Kuna uhusiano gani kati ya Azam Media na ZBC 2

Anataka iwe free chanel kama TBC, maana ni ya serikali
Kweli mkuu SSB anaweza kufanya personal interest kwamgongo wa serekali, pia inapatikana king'amuz cha Azam tuu,
Pia walitangaza wataonyesha EURO kupitia ZBC 2 wakati Azam HD wanaonyesha marudio tuu!
 
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Hili ndilo jibu sahihi na niliwahi anzisha uzi hapa kuwa huu ni ufisadi ila uzi ule haukuchangamka, ukitembelea website ya ZBC huwezi kuta maelezo kuwa wana chanel mbili.

Lakini pia watangazaji na commentator Azam ndio wa ZBC 2, na pia hizi channel zina ubora tofauti kabisa. Zbc ni moja ya chanel zenye mwonekano mbaya kabisa Afrika Tofauti na ZBC 2

Bakhresa anaitumia zbc 2 kufikia malengo flan flan
 
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Hapo nimeamini bila shaka mkuu maana ubora unatofautiana kabisa kati ya zbc na zbc 2
 
Hili ndilo jibu sahihi na niliwai anzisha uzi hapa kuwa huu ni ufisadi ila uzi ule haukuchangamka, ukitembelea website ya ZBC huwezi kuta maelezo kuwa wanq chanel mbili.

Lakin pia watangazaji na commentantor Azam ndio wa ZBC 2, na pia hizi chanel zina ubora tofauti kabisa. Zbc ni moja ya chanel zenye mwonekano mbaya kabisa Afrika Tofaut na zbc 2

Bakhresa anaitumia zbc 2 kufikia malengo flan flan
swadakta mkuu...
 
Tusihishie hapo tuhoji pia kuhusu TBC2...na hii pia nahic iko pale kimagumash...kwann ipatikane STARTIMES tu...??
 
Watanzania hamna dogo aisee, pamoja na kuangalia mechi bure kupitia ZBC2 bado mnahoji!
 
Utasukia Azam 2 wanatangaza Tutaonyesha mechi Fulani hapa hapa Azam kupitia ZBC 2 ...Najiuliza how come watangaze hivyo?
Kinachonishangaza ni kuwa sidhani kama ZBC ni chombo cha serikali kwani waziri wa habari wa serikali iliyopita hakuitamka ZBC kama ni moja ya vyombo vya serikali hapa nchini japo iwe ya serikali ya mapinduzi. Ndipo inapokuja dhana ya Bahresa kulitumia jina hilo ni nini!
 
Back
Top Bottom