Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

Simple logic,hakuna Nchi duniani ili'advance scientifically after ignoring evolution theory and replace it with some religious studies.

Even Rome,knows how to differentiate between creationism and scientific facts.
Hoja hapa, ni kwamba evolution ifundishwe katika levo za juu mtu akiwa na uwezo wa kudukua hata tofauti zilizomo na kupembua facts na hoax katika hizo evolution zenu.

A bible believer Must believe everthing was Created, ana any changes of organism to similar organism of different properties is the result of Quadrillions of information stored in Organism's Gene Pool.
 
Hehehe watanzania kweli nimewachoka na udini wenu wa kipumbavu, lini mtakuja mtambue kua mnayoamini mengi ni upuuzi mtupu mlijazwa na madingi wenu waliojazwa na mababu zenu ambao na wao walijazwa na wakoloni?

Evolution is a fact sio imani, ni kitu ambacho kina proof, ambaye hajasoma ndo hawezi kuliona hili, unachukulia mambo juu juu tu, sayansi ndiyo sababu leo umekaa JF unawasiliana na dunia nzima, ila dini sijui imesaidia nini zaidi ya kuleta mauaji toka karne nyingi nyuma. Huu ujinga hautokuja pitishwa, na ukipitishwa nabadilisha uraia, can't deal with stupidity day and night.
evolution (Macro,Cosmic,Chemical etc) is a contradiction.
Ni afadhali kuamini kilichoandikwa kwa bibilia maana kinaweza kuwa supported na science nyingi kuliko Evolution ambayo hata mwanzilishi hakuwa mwanasayansi. Wanasyansi waliingilia kati kuokoa jahazi.
Tujifunze kutenganisha pumba na mchele. Sikatai ndani ya evolution kunaweza kuwa na vitu vizuri lakni inapawsa kufundishwa kwa watu walijitambua ili wawe na uwezo wa kuhoji sehemu tata.
 
Mleta mada kajiabisha kwa kuvua nguo hadharani na kuonesha utupu wa ubongo wake.

Imagine mtu anakwambia evolution ni imani, eti watu walitokana na Nyani.Mara abadili aseme tulitokana na samaki.

Hivi kuna field yoyote ya science isiyotumia evolution? Watu walishaanza ku manipulate evolution karibu kila kona ya science, evolutionary psychology wanachunguza human mind na wanatumia knowledge ya evolution.
naona wewe ndio hujui hata unachoandika au na najua huwa unapata nguvu kujadili hili kama ukiwa chini ya kivuli cha watu wengine lakin haina tatizo sio lazima uelewe leo. hapa nataka uanze kufikiri kinyumenyume wenda ukapata kufahamu uliyojizuia kuyafahamu kwa kivuli cha sayansi.
CeXDuN9.png

Hiki ndicho ambacho hakifundishwi ktk evolution of Man kwa watoto wa shule. Sikupenda kuanzia huku...
no_bones_aboutit_wide.jpg

Hapa ndipo nilipoanzia. Na hiki ndicho hufundishwa kuanzia Shule ya msingi.
mngetufundisha Mtu alianza kuwa samaki hapo ndio hiyo dhana ingesahaulika kabisa, ndio maana kikatafutwa kiumbe kunachoendana kwa muonekano na mwanadamu ili kuwachota watoto akili kirahisi.
Narudia hya Mambo wafundishwe watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuhoji scientific ideas sio watoto wetu wadogo.

Evolution is the deceptive idea which can be linked to anything to validate its presence.
Hata JF imeundergo Evolution kutoka Jambo Forum kuja Jamii forum. Is that evolution?
no hapo mabadiliko ya kwaida tu. hivyo sishangai kuona kila kitu kuhusishwa na evolution.
 
We are studying evolution on the molecular level now, epigenetics,stem cell research

Hizi zote new discoveries zimetokana na kuelewa vyema evolution theory.......Africa bado tunang'ang'ania binadamu tuliumbwa na tunataka ifundishwe darasani pamoja na science.

You wonder why,hatu'advance scientifically......

