Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Kuna tatizo kubwa sana IKULU

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,631
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.
 
Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?

Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.

Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
 
Eventually if you fail you planned to fail!!!
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.
Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.
Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?
Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?
Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?
Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo?
Una hamia dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakao hamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo wizara? Wanajua idadi ya hao watakao hamia dodoma?
Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa. Swali linakuja, kwa bajeti ipi? Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.
Zoezi la kuhamia dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi september wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.
Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?
Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?
Binafsi, nadhani rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?
Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?
Kuna tatizo Ikulu.
Wewe twambie kwanza unafanya biashara gani? Ulitegemea Magufuli atakulete hela? Umeambiwa Dodoma wana hamia kesho?
 
Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa huu upuuzi? Nina uhakika kitendo cha kuhamia dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu..jamani huyu mtu afungiwe speed governor huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Hivi Magufuli alisema watahamia Dodoma kesho? Amesema ndani ya miaka minne! Naomba muandamane hata Leo.
 
Wizara zitahama lakin ikulu kuhamia Dodoma *HAIWEZEKANI*
Changamoto kubwa nayoiona ni suala la ulinz na usalama,Landlocked countries znataman sana uwepo wa bahari ktk nchi zao, lkn sisi tunataka tupuuze hilo.Dodoma itabaki ikulu ndogo tu lkn main campus ni magogoni
 
Wewe twambie kwanza unafanya biashara gani? Ulitegemea Magufuli atakulete hela? Umeambiwa Dodoma wana hamia kesho?

Waziri mkuu alisemaje baada ya Rais kushauri kuhamia Dodoma? Hakutaka mawaziri wake wote wawe wameshahamia hadi september? Waziri wa Kilimo akamuwahi kwamba jpili ijayo atakuwa ameshafika dodoma.
Leo mkuu wa mkoa amesema wasubiri hadi waweke miundo mbinu sawa.
Ina maana utekelezaji wa hii kitu ni wa kukurupuka. Hakukuwa na mpango wa kusaidia utekelezaji huu.
Usiwe cheerleader wakati wote. Tumia kichwa kufikiri.
 
Mh. Rais alisema atahakikisha ndani ya miaka minne na miezi minne iliyobaki serikali itakua imehamia dodoma. Aliyesema atahamia dodoma mwezi septemba ni mh waziri mkuu. Kuna kipengele hapo juu umemnkuu kimakosa mh rais, nilikua narekebisha
 
Wizara zitahama lakin ikulu kuhamia Dodoma *HAIWEZEKANI*
Changamoto kubwa nayoiona ni suala la ulinz na usalama,Landlocked countries znataman sana uwepo wa bahari ktk nchi zao, lkn sisi tunataka tupuuze hilo.Dodoma itabaki ikulu ndogo tu lkn main campus ni magogoni

Utamishaje wizara zote wakati bosi wao yupo dar? Unajua kiasi gani hizi wizara zinavyofanya kazi na ikulu kwa ukaribu kiasi gani?
Mkuu wa nchi anatakiwa kuhamia dodoma pia. Ili ushirikiano wa serikali utengemae.
 
Mh. Rais alisema atahakikisha ndani ya miaka minne na miezi minne iliyobaki serikali itakua imehamia dodoma. Aliyesema atahamia dodoma mwezi septemba ni mh waziri mkuu. Kuna kipengele hapo juu umemnkuu kimakosa mh rais, nilikua narekebisha

Sawa kaka. Waziri Mkuu yupo chini ya rais moja kwa moja.

Hii kauli alimaanisha nini? Kuonekana anafanya kazi au?
 
Hivi kwannn nchi nzima tusiandamane kwa yanayoendelea?

Nina uhakika kitendo cha kuhamia Dodoma kitasababisha umaskini nchini sababu matataizo ya msingi jhayatatatuliwa bado focus itakua kuhama tu.

Jamani huyu mtu afungiwe speed governor; huyu baba anatupeleka pabaya pabaya mno jamani umaskini utaisha lini?
Ningekuwa rais, wanawake wenye akili muflisi kama wewe ningewahamishi Mogadishu, Somalia. Wote!
 
