Kuna uhusiano gani kati ya Azam Media na ZBC 2

kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,790
Likes
2,493
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,790 2,493 280
nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1,2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).
pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali ya Znz. Kabla ya kuanza kwa Euro walitangaza kuwa wataonyesha kupitia ZBC 2 , swali ni kwann wasingeonyesha kupitia Azam HD ambayo inaonyesha marudio ya LA Liga ???
 
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,829
Likes
463
Points
180
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,829 463 180
Mmiliki ni mzenji pia usisahau kaja huku bara kutafuta soko lakini akili na roho yake yote viko kisiwani.
Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
2,282
Likes
236
Points
160
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
2,282 236 160
Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
Nasikia ile zbc 2 ,ni ya mzee ssb,ingawa inapitia azam media,maelezo zaidi
 
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
1,083
Likes
137
Points
160
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
1,083 137 160
Hata game ya Yanga waliipeleka zbc2 na game nyingine kibao hhupita huko! Naona ssb ndiyo mmiliki or ndo mfadhili wa miundo mbinu kwa makubaliano ya kupewa hiyo channel na kuwaachia smz zbc pekee
 
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
1,083
Likes
137
Points
160
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
1,083 137 160
Hivi ni kweli kwa east africa smz ndiyo wa kwanza kuwa na tv station?
 
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
17,672
Likes
62,176
Points
280
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
17,672 62,176 280
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
 
Itzmusacmb

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
1,537
Likes
1,045
Points
280
Itzmusacmb

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
1,537 1,045 280
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Aiseee
 
H

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
908
Likes
384
Points
80
H

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
908 384 80
Mmiliki ni mzenji pia usisahau kaja huku bara kutafuta soko lakini akili na roho yake yote viko kisiwani.
vip TBC na Azam Two wanapojiunga hapa,hili unaliongeleaje?watu kam nyinyi nchi nyingine mnahukumiwa kunyongwa
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,790
Likes
2,493
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,790 2,493 280
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
Zbc2 ina milikiwa na Bakhressa.

Anatumia Zbc2 kuonyesha mechi ambazo hana haki kuonyesha, hivyo kuepuka mgongano wa kimaslahi na makampuni mengine ya kibiashara anatumia ile ZBC2 ambayo watu wanajua kuwa ni ya serikali kumbe ni ya kwake.

Kiuhalisia angalia hata graphics/rangi na ubora wa Zbc na ZBC2 ni vitu viwili tofauti.
hapo nimekuelewa maana kuna mwingiliano mwingi!!!! Azam wanatangaza tutaonyesha mechi Fulani kupitia ZBC 2??? najuiliza how come???
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
3,790
Likes
2,493
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
3,790 2,493 280
Mkuu, sijui kama umemsaidia mtoa mada. ZBC ni shirika la utangazaji la Zanzibar la serikali hivo inatakiwa wafanyakazi na ofisi zake ziwe za serikali ila inavoonekana utangazaji wa ZBC2 hasa michezo ni kama upo Azam TV!
Utasukia Azam 2 wanatangaza Tutaonyesha mechi Fulani hapa hapa Azam kupitia ZBC 2 ...Najiuliza how come watangaze hivyo?
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
29,891
Likes
37,099
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
29,891 37,099 280
nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi hasa kwenye channel za Azam 1,2 & HD ila kuna ufanano kati ya hizi channel na ZBC 2. hasa kwenye uwekaji wa ratiba za vipindi (EPG).
pia ZBC2 kutangazwa Azam japokuwa ZBC2 inamilikiwa na serikali UA Znz.
Jikite tu kushughulisha " mijicho " yako katika kuwakodolea akina Messi na Ronaldo na yanayobaki waachie TCRA wenyewe!
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,152
Likes
6,554
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,152 6,554 280
Ukifuatilia kwa umakini hawa wawili wanashabihiana kwa mambo mengi na mission yao juenda ni moja!
 
Forum statistics

Threads 1,235,381
Members 474,523
Posts 29,220,560