Kuna uhusiano gani kati ya Azam Media na ZBC 2

Nchi nying za kiarabu, channel za taifa huonyesha mipira ya ulaya mpaka EPL tena bure, nadhani jamaa kajiingiza serikalini ili aweze kuonyesha mechi za nje ya nchi kirahisi
:):):), hawa Azam wanashangaza mno. EPL wanaonesha channel ya bure ila Mapinduzi Cup mpaka ulipie!!!!!!!!!!!!!!! Jamani:mad::mad::mad:.
 
Back
Top Bottom