Adam and Eve is a creation myth......... Evolution is a scientific facts,that is support by not one type of evidence by different types of evidence coming from different fields of science(Genetics, Biochemistry, Paleontology,medicine and so forth)

Unless you have a concrete evidence that can prove all the above science fields have wrong/false evidence,and creationism is true,then present it and win a nobel prize, otherwise go back and read some other books than the Bible and understand some science,please.
The only branch of evolution that at least make sense is Micro evolution ambayo naona woote mnakimbilia huko.
Mnashindwa kusemea evolution zenu zilizojificha kwenye miaka mamillion ili kupoteza ushahidi.

Micro-evolution was the result of true scientist Mendel(Believed in Creation) alipogundua Genetics. Ndipo kuzuia huyo jamaa Barwin asiabike ndio zikaja hizo concept za mabadiliko katika level za cell na genes.
 
Wadau karibuni kwa changamoto.
haya mambo yapo ili yajadiliwe kwa mawazo mbali mbali kwa kadili kila mtu aonavyo sahihi.
 
Hakuna Imani kwenye Evolution,on the molecular level tuna tofauti ndogo sana na primates.4% differences between us and bonobos.

Hili halihitaji any kind of belief......the evidence is out there

Btw if you can explain this without using Evolution then you can win a nobel prize.....View attachment 530726
All these did not happen by chance kwa msomi na mfuatiliaji wa mambo hawezi kukubaliana na huo uhuni.
Huwezi kulipua gogo kikatokea kiti au meza by chance.
Lazima kuwe na Maker au Seremala wa hicho kiti.
Lazima kuwe na Manual behind its existence.
Vinginevyo msuri wa mguu ndio ungekuwa ubongo, na kucha ndio zingekuwa ulimi.
Distribution za mUscles na viungo vya mwili tosha vinakana mambo hayo ya evoltuion of mankind.

Ukiangalia Vitu vilivyonyuma ya hata hicho kidole chako unachotumia kutype. Information behind its existence haiwezi kuungwa mkono na mambo yenu ya Evolution.

Ukifikiri kwa utulivu. Creation, japo ni Imani lakini inaleta maana mara mamillioni kuliko evolution hasa orgin of universe and species mkulu.
 
Evidence au zinazoitwa evidence zimekuwa proven wrong mara nyingi tu. kwa kutokuwepo na valid ageometer.
Mfano unatumia kupima radioactivity concepts lakini wanasahau kuwa lazima uwe na start time ya hivo evolution ambayo inakubidi uwe umongo wa kushiba kuleta start time ili kuwe na evidence ya mabadiliko hayo ya miaka mamillioni.

Evolution is a contradiction if not religion
Acha uongo ndugu yangu,the only contradiction on Radioctive dating it will give you an estimated time not exactly time,but still it's a very good predictable tool for dating

Still kuna anatomical evidence, embryological evidence,DNA evidence
Hizo zote zinatoa evidence ya kutosha kuhusu evolution.so point yako haisimami

Evolution is a simple theory,it's a useful Scientific theory,which is being used to advance science for decades,hakuna Nchi ili'advance leo Scientific especially on life science, wana'support creationism or biblical version of creation, ever!!!

Simple fact, Headquarters za scientific studies of Roman Catholic in Rome(Pontifical Academy of Sciences)wana'support Evolution science baada ya kuikataa kwa muda mrefu sana,unafikiri kwa nini??wanafanya science kila siku,unafikiri hawajapata evidence za creationism!!?
 
hapo nitaeleza vizuri ujue flaws za radiometric dating. Sio sasa. Wakati wanakwambia almasi inamiaka mamillioni Ila sayansi ya sasa Unaweza kutengeneza almasi japo inaweza isiwe kwa kiwango kile ndani ya masaa tu, na kuna makampuni yanafanya hayo ukitaka mfano utapewa.

na nimekuwa nikieleza japo napingwa. Na ukitibu hapo ndio uongo wote wa Evolution ambao umekuwepo duniani unakufa.
Kitakachobaki ni evolution ambayo iko suported na genetics. au ile concept uliyotumia kusema hata Cathoric wanaikubali ya fast changes mfano mabadiliko ya Bacteria HIV virus lakini wanabaki haohao virusi.
Hicho kitu sio Katoriki tu hata mimi naamini maana, naamini kinachotokea ni mabadiliko ya genes ila hakuna gene mpya inayotokea ili kiumbe kiwe kingine kabisa. Hiyo kwa lugha nyingine naweza kuiita Creation at its sweetness.
 
