Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Nilipoona tu unasema wanadamu walitokana na nyani nimeishia hapohapo kusoma. Wewe ni miongoni mwa wale ambao hamkuelewa mnasoma nini shuleni au mwalimu wako aliye kufundisha evolution alikua kiazi. Kwakua elimu haina mwisho unaweza kupata mwanga kidogo hata kwa kusoma wikipedia jaribu kusoma tena ukiwa na open mind. Weka hisia zako na maoni yako pembeni ukitaka kuujua ukweli na ku enjoy science, vinginevyo umevamia vitu vilivyo uzidi ubongo wako uwezo

Ulichoandika ndio mleta mada anataka kiwepo,watoti wasifundishwe evolution.
Wasome wakiwa watu wazima hili waww na uwezo wa kuoji na kudadisi zaidi kuliko kuambiwa tu binadamu alikua nyani au binadamu kaambwa kutoka kwenye udongo.
 
OP hongera kwa thread nzuri!
Maoni yangu:Mimi naona bora zote zifundishwe.
Ukisema hufundishi zote basi ujue mtoto atafundishwa ile ya dini (Mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu) nyumbani, na itakuwa ni sawa tu umeruhusu hiyo moja ifundishwe sema ifundishwe nyumbani badala ya shuleni.
Hoja yako ya kwanza imekaa poa i.e zote zifundishwe shuleni
 
Yaani MM unasema binadamu alitokana na nyani?
Unasema hivyo kwa lengo LA kupotosha watu au hata wewe mwenyewe huelewi maana ya evolution?
Mkuu unasema evolution ni imani? Hebu niambie ni imani ipi inayo exist kwa evidences na inayoruhusu kukosolewa?

Kwa mtazamo wako, masalia ya watu wa kale yaliyopatikana Africa kama vile fuvu la Olduvai yalitokea wapi?

Tatizo moja la hizo dini zenu ni kuwafanya watwana wa fikra.Kama ingekuwa ni Zimbabwe ndio wameikataa evolution sijui kama ungeanzisha huu uzi. Lakini kwa kuwa waturuki wameshafikiria kuikataa evolution, wewe unaona mawazo yao ni sawa.

Mimi nadhani ni wakati wa kuacha kudanganya watoto kuwa Mungu ndiye aliyetuumba.

Nadharia ya creationism imejaa uongo mtupu.Mfano ni inaposema mwanamke alitoka kwenye ubavu wa mwanamke ilihali ukweli ni kwamba mwanaume ndiye aliyetoka kwenye uke wa mwanamke.
Hapo ni pagumu sana, Hivi ukiulizwa kuku na yai ni kipi kilianza utakuwa na jibu sahihi? Ukizingatia ili yai lianguliwe lazima kuwe na jogoo.
 
Serikali ya uturuki imeshafuta mada hiyo, itafundishwa kuanzia chuo kikuu
 
Hapo ni pagumu sana, Hivi ukiulizwa kuku na yai ni kipi kilianza utakuwa na jibu sahihi? Ukizingatia ili yai lianguliwe lazima kuwe na jogoo.
Mkuu kitu cha kwanza kuwepo ni yai.
Nucleic acid inajitengeneza, halafu inafuata nucleus. Then CaCO3 inatengeneza ganda la yai na kufungia maji ndani yake......kutokea hapo ndio hatu nyingine za uhai zinaendelea.
 
Mada hii hua inaniumiza sana kichwa maana hua najiuliza kama ni Kweli mbona tuna mapori mengi sana huku kwetu na hatuja wahi sikia au kuona kuna mtoto alie kuwa nyani au sokwe kaokotwa? Acha nikae kimyaa.

nyani wenye uwezo Wa kubadilika waliisha!
 
Kuna Scientific Evidence ya kutosha kwamba evolution ni kweli.
Molecular Evidence, Paleontological Evidence and so forth.

Jifunze fossil records, genetics, epigenetics utambue kuna evidence ya kutosha kuhusu Evolution.

Elimu ya dini sio Elimu ya kisayansi na haina lolote la kusema juu ya sayansi,hata Papa John and Francis wanakubaliana na hili,mambo haya yasichanganywe.

Watoto wafundishwe mapema kujua which is scientific and which are myths.

