Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Tulikuwa very few tulioona haya mambo
those days tukimkosoa tunaambiwa hatutaki maendeleo
siku hizi bora kunyamaza tu....
Very few indeed mkuuu..unakumbuka eh...ss naona watu macho yameanza funguka! Ngoja tujionee mwisho wake!

Siku hizi hadi waliokuwa wanatuponda wanamlaani kupita sisi
nabaki mdomo wazi kila siku
 
Serikali inahamia Dodoma imepita hiyo sasa ushauri gani unautaka?

Twende tukamuulize yule waziri aliesema week ijayo atahamia dodoma atapata wapi hela za kufika huko?
 
Kuna mtu aliwahi niambia alisema mkuu hashauriki
Hii inatia mashaka kwa vitengo vyetu vya usalama na hata Rais aliye ondoka madarakani JK. Walikuwa hawajui kuwa hashauriki? Kwa vyovyote walikuwa wanafahamu. JK amekuwa Nate kama waziri mwenza kwa miaka 10, pia anekuwa waziri wake kwa miaka 10 chini yake sasa kwa nini aliruhusu chama chake kimpitishe?
Nchi ikiangamia hawana pa kukwepea
 
JPM anachokitafuta atakipata kwa wakati muafaka, watu sio jinsi anavyowafikiria
 
Labda niulize swali dogo tu. Serikali ikitoka dar hiyo potential itatoka wapi? It will only be a useless, big shopping mall lisilo na maana.

Dar ina idadi ya watu wanaokadiria milion 5 sasa. Hizo wizara zina watu kama 200,000 tu.

Bandari ipo Dar, Uwanja wa Ndege upo Dar, Makao Makuu ya makampuni yote makubwa duniani yakija Tanzania wanaweka ofisi Dar then ndo wanasambaa mikoani.

Hata serikali ikihamia Dodoma, hakuna atakayewafuata. Ila watafungua viofisi vidogo sana kurahisisha shughuli zake na serikali.
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.

ww ndio unatatizo,
 
Walitakiwa wa-revise zoezi la kuhamia dodoma. Labda waseme huko dodoma kuwe na makao makuu ya wizara na huku dar wabaki watumishi wachache kwa ajili ya ku-coordinate na taasisi nyingine zilizobaki dar ikiwemo ikulu.
Nadhani hilo ndo litawezekana, ni jambo zuri katika kufanya regional balance na kupunguza misongamano ya ofisi kuu za serikal mahala fulani tu ..
Tatizo watu wengi tunajua kua hili suala rais kasema lifanyike kwa haraka sana.ndomana tunalalamika gharama,maeneo nk.
Lakin kwa wazir ambae anahama kwa sasa tafsiri yangu ni kua tayar kashajiridhisha na miundombinu na mahali pa kuhamishia wizara yake huko Dodoma.
 
Hiv unapingaje kuamia Dodoma ??
Kwanza unaanzaje ujasiri huo kakupa Nani??
 
Wewe ni bendera fata upepo! Huna thamani duniani wala ahera! Mfuta viatu vya wakubwa! Ww ata upo tayari kuchukuliwa mkeo ili mradi mwanaume mwenzako aridhike!

Kuna watu wanachekelea vitu vingine vya kijinga bila kushirikisha ubongo wao juu ya athari watakazozipata.

Achana nao.
 
Dar ina idadi ya watu wanaokadiria milion 5 sasa. Hizo wizara zina watu kama 200,000 tu.

Bandari ipo Dar, Uwanja wa Ndege upo Dar, Makao Makuu ya makampuni yote makubwa duniani yakija Tanzania wanaweka ofisi Dar then ndo wanasambaa mikoani.

Hata serikali ikihamia Dodoma, hakuna atakayewafuata. Ila watafungua viofisi vidogo sana kurahisisha shughuli zake na serikali.

lengo la kuhamia dodoma sio wafuatwe na hayo makampuni, lengo ni kupungu mlundikano wa shughuli za serikali dar, pia kupunguza ghalama kwa serkali. lengo dar ibaki jiji la biashara.
 
Sielewi kuhusu ukaribu wa utendaji kazi wa wizara na ikulu,lakin NINACHOKIJUA ni kua inawezekana kabisa wizara kuhama lakini taasisi zake zikabaki maeneo mengine na shughuli za wizara husika zikaendelea kama kawaida.

Hata Ikulu yaweza kuhama ,lakini je umewaza juu ya usalama wa Rais na hali ya ulinzi itakuaje?
Nimepata KUSOMA mahali kua hata mwalimu pia alitaka kuhamia Dodoma mwaka 1975,Je umejiulza Kwanini mwalimu alifeli zoez hlo la kutaka kuhamia dodoma?
wizara zitahama na taasisi zake zote dodoma asietaka kuhama aache kazi
 
Kuna watu wanachekelea vitu vingine vya kijinga bila kushirikisha ubongo wao juu ya athari watakazozipata.

Achana nao.
acha upuuzi wewe wafanyakazi wote wa serikali lazima wahamie dodoma
 
Back
Top Bottom