Google. ..freemasonryHow is he well in his saying?
Freemason ni nini?
Hawa husiki. ..angalia hii picture aliyo attached. .Nahisi kwenye diri km lugumi, escrow, epa , kiwira ya mkapa, meremeta na uchafu mwingine wa ccm freemsons lazima wanahusika. Kwa nn wahusika hawakamatiki?
Mimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
Hahaha....asa mbona hawakamatiki mkuu???Hawa husiki. ..angalia hii picture aliyo attached. .
Majority ni wahindi wenye pesa. ..View attachment 462057
Mkuu tutapozungumzia freemasons hatuzungumzii tunguri za kifipa na kikinga.Mimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
Ile ni government issue. ..Hahaha....asa mbona hawakamatiki mkuu???
Masons who are free!Usiniulize ningependa muwaiteje?
Mimi nipende nyie muwaiteje kwani mimi ni nani?
Hebu tuambie kwanza "Freemason" ni nini?
Wewe umesema hawapo nikakwambia wapo..bado ukakataa..sasa nakuuliza 'The Lodge' ni kina nani?How is he well in his saying?
Freemason ni nini?
Wewe umesema hawapo nikakwambia wapo..bado ukakataa..sasa nakuuliza 'The Lodge' ni kina nani?
hutaki kukubali wanaitwa Free masons..tunga jina lako basi! maana temple zao zipo..ungependa tuwaiteje?Usiniulize ningependa muwaiteje?
Mimi nipende nyie muwaiteje kwani mimi ni nani?
Hebu tuambie kwanza "Freemason" ni nini?
Mawazo haya ya freemasons ni product ya elimu dini ya utegemezi tupatayo mashuleni. Katika biblia twasoma watu matajiri kama: Ibrahim na Solomoni, je hao walikuwa ni mosons? Je Mungu aliwakabidhi wao kuhodhi mambo? Tujitahidini kutumia angalau 5% ya bongo zetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa.
Temple ya king Solomon Ndio kiini cha Freemason , sasa ndo tujiulize Ni Mungu gan aliyekua akimwabudu suleiman
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hi members,
Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa nchi mbalimbali duniani; wote naambiwa wamo mule..
Binafsi hii habari inanitisha sana na kunisikitisha nikiambiwa kwamba wamiliki wa makampuni kama Nike, Adidas, Sony, Apple, Airtel, Lg na mengine mengi sana nao ni devil worshippers coz mm binafsi cpendi hayo mambo ase!!
Mwenye taarifa kamili na uhakika kuhusu hili anisaidie.
Asanteni & Karibuni.
asilimia 80% ya manufactured product from west countries & europe wana izo logos za illuminati example carslogos ya mitusubishi, Bmw, na lexus ni product ambazo source yake iliianzia kuzimu, mbali na brand za vinywaj kama cocacola na vinginen ving tu
Zipo video nyingi za Freemasons na Illuminati youtube. Inaruhusiwa sana kusema siri zao katika mtandao. Tazama katika youtube master mason degree ya freemasons,pia degree nyingine ambazo sasa hivi sizikumbuki.
Ni uvivu tu wa kufikiri kwa watu weusi!
Kila jambo duniani huwa angalau lina simple logical explanation, yaani akili inatafuta maelezo ya sababu ya jambo hilo kutokea!
For most poor na illiterate kama sisi, huwa tunashindwa kuelewa kwanini tuko poor hata hatujui tunakula nini na kuna watu wanatengeneza pesa nyingi mno ambayo huwezi hata kuiota..... explanation nyepesi ni kuwa wana nguvu za ziada, na freemason ndio simple explanation kwa sasa!
Kwa wale mliokula chumvi ya wastani kama mimi, mtakumbuka kesi ya muumiani (nyonya damu), kiasi kwamba hadi shughuli zote za kiafya shuleni zilikuwa haziwezi kufanyika kwani watu wa afya wakija tu, kelele na watoto wanatoroshwa! labda ile myth nayo ilizaliwa na issues za uwepo wa damu ilhal watu hawakujua inatoka wapi! leo kuna kampeni za changia damu, hatusikii tena habari zile!
Freemason kama society ipo, wapo wanaosema rotary club ni society kama freemason/au ndio haohao! Lakini Rotarians ni kama International vicoba ikiwa na watu wa levels tofauti ktk fani tofauti! unapata connections ktk vicoba sasa Rotarians wanasaidiana dunia nzima! kwa kuwa na network ya namna hii pekee inawafanya wawe successful society! hawa jamaa hata kama ni Imani/dini hawatokuwa na tofauti na Christians/jews or muslims, ila hizi dini zetu/societies hazina components ya network marketing/kupeana michongo!
jibu kwa hoja yako ya msingi!
hakuna uchawi, mashetani wala nini. Wewe piga kazi tu, matajiri wote wanasifa moja tu kubwa.... kufanya kazi kwa bidii na kuwa na malwngo yanayotekelezeka!