Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Acha uongo ndugu yangu,the only contradiction on Radioctive dating it will give you an estimated time not exactly time,but still it's a very good predictable tool for dating

Still kuna anatomical evidence, embryological evidence,DNA evidence
Hizo zote zinatoa evidence ya kutosha kuhusu evolution.so point yako haisimami

Evolution is a simple theory,it's a useful Scientific theory,which is being used to advance science for decades,hakuna Nchi ili'advance leo Scientific especially on life science, wana'support creationism or biblical version of creation, ever!!!

Simple fact, Headquarters za scientific studies of Roman Catholic in Rome(Pontifical Academy of Sciences)wana'support Evolution science baada ya kuikataa kwa muda mrefu sana,unafikiri kwa nini??wanafanya science kila siku,unafikiri hawajapata evidence za creationism!!?
Wanasupport evolution in what sense ndugu
Hata Mimi naunga mkono na kukubali evolution katika jamii ya chenye uhai
Evolution ya minyoo kuwa chui au simba ni imani tu
Evolution miongoni mwa minyoo au nyumbu na aina zake sawa kabisa
Kilichobakia kwenye evolution nje ya jamii fulani kubadirika kwenda jamii nyingine ni imani tu
 
Yaani kusoma post zako inaonyesha kiasi gani huelewi lolote kuhusu evolution theory

1)we share a common ancestor with other primates, thats why nilipost hiyo picture ili ujaribu kueleza inakuwaje sisi tuwe kwenye family moja na bonobos bila evolution theory

2)Hakuna kitu cha mbwa kubadilika kuwa popo,bundi kuwa mchwa.....that's not evolution theory,unless unatengeneza ya kwako.....when Mutation ikitokea in the same family then kuna uwezekano wa kutokea new species,Again soma vizuri hiyo diagram and jaribu kuelewa vizuri evolution

But unless unataka kuelezea abiogenesis.....it still a studying field,kuwa life imeanzia wapi,mpaka sasahivi,theory tulikuwa nayo bacteria ndio kiumbe cha Kwanza then 4 billion years of evolution ndo tuko hapa leo,and people are still studying that na results nzuri zinajitokeza

Meanwhile hakuna evidence yoyote kuwa sijui kulikuwa na Adam then ubavu wake ukachukuliwa na kutengenezwa Eve....it's total bull crap,the simple fact binadamu wote tunakuwa wanawake kwenye matumbo ya mama zetu,miezi 3 ya Kwanza na wanaume tunazaliwa na useless nipples.......just put all biblical creationism on shame.
Evolution ilikoma au bado inaendelea ?
 
Jifunze kutumia maneno ya kumaanisha
Evolution INA Proof au INA evidence ?
Evolution sio fact ndugu au eleza nani aliweza kuifanya kuwa fact badala ya kuwa nadharia au kwako nadharia/Dhana na facts ni kitu kimoja
Proof and Evidence

Nimeuliza hili swali na hakuna alilijibu mpaka sasa..... duniani sasa hivi watu wanasoma kuhusu epigenetics,gene editing,all those groundbreaking Scientific discoveries are product of understanding evolution theory........unafikiri kama Evolution was "just a theory" kwanini inatumika miaka 150 baada ya kugundulika!!!?

Kwanini inaendelea kuwa useful.....makanisa kama Roman Catholics ambao walikuwa wanaipinga hii kwa muda mrefu,na wanafanya science kwa muda mrefu,wakaja kuikubali!!!?kwanini wasije na kitu mbadala kinacho'support Mungu/Imani yao.


Maswali ambayo sijajibiwa,zaidi ya watu kupiga kelele "it's just a theory" btw do you even know what a theory is!!!?nini kinafanya kitu kibadilike toka kuwa hypothesis kwenda kwenye theory!!!?

Au tunabishana tu,kupotezana muda
 
Hoja hapa,dini ifundishwe kwenye madarasa ya dini na Science kwenye madarasa ya Science,full stop.

Huwezi fundisha mythological stories kwenye science class na Scientific facts on mythological classes.

Huko ni kuharibu elimu......
Evolution at macro level is just a blind belief
 
Tuwe serious kidogo ndugu. Hivi wakati mababu zako wana evolve mwili ulikuwa una evolve na mifumo yake yote au jicho lilikuwa lina evolve kivyake baada ya miaka kikaja kujipachika lilipo au ilikuwaje ndugu ?
Jifunze evolution ya Jicho ndo utapata jibu ya swali lako
 
Mtu anayekataa evolution anaelezeaje bacterial resistance to previously working antibiotics?

