Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,421
- 2,271
Good.... !inakuwa bien tu....
Good.... !inakuwa bien tu....
Kuna koo zina pepo la ngono, kuna mshikaji aliowa huko, akalamba wadogo wawili wa mke wake na mama mkwe vile vile. Jamaa alikuja chukia alipogundua kumbe mke wake naye amemegwa na shemeji yake ambaye naye alilamba kama alivyofanya yeye pamoja na mkwe wao. Nadhani familia zenye pepo za ngono ni vizuri kila wakati mkiwa kwenye vilevi uwe na mkeo, mambo ya kutoka na mama mkwe hasa kama analipa baada ya ze larger mnaweza tamaniana na mkaishia kulana uroda...
tehe tehe tehe naunga mkono hoja....LOL salaleh..!
Dunia kweli imekwisha..Yaani bila aibu mtu anathubutu kuleta jambo kama hili ktk jamvi letu tukufu?
Mods fungia huyu..
Hii inafaa kufunguliwa thread yake kabisaa....Njia moja ya kuepuka haya ni kuwa taiti na mkeo...tatizo nyie mliooa mnaona aibu kutembea na wake zenu bara barani sijui kwanini...acheni uhuni....
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!
Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?
...tatizo nyie mliooa mnaona aibu kutembea na wake zenu bara barani sijui kwanini...acheni uhuni....
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!
Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?
Hii imependekezwa kufunguliwa thread yake pekee... Manake kuna hata wale wapo safari moja lakini utakuta mume yupo mbele na my wife wake yupo hatua kadhaa nyuma. Au kila mmoja anashika njia yake na kukutana tu pale walipokusudia kwenda.....ukiona hivyo ujue kuna mawili;
1. anaona aibu, au
2. anaona noma...
(to be continued)
Hakuna ubaya wowote iwapo mama mkwe huyo ataendelea kutunza heshima ya hadharani. Wewe mnapokuwa sirini wewe mega kama kawa, mpe mambo yote anayohitaji, lakini mkiwa mbele za watu heshima kama kawa, 'shikamoo mama' kwa sana. Mbona wengi tu wamemega mama mkwe wa dizaini hizo?