Utamishaje wizara zote wakati bosi wao yupo dar? Unajua kiasi gani hizi wizara zinavyofanya kazi na ikulu kwa ukaribu kiasi gani?
Mkuu wa nchi anatakiwa kuhamia dodoma pia. Ili ushirikiano wa serikali utengemae.
Sielewi kuhusu ukaribu wa utendaji kazi wa wizara na ikulu,lakin NINACHOKIJUA ni kua inawezekana kabisa wizara kuhama lakini taasisi zake zikabaki maeneo mengine na shughuli za wizara husika zikaendelea kama kawaida.

Hata Ikulu yaweza kuhama ,lakini je umewaza juu ya usalama wa Rais na hali ya ulinzi itakuaje?
Nimepata KUSOMA mahali kua hata mwalimu pia alitaka kuhamia Dodoma mwaka 1975,Je umejiulza Kwanini mwalimu alifeli zoez hlo la kutaka kuhamia dodoma?
 
Kuna tatizo kubwa sana Ikulu.

Ndio Ikulu nzima na watu wote wanaomzunguka rais katika shughuli za kila siku.

Ina maana hawatambui "Urais" ni taasisi kubwa na nyeti kuliko zote nchi nzima?

Ina maana hawatambui kuwa anachoongea au kutenda rais ndo sauti na matendo ya Tanzania nzima?

Inakuwaje wanamuacha rais atoe hutuba ngumu na zilizojaa utata kila siku? Hana washauri wa kumuambia anakosea?

Mfano, anasema akihamia dodoma atauza majengo yote ya serikali Dar es Salaam, kwa hii kauli unadhani anafikisha ujumbe gani kwa jamii ya watanzania na wasio watanzania wanofuatilia siasa za tanzania? Niambie serikali yeyote duniani inayouza majengo yake hasa kwa sehemu 'potential' kama dar es salaam? Na huko Dodoma atajenga au atakodi pia? Nyumba za serikali ziliuzwa, kipi kilipatikana baada ya hayo mauzo? Unahamia Dodoma kwa bajeti gani uliyoitenga? Hao watakaohamia wataenda kukaa wapi? Serikali ina majengo ya kupokea hizo Wizara? Wanajua idadi ya hao watakaohamia Dodoma?

Yani kila siku mapya yaanzishwa kutoka hewani na yanahitajika kutekelezwa.

Swali linakuja: Kwa bajeti ipi?

Hao washauri wanatakiwa wamwambie mambo hayaendi hivyo, serikali sio familia. Kila kitu kinatakiwa kipangwe na kutekelezwa kutokana na mpango elekezi. Jambo jipya litakalojitokeza litekelezwe bajeti inayofuatia.

Zoezi la kuhamia Dodoma linahitaji fedha nyingi sana na linatakiwa kutekelezwa kwa awamu. Ila hili la kusema hadi Septemba wawe wameshahama sio sawa kabisa. Hata hao watumishi mnawatesa na familia zao.

Pia, inavyoonekana hata hotuba zinatolewa kwa jazba au hazifanyiwi tafiti. Nimesoma sehemu anasema 'Wizara ya takwimu'. Hapa alikuwa ana maanisha nini?

Kurugenzi ya ikulu imetoa taarifa kituko haijawahi kutokea. Maswali yanakuja, inamaana wametoa kwa utashi wao kwa shinikizo?

Binafsi, nadhani Rais yupo pale kulipa kisasi na kuwakomoa watu fulani. Mtaani hali ni ngumu, biashara zinadorora. Ina maana wao hawaoni? Au wanaishi mbingu gani?

Mawaziri wanajua wanachofanya? Wana sera gani kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Kuna tatizo Ikulu.


Labda niulize swali dogo tu. Serikali ikitoka dar hiyo potential itatoka wapi? It will only be a useless, big shopping mall lisilo na maana.
 
Back
Top Bottom