Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

Status
Not open for further replies.
Kuna koo zina pepo la ngono, kuna mshikaji aliowa huko, akalamba wadogo wawili wa mke wake na mama mkwe vile vile. Jamaa alikuja chukia alipogundua kumbe mke wake naye amemegwa na shemeji yake ambaye naye alilamba kama alivyofanya yeye pamoja na mkwe wao. Nadhani familia zenye pepo za ngono ni vizuri kila wakati mkiwa kwenye vilevi uwe na mkeo, mambo ya kutoka na mama mkwe hasa kama analipa baada ya ze larger mnaweza tamaniana na mkaishia kulana uroda...

...sasa jamaa alichukia nini, mume mwenzie alikuwa anacheki standard tu (kama inalipa).
 
Mjomba acha kabisa hayo mambo aise. Hivi wewe ukija sikia wife wako kaliwa na baba mkwe(baba yako mzazi) utajisikiaje! bas,kaa mbali sana na huyo mama. Katika maisha penda kutenda mambo utakayopenda kutendewa. Kila la heri ndugu.
 
LOL salaleh..!

Dunia kweli imekwisha..Yaani bila aibu mtu anathubutu kuleta jambo kama hili ktk jamvi letu tukufu?

Mods fungia huyu..
tehe tehe tehe naunga mkono hoja....
Lakini wamama wa leo bwana kiboko unakakuka kabibi ka miaka zaidi ya 50 bado kamokamo tu vivazi mixa vitop na vikuku mguuni basi mitego tupu....usipokuwa makini unaweza kujikuta unamega kisela....

Njia moja ya kuepuka haya ni kuwa taiti na mkeo...tatizo nyie mliooa mnaona aibu kutembea na wake zenu bara barani sijui kwanini...acheni uhuni....
 
usifanye hivyo, utalaaniwa. na huyo mama, ni shetani. wewe pia ni mjinga, hauwezi kukaaa mkao mibaya, au hata kutembea na mama mkwe kwenye sehemu za starehe hivyo. katika hali ya kiafrica, mama mkwe ni mkwe, hata kukaa naye karibu ni mbaya, akae mbali kwa heshima. hata kula nae chakula pamoja ni noma. sasa wewe umefikia hata kugonganaye mikono, huo ni uchafu. nenda kwa pasta kaombewe utubu dhambi hiyo.
 
Njia moja ya kuepuka haya ni kuwa taiti na mkeo...tatizo nyie mliooa mnaona aibu kutembea na wake zenu bara barani sijui kwanini...acheni uhuni....
Hii inafaa kufunguliwa thread yake kabisaa....:D
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

Jee unaweza kutuambia uhusiano walio nao baina ya mama na mtoto wake ni wa Aina gani? yaani wapo kivipi inapokujamaswala ya undani Jee wapo open kwa kila jambo?kuliza kwangu ninashabaha moja hapa .kwa Mfano wazungu wengi hasa wanawake wamekuwa na utamaduni wa kuongea na mama zao kwa uwazi kabisa baina yao hasa hawa wa miaka ya 1970 na kufikia leo na mara chache mama ha huwa na wao wapo tayari kujaribu kile ambacho watoto huwaeleza kinatokea katika fani ya mapenzi bila ya wao watoto kujuwa sasa hapa isijekuwa hali ipo hivyo. I hope I m wrong
 
...tatizo nyie mliooa mnaona aibu kutembea na wake zenu bara barani sijui kwanini...acheni uhuni....

...ukiona hivyo ujue kuna mawili;

1. anaona aibu, au
2. anaona noma...

kama anaona aibu ana afadhali, ......iwapo anaona noma ujue kuna mawili;

1. atampeperushia 'totoz', au
2. mkewe ana sura/umbo baya

kama mkewe ni mbaya ana afadhali, ...iwapo atampeperushia 'totoz' ujue kuna mawili;

1. huenda anajidai hajaoa, au
2. anajidai hampendi mkewe

kama hampendi mkewe ana afadhali, ...iwapo anajidai hajaoa kuna mawili... (to be continued)
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

Mfanyabiashara anakula faida au mtaji ? Mama mkwe, mtaji wake ni binti yake na wewe ni faida.
 