Micro-Evolution angalau inaweza kuleta mantic ukiacha evolution nyingine zote...
Hao bakteria hawabadiliki kuwa mchwa.
Hao virusi hawabadiliki kuwa mende.
Bali wote wanabaki viumbe walewale wenye sifa tofauti.
Ndicho tunachosema watu Tunaomuunga Creative and Intellgent Designer (God).
Kuwa kunauwezekano Mwanadamu akabadilika ila asiwe mbwa au samaki.
Mwanadamu alikuwa mmoja lakini leo kuna muhindi.mchina,mbongo etc bamoja na mabadiliko yote hayo hawezki kuwa Chatu. Hapa watu wa evolution wanapiga chenga na kusema wanahitaji miaka mamillioni ambayo kipimo chenyewe tu cha hiyo miaka ni contradiction.
Yaani kusoma post zako inaonyesha kiasi gani huelewi lolote kuhusu evolution theory

1)we share a common ancestor with other primates, thats why nilipost hiyo picture ili ujaribu kueleza inakuwaje sisi tuwe kwenye family moja na bonobos bila evolution theory

2)Hakuna kitu cha mbwa kubadilika kuwa popo,bundi kuwa mchwa.....that's not evolution theory,unless unatengeneza ya kwako.....when Mutation ikitokea in the same family then kuna uwezekano wa kutokea new species,Again soma vizuri hiyo diagram and jaribu kuelewa vizuri evolution

But unless unataka kuelezea abiogenesis.....it still a studying field,kuwa life imeanzia wapi,mpaka sasahivi,theory tulikuwa nayo bacteria ndio kiumbe cha Kwanza then 4 billion years of evolution ndo tuko hapa leo,and people are still studying that na results nzuri zinajitokeza

Meanwhile hakuna evidence yoyote kuwa sijui kulikuwa na Adam then ubavu wake ukachukuliwa na kutengenezwa Eve....it's total bull crap,the simple fact binadamu wote tunakuwa wanawake kwenye matumbo ya mama zetu,miezi 3 ya Kwanza na wanaume tunazaliwa na useless nipples.......just put all biblical creationism on shame.
 
Hoja hapa, ni kwamba evolution ifundishwe katika levo za juu mtu akiwa na uwezo wa kudukua hata tofauti zilizomo na kupembua facts na hoax katika hizo evolution zenu.

A bible believer Must believe everthing was Created, ana any changes of organism to similar organism of different properties is the result of Quadrillions of information stored in Organism's Gene Pool.

Hoja hapa,dini ifundishwe kwenye madarasa ya dini na Science kwenye madarasa ya Science,full stop.

Huwezi fundisha mythological stories kwenye science class na Scientific facts on mythological classes.

Huko ni kuharibu elimu......
 
Yaani kusoma post zako inaonyesha kiasi gani huelewi lolote kuhusu evolution theory

1)we share a common ancestor with other primates, thats why nilipost hiyo picture ili ujaribu kueleza inakuwaje sisi tuwe kwenye family moja na bonobos bila evolution theory

2)Hakuna kitu cha mbwa kubadilika kuwa popo,bundi kuwa mchwa.....that's not evolution theory,unless unatengeneza ya kwako.....when Mutation ikitokea in the same family then kuna uwezekano wa kutokea new species,Again soma vizuri hiyo diagram and jaribu kuelewa vizuri evolution

But unless unataka kuelezea abiogenesis.....it still a studying field,kuwa life imeanzia wapi,mpaka sasahivi,theory tulikuwa nayo bacteria ndio kiumbe cha Kwanza then 4 billion years of evolution ndo tuko hapa leo,and people are still studying that na results nzuri zinajitokeza

Meanwhile hakuna evidence yoyote kuwa sijui kulikuwa na Adam then ubavu wake ukachukuliwa na kutengenezwa Eve....it's total bull crap,the simple fact binadamu wote tunakuwa wanawake kwenye matumbo ya mama zetu,miezi 3 ya Kwanza na wanaume tunazaliwa na useless nipples.......just put all biblical creationism on shame.
Ukitaka tutatue mzizi wa fitna na kujua kuna hoax nyingi sana kuhusu unachokitetea, Inabidi tusianzie kwa kujifunza kuanzia huyo bakteria. na kama haitoshi alipoishi, na Orgin of Earth and universe according to evolutionary theories. hadi unafikia kwenye hao unaowaita Common ancestors utakuwa umeshachanganyikiwa.
Radiometric dating sijui Carbon dating zikifeli tu hayo yote yanabaki kuwa mastori na sio sayansi tena.

Hapo ujafikia hata kwa hiyo samaki.
 
evolution (Macro,Cosmic,Chemical etc) is a contradiction.
Ni afadhali kuamini kilichoandikwa kwa bibilia maana kinaweza kuwa supported na science nyingi kuliko Evolution ambayo hata mwanzilishi hakuwa mwanasayansi. Wanasyansi waliingilia kati kuokoa jahazi.
Tujifunze kutenganisha pumba na mchele. Sikatai ndani ya evolution kunaweza kuwa na vitu vizuri lakni inapawsa kufundishwa kwa watu walijitambua ili wawe na uwezo wa kuhoji sehemu tata.
Hahahahaha,unanichekesha kweli ndugu....unafikiri kama kilichokuwa kwenye Bible kina evidence ya kutosha tungekuwa tunabishana hapa leo!!?

Ungekuwa unaogopa eti watoto wasifundishwe evolution mpaka akili zikomae sijui,mbona hamsemi hilo kwenye issue kama quantum mechanics,organic chemistry or speed laws!!?kama Bible ina evidence ya kutosha si wafundishwe wakiwa wadogo vyote viwili then wachague wao ukweli uko wapi!!?

Uwezo wako wa kushindwa kuelewa evolution,doesn't make evolution a false theory.....it just means you cant comprehend a Scientific theory,that's all

Na woga wako wa watoto wasifundishwe evolution theory mpaka wakue inaonyesha unaogopa wakipewa Scientific facts wakiwa wadogo,watamwacha huyo mungu wako na story zake za kitoto,so solutions ni kuwa'indoctrinate wakiwa wadogo.
 
Hola hapa,dini ifundishwe kwenye madarasa ya dini na Science kwenye madarasa ya Science,full stop.

Huwezi fundisha mythological stories kwenye science class na Scientific facts on mythological classes.

Huko no kuharibu elimu......
Ndio maana nimesema vyote vitolewe.
Maana Dini mtu pia anatakiwa afanye uchaguzi akiwa mtu mzima na akili timamu...
kummezesha mtot haya maconcept yote ya dini na Evolution tunaita Indoctrination.
Bora watoe vyote au waweke zote kama theory au history na sio Science.

Kuna mambo mengi ya Kisayansi pia kwa tunaopenda kujifunza bibilia kwa milengo yoteyote.
pata update kidogo hapa.
FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana
 
Hahahahaha,unanichekesha kweli ndugu....unafikiri kama kilichokuwa kwenye Bible kina evidence ya kutosha tungekuwa tunabishana hapa leo!!?

Ungekuwa unaogopa eti watoto wasifundishwe evolution mpaka akili zikomae sijui,mbona hamsemi hilo kwenye issue kama quantum mechanics,organic chemistry or speed laws!!?kama Bible ina evidence ya kutosha si wafundishwe wakiwa wadogo vyote viwili then wachague wao ukweli uko wapi!!?

Uwezo wako wa kushindwa kuelewa evolution,doesn't make evolution a false theory.....it just means you cant comprehend a Scientific theory,that's all

Na woga wako wa watoto wasifundishwe evolution theory mpaka wakue inaonyesha unaogopa wakipewa Scientific facts wakiwa wadogo,watamwacha huyo mungu wako na story zake za kitoto,so solutions ni kuwa'indoctrinate wakiwa wadogo.
Mtu anaemuacha Mungu kwa vigezo vya Evolution Theory atakuwa na matatizo ya ubongo.
 
Antibiotic resistance and evolution
Antibiotic resistance is the ability of a microorganism to withstand the effects of an antibiotic.

Antibiotic resistance

It is a specific type of drug resistance.

