Kuna uhusiano gani kati ya Azam Media na ZBC 2

Ongezea hapo kwamba ni kweli kwa east africa serikali ya mapinduzi zanzibar ndiyo ya kwanza kuwa na television ya rangi? Zingine nasikia zilikuwa black and white.
Wakati huo Zanzibar wana television ya rangi na wengine wako na black and white, kwetu Tanganyika tulikuwa dhofulihal...nanihiii alikuwa anacheki habari kwenye tv kisha anajifanya kutabiri eti nchi fulani kutakuwa na fujo!!.
 
Usipojua biashara utafikiria vitu vingi sana kuhusu ZBC2 na Azam. Ni njia tu ya kutengeneza soko katika biashara kuwapata Wateja wengi pande zote mbili.
 
Watz tunapenda nongwa, tunaona mpira Nongwa kwa nini unaonyeshwa, tusipoona nongwa kwa nini hauoneshwi, kama kuna ukwepaji wa kodi au ukiukwaji wa haki za kibiashara na binadam ruska kusema lakini sio nongwa sijui sababu ni muislam hajawekeza kwenye hotel za starehe.
 
ZBC2 hakuna TV hata moja hapa bara inayoweza kushindana nayo jamaa wapo vizuri
 
Wana wasaidia si unajua kina yakhe wako hoi bin taaban ...nasikia hata mishahara hukopeshwa ...
 
Hata game ya Yanga waliipeleka zbc2 na game nyingine kibao hhupita huko! Naona ssb ndiyo mmiliki or ndo mfadhili wa miundo mbinu kwa makubaliano ya kupewa hiyo channel na kuwaachia smz zbc pekee
Kuna siku vipindi vya swala ya idd vilihamishiwa Azam Extra ili kupisha mechi ya Euro
 
MM NAHISI ILE MICHUANO HURUSHWA NA TV ZA KIMATAIFA TUU AMA HAKI ZA MATANGAZO NI RAHIS KUPATA KAMA UKIWA NA TV YA TAIFA NDO MAANA AZAM MARA KWA MARA HUITUMIA ZBC 2 kama chanel yake ya ziada na pia huwa haipatikan katika vingamuzi vingine zaid ya yeye kama ilivyoo kwa startimes na DTV
 
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.


Exactly..
 
Nchi nying za kiarabu, channel za taifa huonyesha mipira ya ulaya mpaka EPL tena bure, nadhani jamaa kajiingiza serikalini ili aweze kuonyesha mechi za nje ya nchi kirahisi
 
Hakuna uhusiano wewe uoni hii ni ZBC2 nyingine ni AZAM TV vina usiano hapo majina tuu tofauti huko kwingine wa achie wenyewe
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1, 2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. Hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).

Pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali ya Znz. Kabla ya kuanza kwa Euro walitangaza kuwa wataonyesha kupitia ZBC 2, swali ni kwanini wasingeonyesha kupitia Azam HD ambayo inaonyesha marudio ya LA Liga???
Mcheza kwao hutuzwa
 
Back
Top Bottom