Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Waandikiwe hotuba na wazisome.
Wakiandikiwa hotuba wakazisoma itasaidia kuficha mapungufu yao ya verbal reasoning, haita solve, itafunika.

Unajua sisi Waafrika toka udogoni hatukusisitizwa kujifunza kuongea sense, verbal reasoning yetu ni mbovu. Mtoto anacheleweshwa sana kuwa exposed to sensible conversations. Ukishasalimia wageni unatakiwa upotee sebuleni, husikilizi wakubwa. Ukisemeshwa unajibu huku unaangalia chini. Ukiulizwa wewe jina lako nani huruhusiwi kumuuliza mgeni na wewe mwenyewe nani? Utovu wa tabia.

Na hiyo inaathiri kufikiri kwa ujumla. Kwa sababu unapokulia katika mazingira ambayo watu hawana msukumo wa kuongea sense basi kichwa kinakuwa kinaropoka chochote tu, hakifanyi kazi, na kinadumaa.

Waziri Mkuu unasema unataka Dodoma iwe kisiwa cha amani. Hii inakuonyesha kwamba kichwani huyu mtu hata katika kufikiria mambo mengine kwa ujumla ni mdhaifu. Dodoma kisiwa cha amani. Lindi je, pawe na vita?
 
Watu wanapenda Dar Sana. Bila ubabe watu hawatahama. Dar ni patamu asikuambie mtu hasa uwe na vijisenti. Hakuna kubembelezana watu wote wahamie Dodoma.Serikali inapesa nyingi.Kama hutaki acha kazi
 
Back
Top Bottom