Speaker wa bunge kwani kalazwa wapi ?Hata Tanzania tumeshusha biashara na India wagonjwa wengi wa moyo na viongozi wa serikali walikua wakipeleka mabilioni huko India (wewe zitto ukiwepo) lakini saivi pesa zinapelekwa muhi2,
India ndio ilikua dalali wa korosho zetu (biashara ya korosho ni multi-billion business) wanazichukua kutoka Tanzania alafu watazipeleka mataifa mengine sasa serikali imepiga marufuku saivi korosho inauzwa moja kwa moja kwa mnunuzi wa mwisho sasa unafikiri wamependa?
Ni nafikiri hao waliokua wakija kununua korosho ndio walikua wanunuzi wa hayo mazao sasa saivi hawaji sababu serikali imeweka utaratibu mpya wenye manufaa kwa wakulima wa korosho ambao ni mwiba kwa wachuuzi wa kihindi
Yaani Watendaji siku hizi wapo tayari kumshoot Dereva huku basi likiwa kwenye mwendo mkali.Wakulima walikuwa WAPIGA DILI, Teh teh teh
Mtanzania mwenye asili ya IndiaKwani Manji ni Muhindi au ni Mtanzania Muhindi ?
Sasa mbona taarifa za current kabisa (tena nadhani nimesikia leo kwenye moja ya taarifa za habari) kuwa uchumi unaenda vizuri?Kampuni yetu ya clearing and forwarding tulikuwa tunaexport hadi kontena 50 kwa mwezi na sio sisi tu tulikuwa tunaexport mbaazi ni makampuni mengi tu.
Lakini kwa sasa tupo tu ofisin tunaangalia movie YouTube kazi hakuna za kufanya. Vibarua kila siku wanakupigia simu vipi mzigo bado kwa ajili ya stuffing?? Nimechoka kuwajibu siku hizi, nawaambia tu muulizeni anko MAGU.
Sio kama wagonjwa hawaendi India, wanaenda lakini mpaka idhibitike hospitals zote za Tanzania zimeshindwa kabisa kumtibu, zamani hata katibu wa wizara akitaka kukata kucha za vidole anaenda Apollo India,Speaker wa bunge kwani kalazwa wapi ?
Hakuna watu wa hovyo kama wahindi, wezi na waongo vibaya sana na dharau juu, hebu hayo makontena yao yawe yanafunguliwa bandarini muone kuna nini ndani tena wafunguaji wawe waaminifu hasa ndio mtawajuaNa kukamata na kuwanyang'anya Passport wale makandarasi wa kihindi kunachangia pia?
Kuna nini Tanzania na India
Kwenye ziara tunayotembelea madiwani wetu wa ACT Wazalendo kuna jambo nimeliona linajitokeza mahala pengi kila ninapoongea na Wananchi. Jambo hilo ni kushuka kwa bei za mazao ambayo Wakulima walikuwa wanategemea soko la India. Mbaazi, Choroko, Dengu na giligilani ni baadhi ya mazao ambayo nimesikia malalamiko makubwa ya bei zake.
Jana nilipokuwa Sumbugu, Misungwi Wananchi walinieleza kuwa mwaka 2016 waliuza choroko kwa shilingi 300,000 kwa gunia Lakini bei hiyo ilishuka mpaka shilingi 150,000 na kwamba wanunuzi wamepungua mno. Vile vile Dengu imeshuka sana bei kutoka shilingi 7000 kwa kilo 4 hadi kufikia shilingi 2500.
Nilipokuwa Gehandu, Hanang nilielezwa kuwa bei ya giligilani imeshuka kutoka shilingi 150,000 kwa gunia mpaka shilingi 25,000 tu.
Chama chetu kilifanya utafiti wa zao la mbaazi kwa mikoa ya kusini mwaka Jana. Kadhia ya mbaazi tumeikuta pia Mkuranga, Morogoro na Mkoa wa Manyara. Bei imeshuka kutoka wastani wa shilingi 1500 kwa kilo mpaka shilingi 50 kwa kilo na maeneo mengine hakuna soko kabisa.
Swali
Mazao yote haya yaliuzwa India. Kwanini Bei zimeshuka na masoko kuanguka kabisa wakati mahitaji ya bidhaa hizi huko india yanakua mwaka hadi mwaka? Kuna nini kati ya Tanzania na India? Kuna nini Wakulima na Watanzania hawaelezwi?
Inategemea wewe unavyomuona, ila akienda India wanamuona ni Muhindi.Kwani Manji ni Muhindi au ni Mtanzania Muhindi ?
Wewe Uliona Kipindi Zinachezewa Au Umesimuliwa, Au Uliangalia Hotuba Za WanaCCM. Kaa Ivyo Ivyo Na Akili Zako Za KushikiwaKwahiyo wewe unaona Tanzanite yetu ilivyo kua ikichezewa ni sawa? Hivi ukiwa mpinzani ni lazima ufikiri kama kuku? Alafu mnasema Madiwani wenye mawazo tofauti na haya wabaki na wenye akili za aina hii?
Mkuu kwan vibaya ukiamin ww ni donor na ukakomalia ndoto yako!Hi nchi ni Donor country....mbaazi dengu giligilani nini tuna rasilimali za kutosha kila aina ya madini yako hapa tunauwezo wa kutoa misaada kwa nchi za wazungu....wanau tuangusha ni wapiga diili sasa tumewadhibiti tunaanza kazi sasa.....wait mtaona
Hehehe sasa Rais ndio anatafuta masokoni au watendaji? Rais atazunguka kwenye supermarkets na malls na viwandani ulaya kutafuta masoko ya Tanzania? Au sijaelewadiplomasia ya uchumi imeondoka na KIKWETE
ukweli mchungu ata mabalozi wateule hawajaiva vizuri kuwa na ushawishi wa kutetea masoko yetu nje ya nchi,mabalozi walioteuliwa ni wale ambao wamekuwa rejected kwenye system yake mfano wakina mashiba,kaniki,nchimbi,madaffa,mangu nk.
mh rais kajifungia ndani hataki kutoka nje,huu si uzalendo bali ni ushamba tu ziara za rais nje ni muhimu sana kukuza uchumi na uwekezaji ,tusitegemee sampuli hizi za mabalozi mashushushu kuleta diplomasia ya uchumi
mh rais anafurahia viongozi wakubwa kutembelea TZ lakini wanakuja kimkakati zaidi kibiashara ,rais wa uturuki amekuja hapa amaetoa mkopo wa SGR lakini kampuni ya kituruki YAPI MERKEZI ndio wamepewa tender.
Nashauri Rais aende nje atafute masoko ya uhakika ya mazao yetu nje ya nchi,hili la kutegemea viwanda vyetu vya majukwaani bado muda wake.Tumsaidie mkulima aondokane na umaskini wa kipato kutojkna na soko bovu lililopo
ameua kimakusudi ili maskini wawe wengi aweze kuwatawala anavyo taka yeyeRais Magufuli ameua uchumi kwa makusudi.
mbaazi zinapenda mifuko ya Manjiwa mbaazi wanasema mbaazi ziliachwa kununuliwa alipokamatwa manji, sijajua huo uhusiano wa manji na mbaazi!
Bogus kabisaWewe Uliona Kipindi Zinachezewa Au Umesimuliwa, Au Uliangalia Hotuba Za WanaCCM. Kaa Ivyo Ivyo Na Akili Zako Za Kushikiwa