Kuna tofauti gani kati ya Mganga wa kienyeji na mchawi

From all your descriptions, wote ni mule mule and.you cant tell a difference?
Gosh!
 
From all your descriptions, wote ni mule mule and.you cant tell a difference?
Gosh!
Bibie King'asti angalia Wazungu wanavyojitangazia mambo ya Uchawi ingelikuwa huko kwetu watu wanamkamata na kumuuwa mchawi wakati ulaya mtuanajiona fahari kujitangazia mimi ni Mchawi tuache jamani mambo ya kuhisiana mtu mchawi ukiwa upo uchi nje ya nymba yako watu wakikuona usiku au asubuhi utaambiwa wewe ni mchawi kwa ushahidi gani jamani?Angalia website za kichawi za kizungu bonyeza hapa British Traditional Witchcraft

Mchawi wa kiingereza huyooooooooooooooo

‘THE POWER OF THE WITCH' - SUPER RARE BRITISH WITCHCRAFT DOCUMENTARY FROM 1971

01.04.2012
05:14 pm

Topics:
History
Occult
Television

Tags:
Occult
BBC documentary
1970s
Witchcraft

Maxine_Sanders.jpg


What a find! The Power Of The Witch is a documentary about witchcraft as it was practised in the late 60s and early 70s in the UK - apparently it was only screened once and there is practically no information about it on the web. From the uploader taitsitarot‘s YouTube description:
An extremely rare documentary about Witchcraft aired once in the UK in 1971. Featuring contributions from Eleanor Bone, Cecil Williamson, Alex & Maxine Sanders [above], Doreen Valiente et al. Very much of its time and with some very rare footage, also includes reference to the famously unsolved murder of Charles Walton on Meon Hill.
The Power Of The Witch is worth a watch even if you are not particularly interested in the occult - rather watch it as a document of its time, capturing as it does people's attitudes, beliefs, fashions and plummy Brit accents. It's a curious mixture of patriarchal stiff upper lip-ism and unerring belief in both Christianity and the forces of magic, making it feel very much as if it comes from a completely different era. Not to mention, it's a goldmine of potential witch haus footage:





Dangerous Minds | ‘The Power Of The Witch' - super rare British witchcraft documentary from 1971
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jodoki Kalimilo Umezungumza vizuri ila umekosea kusema kuwa ( wale wanaotumia ramli uchawi) neno (Ramli) kuwa ni uchawi na (Ramli na Uchawi) ni vitu viwili tofauti kabisa.Neno Ramli ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni mchanga wa

kutizamia mambo yako ya maisha au tunaweza kusema kupiga bao kwa lugha ya kiswahili sasa unaweza kujuwa

kutizamia kwa kutumia hiyo (Ramli) Kupiga Bao lakini ukawa hujuwi kufanya uchawi wala mambo ya uganga unaweza kuwa ni Mtabiri wa kupiga ( Ramli) lakini usiweze kutibu watu wala

kuroga watu .Na neno (Uchawi ) Uchawi kazi yake Mtu huwa anadhuru watu kwa huo uchawi wake mchawi hajuwi mambo ya Ramli wala mchawi

hajuwi kutizamia kwa aina yoyote ile Mchawi anachojuwa yeye ni kudhuru watu sasa usituchanganye kati ya mpiga

Ramli na mchawi ni vitu 2 tofauti kabisa.

