisha tuu.. Ukitaka kuupumzisha ubongo wako kufikiri just amini eg.. Kikombe cha babu kinatibu ukimwi..
Kwanini tofauti ndogo itumike kama ushahidi wa evolution?na sio kuwa ndivyo ilivyofanyikaHakuna Imani kwenye Evolution,on the molecular level tuna tofauti ndogo sana na primates.4% differences between us and bonobos.
Hili halihitaji any kind of belief......the evidence is out there
Btw if you can explain this without using Evolution then you can win a nobel prize.....View attachment 530726
Tatizo watu hatupendi kufanya research kujua dunia inaendaje,tunapenda kukaa na yale tunayoamini toka tumezaliwa coz inafanya kuiona dunia iwe rahisi zaidiEvolution ni imani kama imani zingine
Tatizo ni ninyi mliokaririshwa hizo unazotaka kutumia kama evidence kulinda muda uliopoteza kukariri.
Kuna maswali lukuki evolutions believer hawana majibu
Wapi tutapata binadam ambaye yuko half way kuelekea ubinadam
Wapi tutaona fossils za chui ambaye hajakamilika au simba aliyenjiani kufikia usimba halisi.
Evolution ilikoma au bado inaendelea,
Kama kuna evolution ni katika jamii husika lakini sio kutoka jamii nyingine na kuwa nyingine
Mwanzo ndicho kitabu chenye maelezo sahihi kuhusu Umbaji na Asili ya vyote
Ina maana tumewahi tu ingewezekana bobamdier zikawa zinachumwa kwenye miti ?
Evolution Work
Evidence regarding evolution theory requires a strong belief and not scientific proofAlso tatizo kubwa hapa ni kuchanganya mythical stories and science.
There is absolutely zero evidence,kwamba umeumbwa sijui miaka 2000 iliyopita........there is plenty of scientific evidence that you evolve and shared a common ancestor with other primates.
And sadly just because some few scientists wanapinga kuwa Evolution theory is true,doesn't real change the reality since what matters is the evidence not your personal opinion.
And that's how science works.
Hapo ndipo imani yenu kuhusu evolution ilipojikita. Wewe unatakiwa kuishi miaka mamilioni kushuhudiaHii thana ni nzuri sana lakini tuelewe kitu kimoja evolution haiwezi kutake place pakuche asubui jioni evolution itake place it take million of years kitu kichange
Hao microorganism na au hata HIV vina evolve kuwa sungura ?It's a gradual change over long period of time in order to adapt new environment....inachukua muda kuona results on macroorganisms but kuna example like HIV Virus and other bacterial Mutation ambazo ni raisi kuona effect of evolution.
Sorry what is a theory to you!!!?coz inaonyesha hufahamu nini maana ya theoryKwanini tofauti ndogo itumike kama ushahidi wa evolution?na sio kuwa ndivyo ilivyofanyika
4% inakufanya ukome kufikiri ?
Evolution is still a theory to date
Sio kweli kuwa tunapinga nadharia kuhusu Evolution kinachopingwa ni evolution ya bacteria kuwa nyauIt's 2017 ndugu zangu....... Evolution is not only true but useful in various scientific achievements.
Understanding Antibiotics resistance,Stem cell research,epigenetics,treatment of cancer biotechnology and so forth.
Evolution is bedrock of life science,you can't have life science without evolution theory,unless you go around and ignore all the evidence and all the achievements that we as human species have achieve after understanding evolution.
There is a reason why People like late Pope John Paul and Pope Francis support evolution theory despite their religious belief,not because they want to look cool/intellectual but because of its overwhelming evidence.
Khan Academy
Jifunze kutumia maneno ya kumaanishaHehehe watanzania kweli nimewachoka na udini wenu wa kipumbavu, lini mtakuja mtambue kua mnayoamini mengi ni upuuzi mtupu mlijazwa na madingi wenu waliojazwa na mababu zenu ambao na wao walijazwa na wakoloni?
Evolution is a fact sio imani, ni kitu ambacho kina proof, ambaye hajasoma ndo hawezi kuliona hili, unachukulia mambo juu juu tu, sayansi ndiyo sababu leo umekaa JF unawasiliana na dunia nzima, ila dini sijui imesaidia nini zaidi ya kuleta mauaji toka karne nyingi nyuma. Huu ujinga hautokuja pitishwa, na ukipitishwa nabadilisha uraia, can't deal with stupidity day and night.
Tuwe serious kidogo ndugu. Hivi wakati mababu zako wana evolve mwili ulikuwa una evolve na mifumo yake yote au jicho lilikuwa lina evolve kivyake baada ya miaka kikaja kujipachika lilipo au ilikuwaje ndugu ?We are studying evolution on the molecular level now, epigenetics,stem cell research
Hizi zote new discoveries zimetokana na kuelewa vyema evolution theory.......Africa bado tunang'ang'ania binadamu tuliumbwa na tunataka ifundishwe darasani pamoja na science.
You wonder why,hatu'advance scientifically......
Adam and Eve is a creation myth......... Evolution is a scientific facts,that is support by not one type of evidence by different types of evidence coming from different fields of science(Genetics, Biochemistry, Paleontology,medicine and so forth)
Unless you have a concrete evidence that can prove all the above science fields have wrong/false evidence,and creationism is true,then present it and win a nobel prize, otherwise go back and read some other books than the Bible and understand some science,please.
Sorry that's not evolution,virus kugeuka kuwa sungura..........what I'm talking here,ni speciation....species of the same family having a mutation na kupatikana kuwa species wengine wapya.Hao microorganism na au hata HIV vina evolve kuwa sungura ?