Kwa nini bacterial diseases zamani ukinywa tetracycline tu wanakufa,siku hizi wana resistance?

Kwa nini Malaria zamani ukinywa quinine tu au chloroquine Malaria inakatika, siku hizi mpaka unywe madawa ya ajabu?

Wanafahamukwamba hiyoni evolution?
Simpo kwa kuwa same evolve na kuwa sungura hivyo genome imebadirika
 
Wanasupport evolution in what sense ndugu
Hata Mimi naunga mkono na kukubali evolution katika jamii ya chenye uhai
Evolution ya minyoo kuwa chui au simba ni imani tu
Evolution miongoni mwa minyoo au nyumbu na aina zake sawa kabisa
Kilichobakia kwenye evolution nje ya jamii fulani kubadirika kwenda jamii nyingine ni imani tu
Mnyoo kuwa Simba,sio evolution although viumbe wote wanashare DNA

Kama bacteria kuwa Simba,bacteria as a prototype of life,still ni kitu kinachosomwa na maybe one day kutakuwa na explanation....tusubiri majibu,I'm not an expert on that,kama wewe nakubaliana na speciation
 
Watu wameisoma hiyo Bible yako,hizo facts ulizo'post are so vague,anybody can have numerous different types of interpretation.

The same way,wazungu walitumia Bible ku'justify slavery na wazungu haohao wakaitumia Bible kupinga slavery

Hivyohivyo linaenda kwenye issue ya homosexuality,biblia imetumika miaka nenda rudi kuwahukumu,now watu wanachukua mistari kuhalalisha

Michezo hii ni kawaida kwenye Bible,ndio maana yoyote mwenye akili zake timamu hawezi tumia Bible, especially kwenye issue za science
Matatizo yako usiitwishe Biblia ndugu

Watu kutumia mistari ya Biblia kukidhi haja zao hakuipunguzi Biblia ukweli na usahihi wake

Biblia ndio iliyoeleza maelfu ya miaka husu wakati kuwa na Mwanzo.
Wanasayansi wangekuwa makini wangeanza kuchunguza mwanzo wa nyakati maelfu ya miaka
Kiburi kimewafanya wachelewe kujua mambo ambayo yalikuwa wazi Mbele yao.
Jitafakari
 
Swali LA kitoto unaliita zuri. No wonder imani kuhusu evolution theory unaamini ni ukweli kuntu
Kukosekana au kuwepo kwa ushahidi hakufanyi kisichokuwepo kuwapo au kilichopo kutokuwepo
Huwezi proof existince of any deity, philosophers,theologians and scientists wote watakwambia hilo.

Kukosekana kwa evidence kuna'approve kukosekana kwa evidence sio some metaphysical unknown deep knowledge.......

Ni swali la kitoto kwa mvivu wa kufikiri
 
evolution (Macro,Cosmic,Chemical etc) is a contradiction.
Ni afadhali kuamini kilichoandikwa kwa bibilia maana kinaweza kuwa supported na science nyingi kuliko Evolution ambayo hata mwanzilishi hakuwa mwanasayansi. Wanasyansi waliingilia kati kuokoa jahazi.
Tujifunze kutenganisha pumba na mchele. Sikatai ndani ya evolution kunaweza kuwa na vitu vizuri lakni inapawsa kufundishwa kwa watu walijitambua ili wawe na uwezo wa kuhoji sehemu tata.

Kilichoandikwa kwenye biblia kinaweza kua supported na science? Hehehehe! Sidhani kama tunahitaji kuendelea hii discussion mkuu
 
Matatizo yako usiitwishe Biblia ndugu

Watu kutumia mistari ya Biblia kukidhi haja zao hakuipunguzi Biblia ukweli na usahihi wake

Biblia ndio iliyoeleza maelfu ya miaka husu wakati kuwa na Mwanzo.
Wanasayansi wangekuwa makini wangeanza kuchunguza mwanzo wa nyakati maelfu ya miaka
Kiburi kimewafanya wachelewe kujua mambo ambayo yalikuwa wazi Mbele yao.
Jitafakari
Acha mawazo mgando wewe,unafikiri hiyo Bible hawakuisoma wao........!!!?

Leo unajifanya expert na kitu ambacho uliletewa na wao!!!?

