Kuna taarifa Wasira kujiuzulu

Kuna taarifa Wasira kujiuzulu

Wangempeleka jumba la makumbusho ingalikuwa ni vyema zaidi kwa ajili ya kumbukumbu kwa Gen Z na vizazi vijavyo.
 
Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe

Unless Maza kishamchoka. Maana inaelekea diyo rahisi kufanya ma Maza kwa miaka zaidi ya 3.

Wampe Sumaye sasa. Huyo ataipokea kwa kipiga magoti.
 
Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Ibada ya wafu ndo tunayoisubiri kwa hamu!!

Hayo mengine hayakuhusu. Tena ikiwezekana mkatieni Tiketi akapumzike Dubai
 
Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Mjini sirudi tena ila Gombe nitarudi kutalìi.
 
Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
N̈enda kapumziike Mzee Mwènzangu,ila Mzeè P ɓdo ùnahitajikà n̈wè usibwage manyànga!
 
Huyo amekwishajitia najisi mwenyewe. Ni sehemu ya waovu waliowasumbua waTanzania. Hawezi kujisafisha uchafu huo kwa siku zake zote zilizosalia kwenye uhai wake.
Anachoweza kufanya, si kuandika barua tu ya kujiuzuru; inapaswa atoke kwa sauti na kuomba msamaha kwa waTanzania.
 
Mtu yeyote anayeamua kujiuzulu na kuacha kila kitu cheo pesa heshima kisa anaamini ktk anachokiamini heye hata umtishe vipi mheshimu sanaa
Kwa hiyo Wassira unafikiri anazo sifa hizo?
Stephen Wassira anaamini kipi? Hata baada ya kushiriki katika uovu dhidi ya waTanzania, ulimsikia akisema lolote la maana?

Ungetaka kutoa mfano mzuri na kueleweka, katika jamii ya watu wa chama hicho rudi kwa Mzee Abdulnul Kinana. Huyo ndiyo standard inayoeleweka kwa hayo uliyoyaweka hapo, siyo huyu Wassira.
 
Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.

Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Kwa nini ajiuzulu sasa hhivi? Ajitayarishe kutekwa
 
Back
Top Bottom