Antibiotic resistance evolves naturally via natural selection through random mutation, but it could also be engineered by applying an evolutionary stress on a population.

Once such a gene is generated, bacteria can then transfer the genetic information in a horizontal fashion (between individuals) by plasmid exchange.

If a bacterium carries several resistance genes, it is called multiresistant or, informally, a superbug.

Causes Antibiotic resistance can also be introduced artificially into a microorganism through transformation protocols.

This can be a useful way of implanting artificial genes into the microorganism.

Antibiotic resistance is a consequence of evolution via natural selection.

The antibiotic action is an environmental pressure; those bacteria which have a mutation allowing them to survive will live on to reproduce.

They will then pass this trait to their offspring, which will be a fully resistant generation.

Several studies have demonstrated that patterns of antibiotic usage greatly affect the number of resistant organisms which develop.

Overuse of broad-spectrum antibiotics, such as second- and third-generation cephalosporins, greatly hastens the development of methicillin resistance.

Other factors contributing towards resistance include incorrect diagnosis, unnecessary prescriptions, improper use of antibiotics by patients, and the use of antibiotics as livestock food additives for growth promotion.

Researchers have recently demonstrated the bacterial protein LexA may play a key role in the acquisition of bacterial mutations.

Resistant pathogens Staphylococcus aureus (colloquially known as "Staph aureus" or a Staph infection) is one of the major resistant pathogens.

Found on the mucous membranes and the skin of around a third of the population, it is extremely adaptable to antibiotic pressure.

It was the first bacterium in which penicillin resistance was found—in 1947, just four years after the drug started being mass-produced.

Methicillin was then the antibiotic of choice, but has since been replaced by oxacillin due to significant kidney toxicity.

MRSA (methicillin-resistant Staphylococcus aureus) was first detected in Britain in 1961 and is now "quite common" in hospitals.

MRSA was responsible for 37% of fatal cases of blood poisoning in the UK in 1999, up from 4% in 1991.

Half of all S. aureus infections in the US are resistant to penicillin, methicillin, tetracycline and erythromycin.

This left vancomycin as the only effective agent available at the time.

However, strains with intermediate (4-8 ug/ml) levels of resistence, termed GISA (glycopeptide intermediate Staphylococcus aureus) or VISA (vancomycin intermediate Staphylococcus aureus), began appearing the the late 1990s.

The first identified case was in Japan in 1996, and strains have since been found in hospitals in England, France and the US.

The first documented strain with complete (>16ug/ml) resistence to vancomycin, termed VRSA (Vancomycin-resistant Staphylococcus aureus) appeared in the United States in 2002.

A new class of antibiotics, oxazolidinones, became available in the 1990s, and the first commercially available oxazolidinone, linezolid, is comparable to vancomycin in effectiveness against MRSA.

Linezolid-resistance in Staphylococcus aureus was reported in 2003.

CA-MRSA (Community-acquired MRSA) has now emerged as an epidemic that is responsible for rapidly progressive, fatal diseases including necrotizing pneumonia, severe sepsis and necrotizing fasciitis.

Methicillin-resistant Staphylococcus aureus (MRSA) is the most frequently identified antimicrobial drug-resistant pathogen in US hospitals.

The epidemiology of infections caused by MRSA is rapidly changing.

In the past 10 years, infections caused by this organism have emerged in the community.

The 2 MRSA clones in the United States most closely associated with community outbreaks, USA400 (MW2 strain, ST1 lineage) and USA300, often contain Panton-Valentine leukocidin (PVL) genes and, more frequently, have been associated with skin and soft tissue infections.

Outbreaks of community-associated (CA)-MRSA infections have been reported in correctional facilities, among athletic teams, among military recruits, in newborn nurseries, and among active homosexual men.

CA-MRSA infections now appear to be endemic in many urban regions and cause most CA-S. aureus infections.

Enterococcus faecium is another superbug found in hospitals.

Penicillin-Resistant Enterococcus was seen in 1983, Vancomycin-Resistant Enterococcus (VRE) in 1987, and Linezolid-Resistant Enterococcus (LRE) in the late 1990s.

Streptococcus pyogenes (Group A Streptococcus: GAS) infections can usually be treated with many different antibiotics.

