iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Kuna mtu aliwahi niambia alisema mkuu hashauriki
Kuna mtu aliwahi niambia alisema mkuu hashauriki
Tulikuwa very few tulioona haya mambo
those days tukimkosoa tunaambiwa hatutaki maendeleo
siku hizi bora kunyamaza tu....
Jibu kwa hoja mkuu,naona unafanya summary tu ilihali watu wameuliza maswali yao na wanahitaji majibu.wizara zitahama na taasisi zake zote dodoma asietaka kuhama aache kazi
kuhamia dodoma kuna faida kubwa uchumi wa mikoani utaimarika sana namuunga mkono raisHivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?
Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.
Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Baada ya muda nimegundua hivi vinavyofanyika ni kuwakomoa watu fulani na sio kutekeleza kile walichokuwa wanakisema.
Hadi leo hatujaona mikakati yoyote ya kuchochea viwanda walivyokuwa wanahubiri, zaidi ya kufanya mazingira ya kufanya biashara tanzania kuwa magumu.
Viwanda vinapunguza uzalishaji na kupunguza watumishi kwa sababu zimekuwa worse zaidi.
Ulitaka lipi ?Ndo jibu lililokuja kichwani kwako?
ndio hivyo kuhamia dodoma kutakuza uchumi wa mikoaniJibu kwa hoja mkuu,naona unafanya summary tu ilihali watu wameuliza maswali yao na wanahitaji majibu.
Hii inatia mashaka kwa vitengo vyetu vya usalama na hata Rais aliye ondoka madarakani JK. Walikuwa hawajui kuwa hashauriki? Kwa vyovyote walikuwa wanafahamu. JK amekuwa Nate kama waziri mwenza kwa miaka 10, pia anekuwa waziri wake kwa miaka 10 chini yake sasa kwa nini aliruhusu chama chake kimpitishe?
Nchi ikiangamia hawana pa kukwepea
Nadhani hilo ndo litawezekana, ni jambo zuri katika kufanya regional balance na kupunguza misongamano ya ofisi kuu za serikal mahala fulani tu ..
Tatizo watu wengi tunajua kua hili suala rais kasema lifanyike kwa haraka sana.ndomana tunalalamika gharama,maeneo nk.
Lakin kwa wazir ambae anahama kwa sasa tafsiri yangu ni kua tayar kashajiridhisha na miundombinu na mahali pa kuhamishia wizara yake huko Dodoma.
my learned friend mshaurin tu mtu wenu sisi si et tunamchukia hapana ila hatuwez kukaa kimya tu tukiona mstakabl wa taifa let unapoelekea pabayaHivi Magufuli alisema watahamia Dodoma kesho? Amesema ndani ya miaka minne! Naomba muandamane hata Leo.
lengo la kuhamia dodoma sio wafuatwe na hayo makampuni, lengo ni kupungu mlundikano wa shughuli za serikali dar, pia kupunguza ghalama kwa serkali. lengo dar ibaki jiji la biashara.
ulipotelea wapi mkuu?kuliwahi kuwa na thread humu ikieleza mtu kuwahi kuugua ugonjwa wa akili akiwa chuoni..
ikafutwa hiyo thread naikumbuka sana
Psychiatric case....mtu huyo anaweza kuwa na pyschiatrical problem kwa vile asivyo na coordination na consistency katika yale anayoyasema mara kwa mara...kuliwahi kuwa na thread humu ikieleza mtu kuwahi kuugua ugonjwa wa akili akiwa chuoni..
ikafutwa hiyo thread naikumbuka sana