Mkidi Mwako
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 199
- 371
Serikali inahamia Dodoma imepita hiyo sasa ushauri gani unautaka?
Wewe twambie kwanza unafanya biashara gani? Ulitegemea Magufuli atakulete hela? Umeambiwa Dodoma wana hamia kesho?
Mkuu soma maelezo yake vizur acha kukurupukaWewe twambie kwanza unafanya biashara gani? Ulitegemea Magufuli atakulete hela? Umeambiwa Dodoma wana hamia kesho?
Sielewi kuhusu ukaribu wa utendaji kazi wa wizara na ikulu,lakin NINACHOKIJUA ni kua inawezekana kabisa wizara kuhama lakini taasisi zake zikabaki maeneo mengine na shughuli za wizara husika zikaendelea kama kawaida.
Hata Ikulu yaweza kuhama ,lakini je umewaza juu ya usalama wa Rais na hali ya ulinzi itakuaje?
Nimepata KUSOMA mahali kua hata mwalimu pia alitaka kuhamia Dodoma mwaka 1975,Je umejiulza Kwanini mwalimu alifeli zoez hlo la kutaka kuhamia dodoma?
Safi mkuu nimekuelewa sanaWaziri mkuu alisemaje baada ya Rais kushauri kuhamia Dodoma? Hakutaka mawaziri wake wote wawe wameshahamia hadi september? Waziri wa Kilimo akamuwahi kwamba jpili ijayo atakuwa ameshafika dodoma.
Leo mkuu wa mkoa amesema wasubiri hadi waweke miundo mbinu sawa.
Ina maana utekelezaji wa hii kitu ni wa kukurupuka. Hakukuwa na mpango wa kusaidia utekelezaji huu.
Usiwe cheerleader wakati wote. Tumia kichwa kufikiri.
Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?
Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.
Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Atakayenunua jengo la ikulu baada ya kupigwa mnada atajua mengi sana kuhusu swala la usalama wa nchi hiiVipi kuhusu kuuza majengo yote ya Serikali ya Dsm
Kwani hujasikia kuwa jpm anahamia DODOMA au upo tanzania gani mkuu.Utamishaje wizara zote wakati bosi wao yupo dar? Unajua kiasi gani hizi wizara zinavyofanya kazi na ikulu kwa ukaribu kiasi gani?
Mkuu wa nchi anatakiwa kuhamia dodoma pia. Ili ushirikiano wa serikali utengemae.
Wewe ni bendera fata upepo! Huna thamani duniani wala ahera! Mfuta viatu vya wakubwa! Ww ata upo tayari kuchukuliwa mkeo ili mradi mwanaume mwenzako aridhike!Ningekuwa rais, anawake wenye akili muflisi kama wewe ningewahamishi Mogadishu, Somalia. Wote!
Kushangilia,vigelegele na mapambio kwa mtukufu raisi.Dodoma tunaamia kesho kama hutaki usitudanganye sisiHivi Magufuli alisema watahamia Dodoma kesho? Amesema ndani ya miaka minne! Naomba muandamane hata Leo.
Mkuu kwani haujaskia wiki ijayo watu wanaanza kuahamia?usitetee hata vitu ambavyo viko wazi..come onnn!!Hivi Magufuli alisema watahamia Dodoma kesho? Amesema ndani ya miaka minne! Naomba muandamane hata Leo.
Very few indeed mkuuu..unakumbuka eh...ss naona watu macho yameanza funguka! Ngoja tujionee mwisho wake!Tulikuwa very few tulioona haya mambo
those days tukimkosoa tunaambiwa hatutaki maendeleo
siku hizi bora kunyamaza tu....