Kuna ukweli kwamba matajiri wakubwa SANA duniani wote ni members wa freemasons/illuminati?

Nahisi kwenye diri km lugumi, escrow, epa , kiwira ya mkapa, meremeta na uchafu mwingine wa ccm freemsons lazima wanahusika. Kwa nn wahusika hawakamatiki?
 
Nahisi kwenye diri km lugumi, escrow, epa , kiwira ya mkapa, meremeta na uchafu mwingine wa ccm freemsons lazima wanahusika. Kwa nn wahusika hawakamatiki?
Hawa husiki. ..angalia hii picture aliyo attached. .
Majority ni wahindi wenye pesa. ..
chande (1).JPG
 
Mimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga

Umedandia unataka kupiga hela, Mbona yeye hajasema kua anataka kujiunga?
 
Mimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
Mkuu tutapozungumzia freemasons hatuzungumzii tunguri za kifipa na kikinga.
 
Freemasonry ni jamii au mashirika yaliyoundwa kwa lengo la kuleta umoja, usawa, na haki kwa watu wote/ members,
Mizizi ya mashirika haya ni siri kuu katika kumeguka kwa mahekalu/ makanisa na uasi uliopelekea kujitokeza kwa viongozi waliodai haki, usawa na umoja, hivyo kupelekea kuwepo kwa jamii kama:-
1. Freemasonry
2.Skull and bones, wanachama kama akina Arnold Schwarzenegger, George w. Bush nk.
3. Illuminant, akina Jay zee, Beyonce, Rihanna etc.
Ndani ya jamii zote hizi, lengo kubwa ni kuiongoza dunia kwa kutumia nguvu/mbinu kama:-
1. Vita
Kuvamia nchi ama dola zinazopingana nao na kuziangusha pia vitisho vya kijeshi.
2.magonjwa.
Kuzusha magonjwa mapya yatakayo pungunguza idadi ya watu na kuwapatia fedha nyingi kupitia chanjo na Tina.
2.njaa, vurugu, vitisho, vikwazo vya kiuchumi n.k
 
Freemason ni watu waelevi sana wanaokaa kufanya propaganda ya kupotosha Watu, kwa maslai ya Watu au Nchi fulani!
 
Mawazo haya ya freemasons ni product ya elimu dini ya utegemezi tupatayo mashuleni. Katika biblia twasoma watu matajiri kama: Ibrahim na Solomoni, je hao walikuwa ni mosons? Je Mungu aliwakabidhi wao kuhodhi mambo? Tujitahidini kutumia angalau 5% ya bongo zetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa.

Temple ya king Solomon Ndio kiini cha Freemason , sasa ndo tujiulize Ni Mungu gan aliyekua akimwabudu suleiman


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Una uhakika gani temple ya Solomon ndio kiini cha ujinga unaoitwa freemason?? Wachawi wakikwambia baba yako anakuroga útawaamini??

Unaweza amini ubaya wa mungu wa Suleiman kwa kusoma na kusikiliza upuuzi wa vijarida??
Temple ya king Solomon Ndio kiini cha Freemason , sasa ndo tujiulize Ni Mungu gan aliyekua akimwabudu suleiman


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi members,

Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa nchi mbalimbali duniani; wote naambiwa wamo mule..

Binafsi hii habari inanitisha sana na kunisikitisha nikiambiwa kwamba wamiliki wa makampuni kama Nike, Adidas, Sony, Apple, Airtel, Lg na mengine mengi sana nao ni devil worshippers coz mm binafsi cpendi hayo mambo ase!!

Mwenye taarifa kamili na uhakika kuhusu hili anisaidie.

Asanteni & Karibuni.

Mbona Mimi sio freemason
 
Nahisi wewe ni maskini msomi.Wala huwajui matajiri.

Maana sifa ya kufanya kazi kwa bidii huja baada ya kuupata utajiri,na kwa hiyo hofu ya kuupoteza ndio inayoleta huo msukumo wa kufanya kazi kwa bidii,na si kinyume chake.

Watu wanaofanya kazi kwa bidii wako wengi mno.Kufanya kazi kwa bidii sio kabisa njia ya kukufanya upate utajiri.Soma kitabu "Think grow Rich" Cha Napoleon Hill.
Kitakutoa ujinga sana.

Pesa ina frequency zake,hapo ulipo tune hutozipata na utakuwa unasimulia tu kama ulivyofanya sasa
Ni uvivu tu wa kufikiri kwa watu weusi!
Kila jambo duniani huwa angalau lina simple logical explanation, yaani akili inatafuta maelezo ya sababu ya jambo hilo kutokea!
For most poor na illiterate kama sisi, huwa tunashindwa kuelewa kwanini tuko poor hata hatujui tunakula nini na kuna watu wanatengeneza pesa nyingi mno ambayo huwezi hata kuiota..... explanation nyepesi ni kuwa wana nguvu za ziada, na freemason ndio simple explanation kwa sasa!
Kwa wale mliokula chumvi ya wastani kama mimi, mtakumbuka kesi ya muumiani (nyonya damu), kiasi kwamba hadi shughuli zote za kiafya shuleni zilikuwa haziwezi kufanyika kwani watu wa afya wakija tu, kelele na watoto wanatoroshwa! labda ile myth nayo ilizaliwa na issues za uwepo wa damu ilhal watu hawakujua inatoka wapi! leo kuna kampeni za changia damu, hatusikii tena habari zile!
Freemason kama society ipo, wapo wanaosema rotary club ni society kama freemason/au ndio haohao! Lakini Rotarians ni kama International vicoba ikiwa na watu wa levels tofauti ktk fani tofauti! unapata connections ktk vicoba sasa Rotarians wanasaidiana dunia nzima! kwa kuwa na network ya namna hii pekee inawafanya wawe successful society! hawa jamaa hata kama ni Imani/dini hawatokuwa na tofauti na Christians/jews or muslims, ila hizi dini zetu/societies hazina components ya network marketing/kupeana michongo!
jibu kwa hoja yako ya msingi!
hakuna uchawi, mashetani wala nini. Wewe piga kazi tu, matajiri wote wanasifa moja tu kubwa.... kufanya kazi kwa bidii na kuwa na malwngo yanayotekelezeka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom