Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?

Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.

Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Hujui uliongealo unamihemko halafu unaonekana uneenda upepo unapoelekea. Kafanye kazi kule
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
Wewe muosha viatu Vya Mbowe shika UKUTA utulie tuliiii.

Kujenga hata ofisi ya chama imewashinda alafu unajifanya mshauri wa ikulu?
 
Na wewe usilete mada na malalamiko ya kipuuzi, raisi keshasema kabla ya 2020 atakuwa amekamilisha mipango ya kuhama. Haya mambo ni complex sana, na usichukulie kauli zote haswa za wanasiasa serious. Chill, ifikapo 2020 hakuna kitu kimefanyika ndio uanze dodosa hilo tatizo kubwa lilipo ikulu, sasa hivi ni upashkuna tu unaleta, so far ikulu ina perform good.

Hujaelewa mantiki ya hoja zangu.
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
Mkuu nachojua ni kuwa nchi hii kila kitu kinawezekana hata kama kitakuwa na hasara kwa taifa kwa sababu ya mfumo wa chama kimoja. Hivyo vyama unavyoviona vipo kama kiini macho tu ili ionekane kuna demokrasia. CCM kwa wingi wao na mabavu yao lolote watakalo wataweza. Ila kuhamia Dodoma ni jambo la muhimu sana ili kuondoa misongamano katika jiji la dsm iliyokuwa mara nyingi inasababishwa na marundo ya watu wanao hitaji government services pia itapelekea central Tanzania kuwa na uchumi madhubuti. Na jiji la dsm libakie na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali na liwe jiji la kibiashara tu. Mimi binafsi sikubaliani na Mh Rais kwenye mbinyo wa siasa
 
majengo yapo ya kumwaga huko dodoma. msilete visingizio. ...hivi tamisemi ilitengewa bajeti gani mpaka ikafanikiwa kuwa dodoma?

Ina maana hata wewe hujamwelewa huyu ndugu na hoja yake?

Hebu tuambie hiyo wizara ya TAMISEMI ilitumia muda gani hadi kukamilisha "process" ya kuhamia Dodoma?

Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki hata kama kuna vifungu vya bajeti vilivyopitishwa na bunge la bajeti lililomalizika juni ktk kila wizara kwa ajili ya kuhamisha shughuli za serikali/wizara husika Dodoma!!

Binafsi ningeelewa kidogo iwapo Rais angesema hadi kufikia Juni, 2020 serikali itakuwa imekamilisha kuhamia Dodoma na kuufanya Dodoma kuwa mji mkuu wa shughuli za serikali kisheria!!

By the way, unakumbuka PM ndo kasema kuwa serikali ndo inaandaa mswaada wa sheria itakaoupeleka bungeni mwezi wa tisa ili kufanya mchakato wa kuhamia Dodoma kuwa official?

Kwa kufikiri tu, hii inaweza kuwa na maana gani eti?
 
Tulikuwa very few tulioona haya mambo
those days tukimkosoa tunaambiwa hatutaki maendeleo
siku hizi bora kunyamaza tu....

Sasa tutatumia michoro labda ndiyo itaeleweka
ImageUploadedByJamiiForums1469877765.220770.jpg
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.

Kwa nini biashara imedorora mtaani?
 
Wewe twambie kwanza unafanya biashara gani? Ulitegemea Magufuli atakulete hela? Umeambiwa Dodoma wana hamia kesho?
Wewe nawe kama hauna cha kuchangia sio lazima uchangie,kwahiyo unadhani mpaka september serikali nzima inaweza ikawa imeshahama,au ni mchezo mbaya unaofanywa juu ya kodi zetu?
 
Ghafla vipaumbele vimekuwa kuhamia Dodoma, vilainishi na kufukuzana na wapinzani kila kukicha.
Masuala ya kuongeza ajira, elimu duni , ujira mdogo na huduma hafifu za afya hayana mashiko tena.
 
Serikali ya mwendokasi, leadership without wisdom end up creating disaster, yetu macho
 
ni hatari kiongozi wa nchi kuongea anavyojisikia kutokana na mzuka..
kauli nyengine ukiambiwa ni za rais wa nchi unaweza ukajikuta unatafakari mara mbili mbili..
((pia hutoa taswira ya waliomweka hapo..
cause siku hizi sio kuchaguliwa ni kuwekwa))
 
Mkuu kwani haujaskia wiki ijayo watu wanaanza kuahamia?usitetee hata vitu ambavyo viko wazi..come onnn!!
waliambiwa watete hata km kikivurunda chama. Tatizo la wafuas weng wa kijani njaa na vyeo ndio zilizowapeka huko na si utashi wa kisiasa.
Hiv ushawahi kuona Lizbon na wenzake hata wamekikosoa chama?
Palipo na ukweli lazima pasizungumzwe tu
 
Ina maana hata wewe hujamwelewa huyu ndugu na hoja yake?

Hebu tuambie hiyo wizara ya TAMISEMI ilitumia muda gani hadi kukamilisha "process" ya kuhamia Dodoma?

Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki hata kama kuna vifungu vya bajeti vilivyopitishwa na bunge la bajeti lililomalizika juni ktk kila wizara kwa ajili ya kuhamisha shughuli za serikali/wizara husika Dodoma!!

Binafsi ningeelewa kidogo iwapo Rais angesema hadi kufikia Juni, 2020 serikali itakuwa imekamilisha kuhamia Dodoma na kuufanya Dodoma kuwa mji mkuu wa shughuli za serikali kisheria!!

By the way, unakumbuka PM ndo kasema kuwa serikali ndo inaandaa mswaada wa sheria itakaoupeleka bungeni mwezi wa tisa ili kufanya mchakato wa kuhamia Dodoma kuwa official?

Kwa kufikiri tu, hii inaweza kuwa na maana gani eti?

Kabla ya msaada akataka mawaziri wawe wameshaongoza kwenda dodoma.
 
ni hatari kiongozi wa nchi kuongea anavyojisikia kutokana na mzuka..
kauli nyengine ukiambiwa ni za rais wa nchi unaweza ukajikuta unatafakari mara mbili mbili..
((pia hutoa taswira ya waliomweka hapo..
cause siku hizi sio kuchaguliwa ni kuwekwa))
Namkubali sana JK huyu huwez kukuta anatoa speech za ajabu ajabu hata siku 1
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
Tangu Baba wataifa atangaze kuhamia dodoma ni miaka zaidi ya 30 na marais watatu wamepita. NI MAAMUZI MAGUMU KAMA YA MAGUFULI TU YANAWEZA YAKALETA TIJA. LIWE LIWALO WACHA UTEKELEZAJI UFANYIKE.
 
Wakuu suala la ajira limeishia wapi tena? Au ndio km lile la bei elekez ya sukari ilivyoisha juu juu. Na uhakiki wawafanyakaz hewa umeishiwa wapi tena? Naona sasa hiv big issues ni ile ya kukimbizana na vilainishi na kuhamia dom.
 
Tangu Baba wataifa atangaze kuhamia dodoma ni miaka zaidi ya 30 na marais watatu wamepita. NI MAAMUZI MAGUMU KAMA YA MAGUFULI TU YANAWEZA YAKALETA TIJA. LIWE LIWALO WACHA UTEKELEZAJI UFANYIKE.

Ufanyike lini?
 
Kauli kama " nataka viongozi wa watangulie mbele kwenye maandamano niwaonyeshe kazi, mimi huwa sitanii, kama kuna mtu anawatuma wamwambie hapa amekwama" Hii kauli si nzuri hata kidogo kwa Rais wa Wananchi wote.
 
Back
Top Bottom