Sisi wagogo (teh teh tehhhh ) kuna wimbo tunaimba tukiwa jandoni.
Myujiyuji, mti wa lulenga si wa kukata zengo.
Maana yake, ni kuwa huo mti wa Myujiyuji pamoja na uzuri wake na kunyooka safi kabisa, HAUFAI KUJENGEA. Mwisho kuna tofauti kati ya Binadamu na Mnyama. Sasa ukizaa dada ya Mkeo???
 
...ukiona hivyo ujue kuna mawili;

1. anaona aibu, au
2. anaona noma...

(to be continued)
Hii imependekezwa kufunguliwa thread yake pekee... Manake kuna hata wale wapo safari moja lakini utakuta mume yupo mbele na my wife wake yupo hatua kadhaa nyuma. Au kila mmoja anashika njia yake na kukutana tu pale walipokusudia kwenda..

Yapo mengi katika hili na yanaanzia nyumbani hadi huko nchi za watu
 
Duh kwa wale watalaam anatafuna tu wote kwani kuna kitu kinaharibika hapo.
Wengi wao iwa wanakuwa makini sana kucheza faulo hizi heshima ina baki pale pale lakini jamaa anatafuna tu kamakawaida.
Mbona wanaume wengi tu utakuta ameoa dada mtu lakini huyo mke anaweza kuwa na wadogo kadhaa ambao ni wazuri kuliko yeye sasa hapo utaona mwanaume anavyo hangaika mwisho wake anatafuna wote kwa nyakati tofauti bila wao kujijua.
 
Duh hii ni laana haifai kabisa.
Kwanza unatakiwa upunguze mawasiliano na huyo mama mkwe walau kwa 99%.Pili unapotoka kama ni lazima jaribu muwe pamoja na mkeo na ikiwezekana na baba mkwe naye awepo.Mwisho nenda kanisani au msikitini ukaombewe maana pepo la ngono tayari limeshakuvamia.
 
Hakuna ubaya wowote iwapo mama mkwe huyo ataendelea kutunza heshima ya hadharani. Wewe mnapokuwa sirini wewe mega kama kawa, mpe mambo yote anayohitaji, lakini mkiwa mbele za watu heshima kama kawa, 'shikamoo mama' kwa sana. Mbona wengi tu wamemega mama mkwe wa dizaini hizo?
 
jamani....
 
We need to protect these creatures.... not to abuse them!!
 
Hakuna ubaya wowote iwapo mama mkwe huyo ataendelea kutunza heshima ya hadharani. Wewe mnapokuwa sirini wewe mega kama kawa, mpe mambo yote anayohitaji, lakini mkiwa mbele za watu heshima kama kawa, 'shikamoo mama' kwa sana. Mbona wengi tu wamemega mama mkwe wa dizaini hizo?

This is too much.......ukiweza mama mkwe umkwepe kama ukoma, ukimwona mbele yako, badili njia kabisa.........! Assume shemeji yako anamtafuna mama yako mzazi pia, how does that feel like......I don't want to imagine this!
 
Kwanza kwa heshima za kiafrika mama mkwe au baba mke ni lazima uweke distance nao, wape heshima wanazostahili. Ila ukiona baba mkwe au mama mkwe anakuzoea kupita kiasi basi ni vema wewe mwenyewe uwe na msimamo. Kwa mafano akinipigia anataka nionane naye fragha ni lazima nifahamu kwanza agenda ya mkutano huo, vinginenvyo anapaswa kuja nyumbani au atuite nyumbani mimi na mke/mume. Hata hivyo, wapo wazazi ambao mila na desturi hawafuati kabisa katika kushi na wakwe zao. Hao ni hatari sana na ni vema kuwa very tricky ku deal nao.

Nakushauri kaka ni laana kutembea na mama mkwe, mzazi, dada, binamu, i.e closely related relatives. Kibliblia huruhuswi kuoa/kufanya uzinzi au zinaa na kizazi cha kwanza hadi cha nne japo wenzetu wa Asia hili hawalipi uzito. Kwa makabila mengine hata watoto wanaozaliwa ndugu kwa ngugu karibu wanakuwa outcast.
 
Hakuna ubaya wowote iwapo mama mkwe huyo ataendelea kutunza heshima ya hadharani. Wewe mnapokuwa sirini wewe mega kama kawa, mpe mambo yote anayohitaji, lakini mkiwa mbele za watu heshima kama kawa, 'shikamoo mama' kwa sana. Mbona wengi tu wamemega mama mkwe wa dizaini hizo?

Mtu B,

You must be joking! Aren't you?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom