Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

In science Imani haiitajiki ... Kinachohitajika ni kujiuliza, kufikiri, kufanya uchunguzi na kuthibitisha tuu.. Ukitaka kuupumzisha ubongo wako kufikiri just amini eg.. Kikombe cha babu kinatibu ukimwi..
evolution at its root is RELIGION/MAMBO YA IMANI(whose God is MILLIONS OF YEARS) and not SCIENCE
 
evolution at its root is RELIGION/MAMBO YA IMANI(whose God is MILLIONS OF YEARS) and not SCIENCE

Hebu tueleze hiyo dini yako inaelezeaje kuhusu "human changes from generation to generation"... Mimi ya kwangu inasema Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake (Adam), Kisha akamuumba mtu mke kwa kutumia ubavu wa Adam(Hii ni baada ya kumuona yu mpweke)
Since then, nothing changed.. Tunafanana naye..
 
Sayansi inajibu hilo kirahisi kabisa haihitaji dini. ndio maana nakwambia evolution at its roots iz not Science.
Soma geneology, Inasupport kwa nini mbwa hata abadilike vipi atabaki kuwa mbwa.
na mwanadamu hata abadilike vipi atabaki mwanadamu.
 
Without a belief that Evolution happened Millions years ago, the whole concept of evolution is DEAD.
Unahitaji Imani, Ili evolution iwe hai. Evolution sio sayansi ndio maana muanzilishi Darwin alikuwa kasisi kabla ya kuanza hizo dili mkubwa wangu
Hakuna Imani kwenye Evolution,on the molecular level tuna tofauti ndogo sana na primates.4% differences between us and bonobos.

Hili halihitaji any kind of belief......the evidence is out there

Btw if you can explain this without using Evolution then you can win a nobel prize.....
IMG_6028.JPG
 
Also tatizo kubwa hapa ni kuchanganya mythical stories and science.

There is absolutely zero evidence,kwamba umeumbwa sijui miaka 2000 iliyopita........there is plenty of scientific evidence that you evolve and shared a common ancestor with other primates.

And sadly just because some few scientists wanapinga kuwa Evolution theory is true,doesn't real change the reality since what matters is the evidence not your personal opinion.
And that's how science works.
 
Hii thana ni nzuri sana lakini tuelewe kitu kimoja evolution haiwezi kutake place pakuche asubui jioni evolution itake place it take million of years kitu kichange
It's a gradual change over long period of time in order to adapt new environment....inachukua muda kuona results on macroorganisms but kuna example like HIV Virus and other bacterial Mutation ambazo ni raisi kuona effect of evolution.
 
It's 2017 ndugu zangu....... Evolution is not only true but useful in various scientific achievements.

Understanding Antibiotics resistance,Stem cell research,epigenetics,treatment of cancer biotechnology and so forth.

Evolution is bedrock of life science,you can't have life science without evolution theory,unless you go around and ignore all the evidence and all the achievements that we as human species have achieve after understanding evolution.

There is a reason why People like late Pope John Paul and Pope Francis support evolution theory despite their religious belief,not because they want to look cool/intellectual but because of its overwhelming evidence.

Khan Academy
 
Simple logic,hakuna Nchi duniani ili'advance scientifically after ignoring evolution theory and replace it with some religious studies.

Even Rome,knows how to differentiate between creationism and scientific facts.
 
Hehehe watanzania kweli nimewachoka na udini wenu wa kipumbavu, lini mtakuja mtambue kua mnayoamini mengi ni upuuzi mtupu mlijazwa na madingi wenu waliojazwa na mababu zenu ambao na wao walijazwa na wakoloni?

Evolution is a fact sio imani, ni kitu ambacho kina proof, ambaye hajasoma ndo hawezi kuliona hili, unachukulia mambo juu juu tu, sayansi ndiyo sababu leo umekaa JF unawasiliana na dunia nzima, ila dini sijui imesaidia nini zaidi ya kuleta mauaji toka karne nyingi nyuma. Huu ujinga hautokuja pitishwa, na ukipitishwa nabadilisha uraia, can't deal with stupidity day and night.
 
Simple logic,hakuna Nchi duniani ili'advance scientifically after ignoring evolution theory and replace it with some religious studies.

Even Rome,knows how to differentiate between creationism and scientific facts.
Mleta mada kajiabisha kwa kuvua nguo hadharani na kuonesha utupu wa ubongo wake.

Imagine mtu anakwambia evolution ni imani, eti watu walitokana na Nyani.Mara abadili aseme tulitokana na samaki.

Hivi kuna field yoyote ya science isiyotumia evolution? Watu walishaanza ku manipulate evolution karibu kila kona ya science, evolutionary psychology wanachunguza human mind na wanatumia knowledge ya evolution.
 