Nimekupata mkuu maelezo yangu ni kama nilivyoyatoa hapa kwenye ramli nitakuwa nimeelewa tofauti kidogo, swali la ufahamu hapa mkuu MziziMkavu, kile kitendo cha kuweka beseni la maji alafu mtu unaambiwa angalia kwenye beseni alafu unamwona mbaya wako na kupewa kisu unachoma jamaa kule anakufa kinaitwaje au kile kitendo cha mganga anabashiri mbaya wako ni yule mzee mweusi kama jembe jpya ni vitu kama vivyo (mie ndio nilikuwa najua hiyo ndio ramli)
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nilijua tu MziziMkavu hukosekani hii ni moja ya mada ambayo unawezatolea ufafanuzi kwa aslilimia mia,swali je unajihusisha nakimoja wapo?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nilijua tu MziziMkavu hukosekani hii ni moja ya mada ambayo unawezatolea ufafanuzi kwa aslilimia mia,swali je unajihusisha nakimoja wapo?
Mkuu nivea mimi ni Mtaalamu na Mchunguzi wa Dawa za miti shamba ukija kwangu unaniambia Matatizo yako ninakupa dawa. Hiyo ndio kazi yangu mkuu nivea.
 
Last edited by a moderator:
Mganga wa kienyeji na mchawi ni sawa na Malaika na Shetani. Malaika ndie anaeweza kupambana na Shetani kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Vile vile Mganga wa kienyeji anaweza kupambana na Mchawi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Mganga yoyote ili awe mzuri zaidi lazima ajue mbinu za kichawi. Ili uweze kutibu ugonjwa , lazima uujue na ujue tiba yake. Hivyo basi, Mganga sio Mchawi, ila anaujua uchawi ili aweze kukabiliana nao.

Je Polisi na Wanajeshi ni Majambazi kwasababu tu wanajua mbinu za Majambazi na kutumia silaha za moto?.
wewe ndye umesema kweli
 
Mkuu bornagain Mganga ambaye anayekwambia ukitaka mafanikio yako itabidi umuuwe mtoto

wako, mganga huyo kwangu mimi nina muita Mchawi sio Mganga mimi Babu yangu alikuwa ni mganga maarufu huko

kwao Uzaramuni hakuna mtu hata mmoja aliyesema kuwa babu yako aliwahi kuwaambia wateja wake Eti ukitaka kufanikiwa mambo yako lazima Umuuwe Mwanao hicho kitu kamwe sitoweza kukubaliana nacho huyo

atakuwa sio mganga bali ni Mchawi mganga kamwe hawezi kukwambia ukitaka kufanikiwa Umuuwe mwanao eti ufanikiwe Mganga

akisema hivyo mimi huwa ninamuita Mchawi sio mganga kazi yake ni kuwatibu watu maradhi na matatizo yao

sio kuuwa watu anaye uwa watu huyo sio Mganga huyo ni Mchawi. Kwenye Miaka ya 1980 mpaka 1986 mimi

binafsi yangu nilisha wahi kwenda kwa Waganga hapo Dares-Salaam zaidi ya Waganga 20 nilikuwa ninaumwa

maradhi ya ajabu Homa za mara kwa mara kichwa kisicho pona Moyo kwenda mbio kiuno na mambo mengine

siyawezi kuyataja hapa ni Siri yangu nilikwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupima vipimo vyote yaani kupiga picha ya

EX-Ray,kupima mkojo na Damu hawakuona kitu ndio nikamuwa kwenda kwa hao Waganga na nilipoona mambo

mengi wanayoyafanya Waganga mengine ni ya ukweli na mengine ni ya uongo na nilijifunza mengi mpaka nlipona

nili Rogwa na kutupia pepo mbaya na nilimaliza Waganga mpaka akaja kijana mmoja kutoka Mwanza kunitibia

ndipo nilipo pona kwa hiyo nina wafahamu kwa undani baadhi ya Waganga wanatumia mbinu ili waweze

kupata pesa nyingi kwa wateja wao kwa mfano wewe unaweza kuumwa na kichwa tu sababu hupati usingizi

vizuri au una mawazo au una matatizo ya kutopata choo ukienda kwa mganga akikupigia Ramli kitu cha kwanza

atakuambia umerogwa na mtu wako wa karibu ukikubali hapo umeingia kwenye mtego wake kwa leo

ninakuacha hapo......
Huyo mkaka alie kutibu kama yupo hai naomba namba
 
Back
Top Bottom