Btw ukitaka kufundisha dini na sayansi wakati mmoja,unaweza tu ukaanza kufundisha alchemy na chemistry wakati mmoja,ukidai vyote vina evidence sawa,while sio kweli kabisa.
 
Btw ulizeni Nchi kama Marekani ambao walifuta hili na kuamua kuirudisha mashuleni???

kwanini waliamua kuirudisha miaka ya 60 baada ya kuifuta mashuleni kwa muda mrefu!!?

Huwezi kuelezea life, scientifically bila kuongelea evolution theory

2017 kuna evidence ya kutosha ambao huwezi kukimbia wala kujificha.....btw Nchi ngapi beside uturuki wanafanya hili!!!?

Also Wana evidence kiasi gani,inayo'support theory yao kuwa evolution is not a scientific theory and religious theory have equal stand as scientific ones!!?

Ni maswali ya kujiuliza kabla ya kuparamia vitu......
 
unapinga evolution lakini unakubali ulifanyangwa kwenye udongo..
angalau inaleta Logic jinsi nilivyokuwa programed internally na externally its practically impossible to be by chance.
There Must be someone supernatural behind this logic
 
Mambo ya imani tunaambiwa hutakiwi kuhoji ila ajabu na haya ya kisayansi ukihoji unaonekana huna elimu unaambiwa ukasome,basi ni balaa.

Nilitegea watu wawaelimishe wasioelewa vizuri hili jambo ila matokeo yake naona watu wakishambulia imani za dini na kudharau kuwa watu hawana elimu.
 
what will we look like 1000 years from now? allien?
Kuna predictions nyingi
futurehumans9.jpg

futurehumans00.jpg
 
Mambo ya imani tunaambiwa hutakiwi kuhoji ila ajabu na haya ya kisayansi ukihoji unaonekana huna elimu unaambiwa ukasome,basi ni balaa.

Nilitegea watu wawaelimishe wasioelewa vizuri hili jambo ila matokeo yake naona watu wakishambulia imani za dini na kudharau kuwa watu hawana elimu.
Mkuu usijali hili sio suala dogo na kwa sababu huwa halina facts za kushiba basi wengi hukimbilia kwenye vichaka vya kutishiana elimu. Limewahi kufika mahakamani mara kadhaa US litolewe madarasani na haohao wanasayansi baadhi...
Mfano mwingine
A Petition Asking Mike Pence to Ban Evolution in the Name of Religion? Utter Hogwash! | HuffPost
 
hapo hapo kwenye kufananana na nyani hata kama haukuwa nyani(maana Mimi naamini Orgin ya Mwanadamu ni UUMBAJI)
ndiko kwenye utata wenyewe.
Najua kabla ya kuwa kama nyani(Homo sapiens) tulikuwa Samaki kabisa kwa mujibu wa imani hiyo ya Evolution...
Ila ukifundisha wanadamu walitokana na SAMAKI ndio isingeeleweka kabisa
CeXDuN9.png

ourfacefish2man.jpg

Usichanganye Imani na Science.. Kwa "imana you have to believe basi, No reasoning or questioning"... In science you have both of them plus kuthibitisha.. Dogo you have a longway to go...
 
Usichanganye Imani na Science.. Kwa "imana you have to believe basi, No reasoning or questioning"... In science you have both of them plus kuthibitisha.. Dogo you have a longway to go...
Without a belief that Evolution happened Millions years ago, the whole concept of evolution is DEAD.
Unahitaji Imani, Ili evolution iwe hai. Evolution sio sayansi ndio maana muanzilishi Darwin alikuwa kasisi kabla ya kuanza hizo dili mkubwa wangu
 
Without a belief that Evolution happened Millions years ago, the whole concept of evolution is DEAD.
Unahitaji Imani, Ili evolution iwe hai. Evolution sio sayansi ndio maana muanzilishi Darwin alikuwa kasisi kabla ya kuanza hizo dili mkubwa wangu

In science Imani haiitajiki ... Kinachohitajika ni kujiuliza, kufikiri, kufanya uchunguzi na kuthibitisha tuu.. Ukitaka kuupumzisha ubongo wako kufikiri just amini eg.. Kikombe cha babu kinatibu ukimwi..
 
Back
Top Bottom