Early treatment may reduce the risk of death from invasive group A streptococcal disease.

However, even the best medical care does not prevent death in every case.

For those with very severe illness, supportive care in an intensive care unit may be needed.

For persons with necrotizing fasciitis, surgery often is needed to remove damaged tissue.

Strains of S. pyogenes resistant to macrolide antibiotics have emerged, however all strains remain uniformly sensitive to penicillin.

Resistance of Streptococcus pneumoniae to penicillin and other beta-lactams is increasing worldwide.

The major mechanism of resistance involves the introduction of mutations in genes encoding penicillin-binding proteins.

Selective pressure is thought to play an important role, and use of beta-lactam antibiotics has been implicated as a risk factor for infection and colonization.

Streptococcus pneumoniae is responsible for pneumonia, bacteremia, otitis media, meningitis, sinusitis, peritonitis and arthritis.
 
Hata mi nimesikia mipango ya Uturuki. Mimi ni nakuunga mkono moja kwa moja ushauri wako kuwa tuyafundishe masuala haya kwenye watu wenye uwezo wa kuchambua mambo hasa kuanza A-Level.
Mimi ni mkristo, hata hivyo kwa mtazamo wangu theory ya evolution ni bora zaidi kuliko ile ya uumbaji (creation). Ukiikataa theory ya evolution, kataa pia kutoweka kwa dinosaurs, kubali kuwa mapiramidi ya Misri yalijengwa na waarabu.
Sasa swali, kama ukifuatilia mtiririko wa uzao wa mwanadamu tangu Adamu hadi Yesu Kristo ni miaka 2000 na tangu Yesu Kristo ni miaka 2017 na jumla ni miaka 4017. Je unakubali kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi miaka 4000 iliyopita pekee? Wale Red Indians walifikaje Amerika ndani ya muda huo mfupi wakaenea kote? Wahindi weusi (Dravidian na Pre-Dravidian) nchini India na Sri Lanka walitoka wapi? Wale Aborigines wa Australia na Visiwa vya Pacific walitokea wapi?
Mtu anayekataa evolution anaelezeaje bacterial resistance to previously working antibiotics?

Kwa nini bacterial diseases zamani ukinywa tetracycline tu wanakufa,siku hizi wana resistance?

Kwa nini Malaria zamani ukinywa quinine tu au chloroquine Malaria inakatika, siku hizi mpaka unywe madawa ya ajabu?

Wanafahamukwamba hiyoni evolution?
 
evolution (Macro,Cosmic,Chemical etc) is a contradiction.
Ni afadhali kuamini kilichoandikwa kwa bibilia maana kinaweza kuwa supported na science nyingi kuliko Evolution ambayo hata mwanzilishi hakuwa mwanasayansi. Wanasyansi waliingilia kati kuokoa jahazi.
Tujifunze kutenganisha pumba na mchele. Sikatai ndani ya evolution kunaweza kuwa na vitu vizuri lakni inapawsa kufundishwa kwa watu walijitambua ili wawe na uwezo wa kuhoji sehemu tata.
Ifundishwe kwa watu wanajitambua,ili iweje!!?

Tunafundisha quantum mechanics kwa watoto,vitu ambavyo hata watu wazima hawawezi kuelewa, kwanini Evolution itengwe!!?

Napenda sana kitu ambacho Dala ilama alisema,"ikitokea any Scientific fact ina'contradict my religious belief,it's time to abandon my religious belief and embrace the Scientific fact"

Europe ilienda kwenye hiyo phase unayojaribu kutu'convice hapa kuwa new Scientific facts zikija then tu'protect dini,Ila baada wakagundua ni ujinga,Marekani pia walipitia hiyo phase and now wanajitambu,now it's time for Africa

Yes Evolution like any other Scientific theory has its flaws but ndio maana tunaisoma kila siku na tunazidi ku'discover new facts.

Kama dini yako ina'contradict na Scientific facts,then it's time to check your religious belief sio kutaka ku'protect your dogma.

Coz 9 out of 10 times,when new Scientific discovery comes along which contradict a religious belief, Scientific theory always tend to win,kumbuka Gallileo,Bruno,Darwin himself.!!?
 
Back
Top Bottom