Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Waziri mkuu alisemaje baada ya Rais kushauri kuhamia Dodoma? Hakutaka mawaziri wake wote wawe wameshahamia hadi september? Waziri wa Kilimo akamuwahi kwamba jpili ijayo atakuwa ameshafika dodoma.
Leo mkuu wa mkoa amesema wasubiri hadi waweke miundo mbinu sawa.
Ina maana utekelezaji wa hii kitu ni wa kukurupuka. Hakukuwa na mpango wa kusaidia utekelezaji huu.
Usiwe cheerleader wakati wote. Tumia kichwa kufikiri.
Bavaria@ asikuumize kichwa

Ruttashobolwa hamnazo kabisa nimefuatilia sana comment zake huyu jamaa sijuwi kama zimetimia.
Yani Bora hata Lizaboni kuliko huyu mfuata upepo sijuwi kanywa maji ya bendera ya kijani.
 
Nioneshe tatizo langu na sio kuongewa pumba hapa.

pumba ulizo andika ni ishara ya tatizo lako. unaishi kwa hisia, nani kakwambia ikulu wanalalamika? kama hufurahishi na kazi anayofanya raisi hama nchi, sio kulopoka tu humu jf.
 
Wewe ni bendera fata upepo! Huna thamani duniani wala ahera! Mfuta viatu vya wakubwa! Ww ata upo tayari kuchukuliwa mkeo ili mradi mwanaume mwenzako aridhike!
Sawa, ila pozi lako ukijumlisha na comment zako zinamlazimu mtu kuhitimisha kuwa wewe ni "chakula" ya wakubwa pale makao makuu ya chama
 
Bavaria@ asikuumize kichwa

Ruttashobolwa hamnazo kabisa nimefuatilia sana comment zake huyu jamaa sijuwi kama zimetimia.
Yani Bora hata Lizaboni kuliko huyu mfuata upepo sijuwi kanywa maji ya bendera ya kijani.

Hawa wanalipwa kuja kutetea ujinga humu
ni robots za lumumba
 
Huyu anatakiwa kukemewa na ccm haohao kabla wananchi hatujaingia mabarabarani tukiwa kitu kimoja bila kujali vyama vyetu
Mkuu usije kuwa unaandika msg hii huku ukiwa chini ya uvungu WA Kitanda, haaa haaa, Tanzania hatuna wanaume
 
kuliwahi kuwa na thread humu ikieleza mtu kuwahi kuugua ugonjwa wa akili akiwa chuoni..
ikafutwa hiyo thread naikumbuka sana
Tatizo ndio hilo, hatuchunguzani kabla ya maamuzi makubwa. Kuondoa Uzi kama huo ambao pengine ungeweka ukweli hadharani na kusaidia nchi ni saw a na kuogopa kuwaambia wenzako chumbani kuwa umeona Nyoka mvunguni
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
Ndio maana zinapigwa kelele za udikteta, rais kalewa madaraka saa mbili asubuhi, kufika jioni itakuwaje?
 
Bavaria@ asikuumize kichwa

Ruttashobolwa hamnazo kabisa nimefuatilia sana comment zake huyu jamaa sijuwi kama zimetimia.
Yani Bora hata Lizaboni kuliko huyu mfuata upepo sijuwi kanywa maji ya bendera ya kijani.

Iko ni kizazi kijacho kinachotegemewa na Taifa.
 
Baada ya muda nimegundua hivi vinavyofanyika ni kuwakomoa watu fulani na sio kutekeleza kile walichokuwa wanakisema.

Hadi leo hatujaona mikakati yoyote ya kuchochea viwanda walivyokuwa wanahubiri, zaidi ya kufanya mazingira ya kufanya biashara tanzania kuwa magumu.

Viwanda vinapunguza uzalishaji na kupunguza watumishi kwa sababu zimekuwa worse zaidi.

That is building castles in the air, viwanda bila umeme wapi na wapi. Umeme wa nyumbani tu ni shida na ghali tunaoteshwa ndoto za mchana kwamba tunajenga Tanzania ya viwanda! Huu ni wendawazimu. Tunataka kujenga viwanda visivyokuwa na mali ghafi, mfano viwanda vya nguo, pamba iko wapi au wakulima wamewezeshwa vipi kulima pamba?

IKULU KUNA TATIZO KUBWA, YAANI KAMA NDEGE KUBWA ANGANI ILIYOISHIWA MAFUTA, therefore let us brace for crush landing.
 
Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?

Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.

Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Aaah ni wewe?
 
Wizara zitahama lakin ikulu kuhamia Dodoma *HAIWEZEKANI*
Changamoto kubwa nayoiona ni suala la ulinz na usalama,Landlocked countries znataman sana uwepo wa bahari ktk nchi zao, lkn sisi tunataka tupuuze hilo.Dodoma itabaki ikulu ndogo tu lkn main campus ni magogoni
Unaota? Ukimaliza kuota tayari Dodoma na Ikulu na Dar ni ikulu ndogo
 
Nikahoji nikasema kwani wizara haiwezi kufanya kazi bila kuwa karibu na Ikulu?

Haiwezekani serikali kuuza majengo ya umma sehemu muhimu kama Dar. Haiwezekan na inaonekana hata washauri wake wanaogopa kumshauri sasa hivi maana atawatumbua
ukiongea tu basi kazi huna mkuu ama hujui io
 
ndo ivo bro lkn washauri wake nao cjui wanaogopa kumshauri kuwa nchi haiendeshwi kama familia
 
NYIE BAVICHA TULIENI MNYOLEWE VIZURI...MAGUFULI KAWASHIKA PABAYA...MLIZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAMTAVIWEZA...

KAULI ZA UTATA ANAZOZITOA RAIS JPM NI ZIPI AU NI UELEWA WENU FINYU...
 
we had this bad choice kwa Sababu tu ya upuuzi wa kina jeikey
 
NYIE BAVICHA TULIENI MNYOLEWE VIZURI...MAGUFULI KAWASHIKA PABAYA...MLIZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAMTAVIWEZA...

KAULI ZA UTATA ANAZOZITOA RAIS JPM NI ZIPI AU NI UELEWA WENU FINYU...
atapiga mnada nyumba za serikali Dar

gosh...yeye ni nani?

Nyumba ni za kwake hizo?

kwa sababu wewe twahil huna akili unaona yote ni sawa tu
 
Back
Top Bottom