Kuisoma,wameisoma sana but at one point walikuja kufahamu kuwa Bible kama kitabu kingine hakiwezi kuwa knowledge ya kila kitu.....wakaanza ku'invest kutengeza universities instead of churches na kuisoma dunia na watu.

The fact is dini ilipoanza kufa Europe ni kwasababu watu wameisoma hiyo Bible yako na wakagundua hakuna majibu ya maana,majibu ya maana yanatoka kwenye science na philosophy tofauti.

Ndio maana wenzetu wana'advance Scientifically while sisi tunang'ang'ania tu kitabu tulicholetwa na wao eti kina majibu yote.......nani kakwambia!!!!

Funguka ndugu yangu
 
Hell nuh, kuna concepts tatu za genesis ya uhai, moja ni kwamba uhai uliambukizwa from other extraterrestrial beings from space, another concept is through evolution another one is through Miungu. Through miungu inafundishwa makanisani na misikitini, through evolution inafundishwa mashulei iyo ingine labda ujichunguzie mwenyewe, now the one through evolution is complex, kuna wanaofupisha na kusema tumetokea kwa manyani kama pctr yako ila ukija kisomi zaidi na kiufupi is that life came from small inanimate matter, that joined from cells, organs, system to an organism, n hadi sasa kuna bacteria wanasurvive kwenye mazingira magumu sana, na hawa ndio wanasayansi hutumia kuprove kwamba tumetokea huko, its a huge topic, huwezi iondoa tu alafu utudanganyie watoto wetu eti kwamba Mungu alitufinyanga akatupulizia pumzi and we became so, you'll be dumbing our kids.
Hii nadharia ya evolution ukiisoma vizuri inameki sensi saaana. Wengi wanadandia katikati tu
 
Hii nadharia ya evolution ukiisoma vizuri inameki sensi saaana. Wengi wanadandia katikati tu
Mkuu to me anybody who believes in the theory of evolution is stupid, loon and idiot,sio mtu mwenye akili timamu,I am sorry to say that,sitamung'unya maneno.Kitu kidogo sana cha kujiuliza ni kama evolution ni kweli, why don't chimpanzees change anymore?????

Mkuu ukweli ni huu, Charles Darwin was a Satanist,so he wanted to remove people from believing in God,and be satanists like himself,that was his motive.So to me mtu yeyote anayepigia chapuo Evolution is a Satanist and I believe you are too.

Hii ina maana gani kwa serikali yetu,it means our government is already captured by the Devil,that is the bottom line,and Satanists have infiltrated our government,and are in the highest places of government.But yes,this nonsense should be scrapped from school curriculums.
 
Mkuu to me anybody who believes in the theory of evolution is stupid, loon and idiot,sio mtu mwenye akili timamu,I am sorry to say that,sitamung'unya maneno.Kitu kidogo sana cha kujiuliza ni kama evolution ni kweli, why don't chimpanzees change anymore?????

Mkuu ukweli ni huu, Charles Darwin was a Satanist,so he wanted to remove people from believing in God,and be satanists like himself,that was his motive.So to me mtu yeyote anayepigia chapuo Evolution is a Satanist and I believe you are too.

Hii ina maana gani kwa serikali yetu,it means our government is already captured by the Devil,that is the bottom line,and Satanists have infiltrated our government,and are in the highest places of government.But yes,this nonsense should be scrapped from school curriculums.
Kwa hili swali lako tu inaonekana ni namna Gani ulivyokuwa hutafuti maarifa. Be philomath!


Kiswi hiki cha kuulizana from six na degree za wachovu wa kufikiria.
 
Sijasoma kabisa zaidi ya heading.
Je unaweza kutuambia warabu, wahindi, wazungu, wabantu, wamasai, wakhoi, wasomali, wachina, aboriginal, wajspan, waislael.
WALITOKACWAPI kama hakuna revoluyion.
Kama una amini mungu alimuumba adamu. Huyo adamu ni kabila gani je hao wengine aliwaumba nani.
Beyond evolution maswali ni mengi na hayana majibu. Bora evolitoon inayoa murlekeo na majibu.
Mfanio paka, chui na simba, kwa mtu mwenye akili utaona tu mfanano.
Evolution haipo kwa low IQ people.
Dini hazinaga maswali bali uamini tu walivyosema wahenga.
Evolution inacheza na logic. Science inacheza na ushahidi na evolution ina ushahidi mwingi.
Hata wewe na familia yako mna evolve. Hampo vile vile kama mababu zako. Au wewe unafanana kila kitu na babu yako.
 
Back
Top Bottom