We are studying evolution on the molecular level now, epigenetics,stem cell research

Hizi zote new discoveries zimetokana na kuelewa vyema evolution theory.......Africa bado tunang'ang'ania binadamu tuliumbwa na tunataka ifundishwe darasani pamoja na science.

You wonder why,hatu'advance scientifically......

Adam and Eve is a creation myth......... Evolution is a scientific facts,that is support by not one type of evidence by different types of evidence coming from different fields of science(Genetics, Biochemistry, Paleontology,medicine and so forth)

Unless you have a concrete evidence that can prove all the above science fields have wrong/false evidence,and creationism is true,then present it and win a nobel prize, otherwise go back and read some other books than the Bible and understand some science,please.
 
Dhana ya evolution ni nzuri na angalau inatoa mwanga kifikiri zaidi..ila dini hapana,kusema tulifinyangwa si kweli.
Dunia imetokana na nn?basi mtafute source ya kila kiumbe kilichoundwa kama havikuwekwa au kuumbwa na Mungu
 
Also tatizo kubwa hapa ni kuchanganya mythical stories and science.

There is absolutely zero evidence,kwamba umeumbwa sijui miaka 2000 iliyopita........there is plenty of scientific evidence that you evolve and shared a common ancestor with other primates.

And sadly just because some few scientists wanapinga kuwa Evolution theory is true,doesn't real change the reality since what matters is the evidence not your personal opinion.
And that's how science works.
Evidence au zinazoitwa evidence zimekuwa proven wrong mara nyingi tu. kwa kutokuwepo na valid ageometer.
Mfano unatumia kupima radioactivity concepts lakini wanasahau kuwa lazima uwe na start time ya hivo evolution ambayo inakubidi uwe umongo wa kushiba kuleta start time ili kuwe na evidence ya mabadiliko hayo ya miaka mamillioni.

Evolution is a contradiction if not religion
 
Hii thana ni nzuri sana lakini tuelewe kitu kimoja evolution haiwezi kutake place pakuche asubui jioni evolution itake place it take million of years kitu kichange
Kipimo cha hiyo miaka na evidence yake ndicho kinaprove hakuna usayansi wowote kwenye evolution
 
It's a gradual change over long period of time in order to adapt new environment....inachukua muda kuona results on macroorganisms but kuna example like HIV Virus and other bacterial Mutation ambazo ni raisi kuona effect of evolution.
Micro-Evolution angalau inaweza kuleta mantic ukiacha evolution nyingine zote...
Hao bakteria hawabadiliki kuwa mchwa.
Hao virusi hawabadiliki kuwa mende.
Bali wote wanabaki viumbe walewale wenye sifa tofauti.
Ndicho tunachosema watu Tunaomuunga Creative and Intellgent Designer (God).
Kuwa kunauwezekano Mwanadamu akabadilika ila asiwe mbwa au samaki.
Mwanadamu alikuwa mmoja lakini leo kuna muhindi.mchina,mbongo etc bamoja na mabadiliko yote hayo hawezki kuwa Chatu. Hapa watu wa evolution wanapiga chenga na kusema wanahitaji miaka mamillioni ambayo kipimo chenyewe tu cha hiyo miaka ni contradiction.
 
It's 2017 ndugu zangu....... Evolution is not only true but useful in various scientific achievements.

Understanding Antibiotics resistance,Stem cell research,epigenetics,treatment of cancer biotechnology and so forth.

Evolution is bedrock of life science,you can't have life science without evolution theory,unless you go around and ignore all the evidence and all the achievements that we as human species have achieve after understanding evolution.

There is a reason why People like late Pope John Paul and Pope Francis support evolution theory despite their religious belief,not because they want to look cool/intellectual but because of its overwhelming evidence.

Khan Academy
kuhusisha watu wa imani kwenye evolution ili kuongeza kina cha hoja yako pia sio sahihi.
evolution unayozungumzia hapo ni vitu ambavyo vinawezekana na hata darwin alikufa alikuwa havijui.
Yote hayo yalikuja baada ya kuwepo kwa Genetic science (Darwin alikufa hajui hayo) ambayo ikagundulika kumbe mabadiliko hayo yote hayana uhusiano na mazingira ya nje isipokuwa Genes za kiumbe.
Kwa hiyo hayo maelezo yote juu ni result ya genetics ambayo kwanza mvumbuzi wake alikuwa supporter wa creation.
Pili hiyo micro-evolution ambayo imeleta hayo kidogo inaleta maana maana kote huko hakuna change from one species to another mkuu.
Ndio maana wagunduzi wa anti-biotics, na changes of resistence... kote huko huyo kiumbe anabadilika lakini anabaki yule yule...
 
Back
Top Bottom