Kuna ukweli kwamba matajiri wakubwa SANA duniani wote ni members wa freemasons/illuminati?

MKWEPA KODI Mkuu mimi sitaki kujiunga nao wale jamaa tena naogopa kinoma. NNachotaka ni kujua tu ili nichukue tahadhari
Usiogope wewe hauko level yao. ...hawa huwa wanatafuta watu ambao kiasili wanamvuto wa PESA THAT'S IT....MVUTO MAANA YAKE PESA INAKUFUATA WEWE. ...BASI HAPO MWISHO. THE END
 
wapo wapi?
FREEMASONS IN TANZANIA
tanzania210.jpg
tanzania210.jpg
chande (1).JPG
tanzania210.jpg
chande (1).JPG
Ukumbi wa Freemason.jpg
 
Hizi ndio propaganda zenyewe hizi.
Kwani wewe unadhani freemason ni nini, maana hapa mjini wanayo lodge na wanafanya ceremony, ukitaka kuhudhuria ceremony hawakukatazi. Sasa sikuelewi unamaanisha nini unaposema propaganda. Ninachoelewa mimi hizi story za uongo zinazojazwa kwenye vichwa vya watu (wabongo) kuwahusu 'The Lodge' ndio propaganda. Si members wote wa The Lodge ni matajiri. Mnadanganyana hapa kila siku Freemasons, Freemasons kama mnataka mifano ya watu matajiri au powerful angalia watafute 'The Bilderberg Group'. Acheni kudanganyana.
 
Ni nani wanaodanganyana?

Ulishawahi kuona nikibishania habari za kusadikika za freemasons?
 
Ni nani wanaodanganyana?

Ulishawahi kuona nikibishania habari za kusadikika za freemasons?
Nakushangaa unaposema Freemasons dont exist, sasa wale wanaofanya ceremonies kwenye lodge ya pale mjini na ya Kunduchi na nyinginezo wewe ungependa tuwaiteje?
 
Nakushangaa unaposema Freemasons dont exist, sasa wale wanaofanya ceremonies kwenye lodge ya pale mjini na ya Kunduchi na nyinginezo wewe ungependa tuwaiteje?
Usiniulize ningependa muwaiteje?

Mimi nipende nyie muwaiteje kwani mimi ni nani?

Hebu tuambie kwanza "Freemason" ni nini?
 
Mawazo haya ya freemasons ni product ya elimu dini ya utegemezi tupatayo mashuleni. Katika biblia twasoma watu matajiri kama: Ibrahim na Solomoni, je hao walikuwa ni mosons? Je Mungu aliwakabidhi wao kuhodhi mambo? Tujitahidini kutumia angalau 5% ya bongo zetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa.
Unasomaga biblia na kuielewa?
 
Back
Top Bottom